Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, Dec 23, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  WANAJUKWAA,Naomba kuanika kwamara nyingine tena ubadhilifu,Ufisadi na uhujumu wa mali unaofanywa na katibumkuu wa CHADEMA taifa Ndugu.Dr.slaa.

  Nia yangu sikumchafua huyu katibu mkuu,bali nikuuonesha namna umma unavyoishi na watu wenye ngozi ya kondoo ili hali ni mbwa mwitu(simba wenye njaa kali).Dr.slaaa naonekana ni kipenzi cha watu katika ulimwengu huu wa siasa za tanzania.Nyiewa penzi,marafiki na mashabiki wa Dr.slaa huu hapa ni ubadhilifu,ufisadi mkubwa anaoufanya katibu mkuu wa CHADEMA.

  UFISADI WAKE UMEJIKITA KWENYE MAENEO MAKUU MAWILI
  1.KUFISADI KIWANJACHA WAHANGA WA MAFURIKO MWABWE PANDE(OPEN SPACE) HAPA JOESPHINE MSHUMBUSI NDIYEDREVA.
  2.UFISADI WA MRADI WA MAJI KARATU(KAVIWASU)
  Naomba kuanza na sakata la kiwanja cha mwabwepande(open space).Kwenye hili sakata,Dr.slaa akishirikiana na mchumba wakeJosephine Mshumbusi chini ya mkono wa diwani wa kawe Janet Rite,Dr.slaa amefanya uvunjuifu wa sheria kwa kumshawishi janet Rite(diwani wa chadema kunduchi)agawiwe eneo la wazi kwenye viwanja vya wahanga wa mafuriko yaliyolikumba jiji la Dar es salaam.

  Janet Rite ambayekatika ugawaji wa viwanja yeye alikua ni mmoja ya madiwani eneo la mwabwepande alipata nafasi kutoka kwa halamshauri ya kinondoni kusimamia ugawajwi waviwanja eneo lililo ndani ya mpaka wake wa kata ya kawe.
  Janet Rite ambaye nirafiki wa karibu sana na Josephine mshumbusi kibiashara(siri) walifikia makubaliano ya kumpa Dr.slaa kiwanja eneo lile la wazi,kwa ahadi kubwa ifuatayokutoka kwa Dr.slaa.
  1.Dr.slaa naJosephine walimuahidi janet Rite kuwa itakapo fika mwaka 2015 Josephine mshumbusi atakuwa mbunge wa chadema kupitia jimbo la kawe na atafanya ushawishiwa janet Rite kuwa Mwenyekiti wa madiwani wa chadema kinondoni.
  2.Kutokana na biashara wanayofanya,Janet Rite ni aliahidiwa kuchukua robo tatu ya fedha waliyoikusanya kutoka kwa mfanyabiashara anayeitwa (farijaral) ambaye mwezi wa7 mwaka huu aliwapatia kaisi cha sh.Million 80 akina josephine mshumbusi na janet Rite kwa bishara wanayofanyaina wakiwa eneo la Kebbys Hotel mwenge.
  NOTE:Jimbo la kawekwa sasa lipo kwenye mgogoro mkubwa uliotengenezwa na dr.slaa kupitia kwa janet Rite na Josephine mshumbusi wakipandikiza watu wamkatae halima mdee.
  (Halimamdee anaweza kudhibitisha hili).

  Mnamo mwezi wa 9 tar.23 janet Rite aliandamana na watu wakewasiopungua 30 kwenda makao makuu ya chama kumpinga halima mdee kuwa amekua akifanya mambo mengi tofauti kabisa na chama.Dr.slaa alipokea maandamano yalena kuwaahidi kushughulikia halima mdee.

  Pia halima mdee alipokuwa akifungua ofisi ya chama maene o ya Bokomnamo mwezi wa 8 mwaka huu kuna kundi la akina mama waliandaliwa na josephine na Janet Rite wakamzomee halima mdee.

  NOTE:Halima mdee ni mbunge pekee wa upinzaniwa kushindania jimbo na sio viti maalumu.

  Hii yote inatengeneza zengwe la kumchafua halima mdee ilimwaka 2015 atoswe.

  Moja ya siasa chafu za kumchafua Halima mdee ni ile thread ilianzaishwa hapa na vijana wa dr.slaa ikisema(HALIMA MDEE AMFUNGA KIJANA WA WATU BILA KOSA)Kutokana na Dr.slaa kuhusika na kushawishi kwa kujipatia eneo la wazi mwabwe pande,Kamati kuu yachama iliyokaa Ubungo plaza juzi imejipanga kufanyia upembuzi yakinifu nakumuanika Dr.slaa kwenye kamati kuu ijayo.

  Wana Jf,Hili sakata la kiwanja cha mwabwe pande limechukua sura mpya mara baada ya serikali kuanza kupitia upya maeneo yote ya ramani navigogo waliojigawia viwanja.mpango utakao ratibiwa na halmashauri ya kinondoni chini ya kitengo cha ardhi.

  UFISADI WA DR.SLAA KWENYE MRADI WA MAJI(KAVIWASU) KARATU.

  Wana Jf,karatu nimoja ya wilaya zenye matatizo makubwa sana ya maji.tatizo hili kubwa la maji linatokana na ukame pia wingi wa wafugaji na ukosefu wa miti tunza maji.
  Dr.slaa akiwa mbunge wa karatu alifanya vyema sana kutatua tatizo la maji.Alitumia nafasi yake ya ubunge kuandika proposal kwenda shirika la maji nchini Ujerumani kuwaomba kusaidia kuchimba visima vingi jimboni karatu ilikuondoa kabisa tatizo la maji pale karatu.

  Serikali ya Ujerumani iliafikiana na mbunge huyo(Dr.slaa) na kuanzisha mradi waliouita(KAVIWASU).Lakini serikali ya ujerumani wakati wa kuuanzisha mradi huu waliishirikisha serikali ya tanzania,Hivyo ulikuwa unapitiwa mara kwa mara naserikali ya nchi.
  Mradi huuu ulitoa pesa za kuchimbia visima vingi ambavyo vilichimba pale karatu.Huduma ya maji kupitiav isma hivi ilikuwa niya kulipia kwa kiwango cha chini kabisa ili wananchi waweze kukimu upatikanaji wa maji.

  Baada ya Dr.slaa kuacha ubunge pale karatu hakuukabidhi mradi ule na kuundelea kuuratibu yeye mwenyewe chini ya mwenyekiti wa mradi ndugu Jablet mnyenye(diwani wa chadema karatu mjini).
  Kwakuwa mungu hafichi uchafu,Siku moja mkaguzi wa serikali alipita kukagua mradi ulena aligundua wizi wa fedha za mradi na ufisadi wa vipuli vya mradi ule.
  Mkaguzi alimwandikia barua dr.slaa na kumtaka atolee ufafanuzi,lakini swala hili liliwekwenda mbali zaidi na kutaka chadema iundetume ya kuchuguza ufisadi ule.Chadema kupitia kamati kuu iliunda tume ndogoifuatayo.
  1. Masinde(mwenyekitiwa kamati)
  2.Josephat Minde(katibu)
  3.Elias Kisurula
  4.Shida salum
  5.n.k
  Hii tume ilifanya uchunguzi wake na kupeleka majibu mbele ya kamati kuu ya chadema taifa kamaifuatavyo.,
  Dr.slaa alimdanganya mkaguzi wa serikali kwamba mradi una bajeti ya million 160 kwa mwaka.Wakatimradi una bajeti ya zaidi ya million 200 kwa mwaka.
  Dr.slaa akisaidiana na mwenyekiti wa mradi Ndugu Jublet Mnyenye waligawana million 400 za mradihuo.
  Jublet manyenye alikiri wazi mbele ya tume ya masinde kwamba Dr.slaa alichukua fedha zile nakumkabidhi Josephine.

  Pia jublet alikiri kwamba kuna fedha zinatengwa kila mwishoni mwam wezi kwaajili ya kutunza familia ya Dr.slaa pale karatu hii familia nimwanamke mmoja aliye zaa naye Dr.slaa(Jina naomba nilihifadhi kumlinda yulemama).Huyo mwanamke anasomesha mtoto na wadogo zake na fedha zote zinatoka kwenye ule mradi.
  Jublet Mnyenye(diwani wa karatu mjini) alikiri wazi kunavifaa vya kuendeshea mitambo hununuliwa dukani kwake pale pale karatu kwabei kubwa kinyume na bei harisi ya vifaa.Hii hela ya juu huwa wanagwana na Dr.slaa.
  Wna Jf,Kutokana na matokeo ya kamati ile na kuuanika ufisadi huu wa dr.slaa.kamati kuu ya CHADEMA taifa iliyokutana pale ubungo plaza iliamua kuvunja uongozi mzima wa karatu.(refer gazeti la mwananchi wikii liiyopita).
  NYONGEZA:Kutokana na tabia ya Dr.slaa kuuza majimbo mbalimbali ya wabunge wa chadema kama anavyo fanya kawe,alivyofanya jimbo la Makamu mwenyekiti wa chadema taifa said Arf kule sumbawanga na kupelekea said Arfi kutupa kadi.
  Hata pale karatu Dr,.slaa amewagawa wabunge kwa kimajungu na ubaguzi.Kuna kundi lake linalohusisha Jublet Mnyenye(diwani-chadema),Cecilia paleso (mbunge viti maalumu) Uongozi wa BAVICHA wote na Katibu wa wilaya chadema.
  Wakati kuna kundi ambalo Dr.slaa analipiga vita na hataki kabisa kulihusisha kwenye kazi za chama pale karatu ni Maasai,natse(mchungaji)mbunge na mwenyekiti wa chadema karatu anaitwa Moshi darabe.
  Dr.slaa amemuahidi Cecilia paleso kuwa atagombea jimbo la karatu,Hivyo asihofu kabisa atafanya juuchini kuwatoa waliopo kwa sasa pale jimboni.Kwanini Dr.slaa anamuahidi cecilia kugombea jimbo.??

  Dr.slaa na baba yake cecilia pareso walishawahi kuhukumiana mahakamani kisa kilikuwa ni shamba kule kule karatu.Dr.slaa alishinda kesi ile na mzee paleco alitakiwa kulipa fedha,lakini bahati mbaya mzee paleso hakufanikiwa kulipa,Cecilia paleso alipopata mkopo wake wa kwanza pele dodoma bungeni alikwenda moja kwa moja kumlipa Dr.slaa na hapo ndipo urafiki wa karibu ulioanza na hadi kuahidiana jimbo.

  MY TAKE:Dr.slaa chana na kutengeneza makundi na kubagua watu ndani ya chama.Unaua chama na kujiimarisha wewe.Halima mdee mwachie kaweyake-iron lady ndani ya chama.
  Josephine mshumbushi kaa mbali na siasa za chama.

  FREEMAN MBOWE WEWE NDIYE MJENZI WA CHAMA SINCE UKIWA UMOJA WA VIJANA,UMEJITOLEA KUISIMAMISHA CHADEMA YA HII HADI HAPA,LAKINI DR.SLAA KAZI YAKE NI KUHARIBU,KUVUNJA NA KUBOMOA CHAMA CHINI KWA CHINI.
  FREEMAN MBOWE USIKUBALI CHAMA KUVURUGWA NA HUYU MZEE ANAYEKULA MATUNDA YAKO


  TUSITEGEMEE KABISA HIKI KUTOKEA
  "KUBEBA MIMBA YAKIFISADI,CHUKI,UBAGUZI THEN TUTEGEMEE KUZAA UKOMBOZI "


  Nakana Tuntemeke kutumkika kama ID ya hao waliotajwa,Tuntemeke imezaliwa mwaka 2009 kamainavyonesha,hao wengine na kundi tajwa limezaliwa lini?.Haipo hapa kuchafuawatu bali kufichua maovu na kusifia mema.


  Tuntemeke ninawatakieni Heri ya x mass na mwaka mpya. wana Jf wote
  Nawasilisha

   
 2. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 951
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 60
  TUNTEMEKE,

  Kama wewe ni mwanaume, Slaa alikuchukulia mke? Sijaona thread ambayo umeanzisha haijamlenga Slaa/wachagga. Inatufanya wengine tushindwe kukuamini. Tunakuona kama upo hapa for a mission. Badilika mkuuuuuu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Huyu ni juliana kabisaa halafu mbona umejitoa fb jana?
   
 4. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,331
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  hujanishawishi!
   
 5. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,419
  Likes Received: 3,895
  Trophy Points: 280
  Kwa kuwa hili jungu limepikwa kike kike, nina uhakika mwana PM7 aliyehusika hapa ni Shonza maana Habib Mchange aliibuka muda mfupi uliopita kulalamikia Heche kumpendekeza Dr Slaa agombee urais...

  Wewe Zitto Kabwe wewe, hizi mbinu za uhuni wa kitoto kamwe hautakuwezesha kupata urais wa nchi hii ili ujipatie utajiri kupitia gesi ya kusini. Umeshindwa kumgombanisha Dr Slaa na Mbowe sasa ni Dr Slaa na Mdee ili ukivuruge chama kuwasaidia wafadhili wako CCM kuendeleza utawala wa Dhuluma dhidi ya sisi watanzania..,

  Zitto mdogo wangu dhambi ya usaliti kwa kijana wa miaka 35 itakuandama hadi unazeeka. Chukulia mzee Mandela angekuwa aliwahi kuwasaliti wananchi wa ZA, angekuwa hadi leo anateswa na dhambi ya usaliti. Don't just think of today Zitto, think of tomorrow and after tomorrow. We want Dr Slaa for President 2015, we are sick and tired of CCM...
   
 6. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  juliana anatapata tu, amepoteza mwelekeo, sielewi aliwezaje kuwa makamu mwenyekiti wa bavicha ilhali amejaza u.pu..pu. kichwani, ....so sad, dr.slaa fukuzeni hivi virisi chamani!!!!
   
 7. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  mwezi mchanga uko kawe au karatu au una nyeg
   
 8. a

  adolay JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,340
  Likes Received: 2,645
  Trophy Points: 280
  Ama kweli kichwa cha anaetumia id ya tuntemeke kimejaa maji taka.
   
 9. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Duh ngumu kumeza maana hii issue CCM wangeshalipua siku nyingi sana, jinsi Dr Slaa alivyo na maadui ile kipande ya pili. Is this mission 2015?
  Ukweli utajulikana tu.
   
 10. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,105
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Taarabu za masauzi classic na jahazi modern taarabu..... ndio zinazoendelea, kwan wanaopita hapa ni wenye akili timamu.. naisi kupungua kwenu kubaki 5 na ZZK ndio tatizo jipangeni upya na mrudi tena ili lengo lenu la kutaka urais litimie....
  1. Issue kama kiwanja, je lowasa kile kiwanja cha karibu na serena hotel cha sanaa alipataje?, viwanja vywa temeke, kisalawe n.k ambavyo mpaka ZZK anacho alipata ki halali? upuzi kabisa

  2. Karatu kila mtu anajua kinachoendelaea

  Jipange upya

  V
  SENGEREMA.
   
 11. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #11
  Dec 23, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,126
  Likes Received: 2,025
  Trophy Points: 280
  Nasikia mmenunuliwa SUMSANG Tablet kwa ajili ya hii kazi na wafadhili wenu, Na Dogo ndo aliwaletea kutoka nje, kazi ipo
   
 12. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #12
  Dec 23, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,130
  Likes Received: 3,425
  Trophy Points: 280
  Haahaa alianza Mchange kumlilia Heche, sasa kaja
  Juliana Shonza kwa ID ile ile,


  Zitto utaishia pabaya tena unaweza kuihama nchi kabisa,
  Subiri sikukuu zipite ndipo ujue siasa za Tz na usaliti/uhaini vikoje!
   
 13. l

  lipigime Member

  #13
  Dec 23, 2012
  Joined: Dec 9, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 14. m

  malinda Senior Member

  #14
  Dec 23, 2012
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunteneke,umeongea ukweli,DR slaa ni fisadi kama ccm wenzake,na yule mchumba wake ndio anamchanganya kabisa,Namshauri mchumba wa Slaa asome alama za wakati,anamuharibu slaa na sasa slaa hafai kabisa.
   
 15. KXY

  KXY JF-Expert Member

  #15
  Dec 23, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 876
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  watumiaji wa Id wameongezeka?
   
 16. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #16
  Dec 23, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  eti ndo genge la watu wanaotaka urais...masalia bana, mbona weupe hivi???
   
 17. aspen

  aspen JF-Expert Member

  #17
  Dec 23, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Haya madai ya tuntemeke yana ukweli kwa kiasi kikubwa sana hasa mradi wa maji karatu na uhakika Dr amekuwa akishirikiana na jublate mnyenye kwenye kuhujumu huu mradi ukweli utabaki pale pale Dr anakubalika sana kwa sasa ila si msafi sana just matter of time kila kitu kitakua open
   
 18. KXY

  KXY JF-Expert Member

  #18
  Dec 23, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 876
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Ben alimsahau nini
   
 19. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #19
  Dec 23, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Waone wenye njaa hawa. Ulikuwa wapi siku zote, na kwa nini uje kusemea huku, kasimawe kwenye jukwaa uyasema haya kama wewe siyo ndiyo ngozi ya kondoo usiye maanisha unachosema. Kuandika kwenyewe shida halafu unataka kuwa kiongozi. Shame on you.
   
 20. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #20
  Dec 23, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kinachosikitisha hawana hoja bali wanakuja na mere accussations na kejeli...even wanavyopresent hizo tuhuma zao yaonyesha jinsi gani walivyo na upeo mdogo wa fikra na upembuzi wa mambo!!! zk ulikosa timu imara ya kuunda PM7?? kwani hawa kina juliana ni wepesi sana.....
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...