johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,965
- 141,968
Jimbo la kawe limekumbwa na madhara makubwa kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha juzikati.
Maeneo ya Basihaya, Boko, Kawe chini, Mbezi chini na Kunduchi ni baadhi tu ya sehemu zilizoathirika ikiwemo nyumba kubomoka kabisa na nyingine kuzingirwa na maji hadi leo.
Tumekuwa na mkuu wa mkoa Makonda, mkuu wa wilaya Hapi na viongozi wengine katika kuwapa faraja wahanga wa mafuriko lakini cha ajabu mbunge wetu hatujamuona kabisa, ndomana nauliza hivi Mdee kastaafu au kulikoni awatupe hivi " waliompigia kura"!!?
Anayejua alipo anijuze tafadhali!