Halima Mdee amestaafu ubunge?! Mbona kimya sana?

Halima Mdee amestaafu ubunge?! Mbona kimya sana?

Yule Mbunge machachari wa CHADEMA yupo wapi?!

Mbunge aliyeichachafya serikali bungeni, mwenye kujiamini, apendwaye na wanajimbo wake wa Kawe, asiyeogopa binadamu yoyote hata awe na cheo cha kutisha, mbunge aliyekuwa anatetea na kutatua kero za wanajimbo lake...

Je kachukuliwa na watu wasiojulikana? Au kafinywa na watu wasioujilikana, labda kwa sababu mbalimbali..

Yuko wapi mbunge wetu Kawe Halima Mdee ?!
Yupo mbn kaka
 
Kamuulize babako aliyezuia siasa ili azifanye peke yake. Mwambie tumeshamwachia uwanja.
 
Kasusa, anatokea kwa manati, dilinyingi zimevurugika hivyo hakikaa sawa mtamwana.
Mambo yake mengi kwa sasa hayaendi na mbele anaona giza alafu mnamtaka dadawa wa watu aje kufanya nini.
Angalieni mnapo chagua siyo kwenda na mihemko mtafeli.
 
Jimbo la kawe limekumbwa na madhara makubwa kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha juzikati.

Maeneo ya Basihaya, Boko, Kawe chini, Mbezi chini na Kunduchi ni baadhi tu ya sehemu zilizoathirika ikiwemo nyumba kubomoka kabisa na nyingine kuzingirwa na maji hadi leo.

Tumekuwa na mkuu wa mkoa Makonda, mkuu wa wilaya Hapi na viongozi wengine katika kuwapa faraja wahanga wa mafuriko lakini cha ajabu mbunge wetu hatujamuona kabisa, ndomana nauliza hivi Mdee kastaafu au kulikoni awatupe hivi " waliompigia kura"!!?

Anayejua alipo anijuze tafadhali!
YUKO NJIANI ILA AKIFIKA ATAONGEA NASI [Just a joke pse]
 
Sina takwimu ila nasikia kwa mbali yupo jirani kuleta mtu mpya duniani.
 
Ulitaka aje akupe pesa ya kuhnga mchepuko wako ndo ujue yupo?
 
Upinzani wako bize na Social media, wana majimbo mapya yanaitwa Twitter, Facebook na Istagram.

Na wapiga kula wao ni Mange Kimambi Followers na si nyinyi tena.

Umesahau na press Conferences
Na Jimbo La JPM kasema nini
 
Kafungiwa kuuzulia vikao vya bunge takribani mwaka mmoja.
Ana kesi za kujibu za kisiasa zaidi ya tatu.
Na yeye ni binadamu anajizatiti na kutafakari machungu visa na mikasa iliomuandama mwaka huu.
 
Jimbo la kawe limekumbwa na madhara makubwa kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha juzikati.

Maeneo ya Basihaya, Boko, Kawe chini, Mbezi chini na Kunduchi ni baadhi tu ya sehemu zilizoathirika ikiwemo nyumba kubomoka kabisa na nyingine kuzingirwa na maji hadi leo.

Tumekuwa na mkuu wa mkoa Makonda, mkuu wa wilaya Hapi na viongozi wengine katika kuwapa faraja wahanga wa mafuriko lakini cha ajabu mbunge wetu hatujamuona kabisa, ndomana nauliza hivi Mdee kastaafu au kulikoni awatupe hivi " waliompigia kura"!!?

Anayejua alipo anijuze tafadhali!
Teja hilo, doze imezidi
 
Upinzani wako bize na Social media, wana majimbo mapya yanaitwa Twitter, Facebook na Istagram.

Na wapiga kula wao ni Mange Kimambi Followers na si nyinyi tena.

Vipi nyie mliopo humu JF
 
Back
Top Bottom