kiatu kipya
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 3,269
- 1,980
Mkuu unaunga mkono jitihada za mh John??Yupo Twitter analalamikia uuzwaji wa nyumba za serikali awamu ya tatu, anashindwa kumuuliza Sumaye mhusika mmojawapo.