Halima Mdee amestaafu ubunge?! Mbona kimya sana?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,745
139,524
Jimbo la kawe limekumbwa na madhara makubwa kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha juzikati.

Maeneo ya Basihaya, Boko, Kawe chini, Mbezi chini na Kunduchi ni baadhi tu ya sehemu zilizoathirika ikiwemo nyumba kubomoka kabisa na nyingine kuzingirwa na maji hadi leo.

Tumekuwa na mkuu wa mkoa Makonda, mkuu wa wilaya Hapi na viongozi wengine katika kuwapa faraja wahanga wa mafuriko lakini cha ajabu mbunge wetu hatujamuona kabisa, ndomana nauliza hivi Mdee kastaafu au kulikoni awatupe hivi " waliompigia kura"!!?

Anayejua alipo anijuze tafadhali!
 
Yeye alishasema kuwa Mkulu afungwe "breki" kwa matamko yake.....

Wale ambao walikuwa wakishabikia kuwekwa ndani kwa masaa 48 za yule DC wake, sasa weshaanza kurealize kuwa Halima Mzee kumbe alikuwa sahihi by 100%
 
Jimbo la kawe limekumbwa na madhara makubwa kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha juzikati.

Maeneo ya Basihaya, Boko, Kawe chini, Mbezi chini na Kunduchi ni baadhi tu ya sehemu zilizoathirika ikiwemo nyumba kubomoka kabisa na nyingine kuzingirwa na maji hadi leo.

Tumekuwa na mkuu wa mkoa Makonda, mkuu wa wilaya Hapi na viongozi wengine katika kuwapa faraja wahanga wa mafuriko lakini cha ajabu mbunge wetu hatujamuona kabisa, ndomana nauliza hivi Mdee kastaafu au kulikoni awatupe hivi " waliompigia kura"!!?

Anayejua alipo anijuze tafadhali!
Kimya kingi kina uzito.
Anafikiria tusi la kutoa kwa niaba ya ana Kawe , safari ijayo!!!
 
"Sijawahi kuona rais wa ajabu ajabu kama huyu". By Tundu Lisu.

Sasa unataka Halima Mdee akutembelee? Hujamuelewa Lazaro Nyalandu? Unajua alimsema nani aliposema ccm imevamiwa na watu wenye roho mbaya? Unajua alimaanisha nn aliposema serikali imemeza mihimili mingine?
 
Jimbo la kawe limekumbwa na madhara makubwa kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha juzikati.

Maeneo ya Basihaya, Boko, Kawe chini, Mbezi chini na Kunduchi ni baadhi tu ya sehemu zilizoathirika ikiwemo nyumba kubomoka kabisa na nyingine kuzingirwa na maji hadi leo.

Tumekuwa na mkuu wa mkoa Makonda, mkuu wa wilaya Hapi na viongozi wengine katika kuwapa faraja wahanga wa mafuriko lakini cha ajabu mbunge wetu hatujamuona kabisa, ndomana nauliza hivi Mdee kastaafu au kulikoni awatupe hivi " waliompigia kura"!!?

Anayejua alipo anijuze tafadhali!
Vipi kuhusu lile tukio la Kubomolewa nyumba watu wa Mbezi na Ubungo Makonda alikuwepo kuwafariji waliokumbwa na tukio lile? je wewe uliandika chochote kulaani tukio lile au uliona sawa tu kwa kuwa upumbavu umekujaa kichwani.
 
Naona umepanic maana mbunge wa Kibamba naye akili zake zinafanana na za huyu wa Kawe. Wewe ndiye kiongozi wa Wapumbavu wote maana hata hukumbuki kuwa ni Makonda aliyezuia bomoa bomoa Dar isiendelee!!! Mbwiga kabisa kiboga.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom