Hamad Rashid Mohammed: CCM haina uwezo wa kushinda uchaguzi ulio huru Zanzibar

..Msikilizeni ktk mahojiano haya.


Zanzibar kuchelee !!
Kuaminika kwa nani?!!!
Wananchi ndo wanaamua kupitia sanduku la kura..
Je, kukiwa na Tume Huru ya Uchaguzi wapiga Kura wakachagua upinzani wewe utafanya nini?!!!
Hapo sasa !!
Wafanye kazi
Ajabu kwani wengine wamekuwa wakiishije miaka yote !! Au wengine wamezoea kula mapochopocho na wengine waendelee kula michembo siku zote za maisha yao !! ?
 
Toka Lowassa ahamie Chadema harafu akarudi nyumbani ndiyo siku niling'amua kuwa ni muhimu kujikita katika shughuli za uzalishaji mali.

..kuwa mpinzani sio lelemama.

..Ccm wamezoea raha na kubebwa-bebwa.

..sasa wakihamia upinzani wengi wao hushindwa kuvumilia misukosuko na dhuluma wanazopitia wapinzani.
 
Hakuna Chama cha upinzani kinaweza kuaminika kuongoza nchi hii. Haviwezi kulinda Tunu za Taifa na misingi ya nchi iliyoachwa na Mwalimu Nyerere. 🙏🙏🙏

Akili mgando. Wewe bado unaamini hii CCM ya mikopo , tozo na udikteta ndio ya maana?. Maisha yanazidi kuwa magumu hakuna solution yeyote halafu unasema wananchi hawana Imani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom