ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Mwenzetu mbona walia Nyalandu akitumia haki na uhuru wake?kafa nyerere, kawawa ..ccm inaendelea, katoka kingunge ccm oyeeee. HUYU NYARANDU ni ushuzi tu.
Mwenzetu mbona walia Nyalandu akitumia haki na uhuru wake?kafa nyerere, kawawa ..ccm inaendelea, katoka kingunge ccm oyeeee. HUYU NYARANDU ni ushuzi tu.
Apumulie wapi mkuu!Ameshinda, muacheni apumue sasa!
Kwenye upenyo atakaoupata kama sasa!Apumulie wapi mkuu!
Sawa mkuu tutamsubiri hapshspa 2020 ila tunashukuru diwani wetu Urio huenda tukamfikiria kumpa jimbo!Endelea kumsubiri atakuja na ayo maji unaweza kuanza kufuga kambale wakati unamsubiri
Hahahaa haya mkuu kwenye upenyo siyo!!!....... kwi...kwi....kwi!!!Kwenye upenyo atakaoupata kama sasa!
Kwahiyo tumfate ufipa?!!! Maana magomeni kuna kiti na meza tu!DOMOKAYA, ni mpiga kura mpumbavu tu asiyejua ofisi ya mbunge wake iko wapi.
Kwahiyo tumfate ufipa?!!! Maana magomeni kuna kiti na meza tu!
NA CCM IPO BUSY KUWAFANYIA HAO WABUNGE FIGISU ILI WAONEKANE HAWAFANYI KAZI
Hawaogopi kupigwa risasi???Upone haraka lissuMe namuulizia Msukuma na Bashe wako wapi hawa
Yupo Twitter analalamikia uuzwaji wa nyumba za serikali awamu ya tatu, anashindwa kumuuliza Sumaye mhusika mmojawapo.Yule machachari wa Chadema Diaspora chadema saut mwanza yupo wapi?!
Mbunge aliyeichachafya serikali bungeni, mwenye kujiamini, apendwaye na wanajimbo wake wa Kawe, asiyeogopa binadamu yoyote hata awe na cheo cha kutisha, mbunge aliyekuwa anatetea na kutatua kero za wanajimbo lake...
Je kachukuliwa na watu wasiojulikana? Au kafinywa na watu wasioujilikana, labda kwa sababu mbalimbali..
Yuko wapi mbunge wetu Kawe @halimamdee ?!