Kama mbowe.Huyu naye akihongwa tu anaanza kushiriki uchafu
Mbowe kashiriki uchafu upi ?Kama mbowe.
..Msikilizeni ktk mahojiano haya.
Sio zenji tu hata Tanganyika haiwezi shinda kwenye uchaguzi huru..ndio mana kijani imebaki chama cha mashetani...Msikilizeni ktk mahojiano haya.
.
Hamad Rashid Mohammed asisitiza kwamba CCM haina uwezo wa kushinda uchaguzi ulio huru Zanzibar
..Msikilizeni ktk mahojiano haya.
..Msikilizeni ktk mahojiano haya.
Kwani umelazimishwa kuingia kwenye siasa?Toka Lowassa ahamie Chadema harafu akarudi nyumbani ndiyo siku niling'amua kuwa ni muhimu kujikita katika shughuli za uzalishaji mali.
..Msikilizeni ktk mahojiano haya.
Wafanye kaziMnataka CCM wakale wapi maisha yenyewe magumu namna hii?😬😬
Sijui Sasa kwani wewe unaonaje mkuu??Kwani umelazimishwa kuingia kwenye siasa?
JitoeSijui Sasa kwani wewe unaonaje mkuu??
Kuaminika kwa nani?!!!Hakuna Chama cha upinzani kinaweza kuaminika kuongoza nchi hii. Haviwezi kulinda Tunu za Taifa na misingi ya nchi iliyoachwa na Mwalimu Nyerere. 🙏🙏🙏