Halima Mdee amestaafu ubunge?! Mbona kimya sana?

Jimbo la kawe limekumbwa na madhara makubwa kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha juzikati.

Maeneo ya Basihaya, Boko, Kawe chini, Mbezi chini na Kunduchi ni baadhi tu ya sehemu zilizoathirika ikiwemo nyumba kubomoka kabisa na nyingine kuzingirwa na maji hadi leo.

Tumekuwa na mkuu wa mkoa Makonda, mkuu wa wilaya Hapi na viongozi wengine katika kuwapa faraja wahanga wa mafuriko lakini cha ajabu mbunge wetu hatujamuona kabisa, ndomana nauliza hivi Mdee kastaafu au kulikoni awatupe hivi " waliompigia kura"!!?

Anayejua alipo anijuze tafadhali!
Kamuulize Ndugai na Mkuchika
 
Naona umepanic maana mbunge wa Kibamba naye akili zake zinafanana na za huyu wa Kawe. Wewe ndiye kiongozi wa Wapumbavu wote maana hata hukumbuki kuwa ni Makonda aliyezuia bomoa bomoa Dar isiendelee!!! Mbwiga kabisa kiboga.

wewe ujui unachoongea hujui siasa ya africa(ya nchi masikini) .. cuf walishinda chaguzi zote WAkowapi leo. Raila yuko wapi leo, Chadema hata kakipata kura zote...Refa weka kati
Kamuulize Ndugai na Mkuchika

yangu macho...
 
Upinzani wako bize na Social media, wana majimbo mapya yanaitwa Twitter, Facebook na Istagram.

Na wapiga kula wao ni Mange Kimambi Followers na si nyinyi tena.
Mkuu, kwa kweli umesababisha mimi kucheka sana hadi mbavu sina! Nimeambiwa kuwa pale makao makuu na baadhi ya ofisi za kanda za Chadema, wako very busy na kuandaa vijana wanaokaa na kushinda kwenye mitandao wakiinanga serikali pamoja na kutoa uzushi. Maana hata hoja ya kuwaeleza wananchi kwa sasa hawana, wameamua kujificha nyuma ya keyboards na kupost uzushi. Kwa hiyo majimbo yao mapya ni kama ulivyoeleza hapo juu.
 
Jimbo la kawe limekumbwa na madhara makubwa kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha juzikati.

Maeneo ya Basihaya, Boko, Kawe chini, Mbezi chini na Kunduchi ni baadhi tu ya sehemu zilizoathirika ikiwemo nyumba kubomoka kabisa na nyingine kuzingirwa na maji hadi leo.

Tumekuwa na mkuu wa mkoa Makonda, mkuu wa wilaya Hapi na viongozi wengine katika kuwapa faraja wahanga wa mafuriko lakini cha ajabu mbunge wetu hatujamuona kabisa, ndomana nauliza hivi Mdee kastaafu au kulikoni awatupe hivi " waliompigia kura"!!?

Anayejua alipo anijuze tafadhali!
Wakati mnamchagua mlitegemea nini? Subirini atakuja 2020 mwanzoni.
 
Mkuu, kwa kweli umesababisha mimi kucheka sana hadi mbavu sina! Nimeambiwa kuwa pale makao makuu na baadhi ya ofisi za kanda za Chadema, wako very busy na kuandaa vijana wanaokaa na kushinda kwenye mitandao wakiinanga serikali pamoja na kutoa uzushi. Maana hata hoja ya kuwaeleza wananchi kwa sasa hawana, wameamua kujificha nyuma ya keyboards na kupost uzushi. Kwa hiyo majimbo yao mapya ni kama ulivyoeleza hapo juu.

Lumumba
Bado wanapewa Buku 7 ? au zimeshuka kama ilivyoshuka bei ya sukari?
 
Jimbo la kawe limekumbwa na madhara makubwa kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha juzikati.

Maeneo ya Basihaya, Boko, Kawe chini, Mbezi chini na Kunduchi ni baadhi tu ya sehemu zilizoathirika ikiwemo nyumba kubomoka kabisa na nyingine kuzingirwa na maji hadi leo.

Tumekuwa na mkuu wa mkoa Makonda, mkuu wa wilaya Hapi na viongozi wengine katika kuwapa faraja wahanga wa mafuriko lakini cha ajabu mbunge wetu hatujamuona kabisa, ndomana nauliza hivi Mdee kastaafu au kulikoni awatupe hivi " waliompigia kura"!!?

Anayejua alipo anijuze tafadhali!
DOMOKAYA, ni mpiga kura mpumbavu tu asiyejua ofisi ya mbunge wake iko wapi.
 
Yale MAJANI yanayotia MIHEMKO na kusababisha mtu KUSEMA HOVYO, KUROPOKA, KUTUKANA siku hizi yamekuwa adimu!
 
Jimbo la kawe limekumbwa na madhara makubwa kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha juzikati.

Maeneo ya Basihaya, Boko, Kawe chini, Mbezi chini na Kunduchi ni baadhi tu ya sehemu zilizoathirika ikiwemo nyumba kubomoka kabisa na nyingine kuzingirwa na maji hadi leo.

Tumekuwa na mkuu wa mkoa Makonda, mkuu wa wilaya Hapi na viongozi wengine katika kuwapa faraja wahanga wa mafuriko lakini cha ajabu mbunge wetu hatujamuona kabisa, ndomana nauliza hivi Mdee kastaafu au kulikoni awatupe hivi " waliompigia kura"!!?

Anayejua alipo anijuze tafadhali!

Ulitaka aje ayanywe hayo mafuriko, au yeye ndiye aliyeleta mafuriko? Pambaneni na mafuriko yenu.Hivi unakumbuka ya tetemeko la Kagera au ulikuwa hujazaliwa?
 
Back
Top Bottom