Halima Mdee amestaafu ubunge?! Mbona kimya sana?

Halima Mdee amestaafu ubunge?! Mbona kimya sana?

Hizi si zama za kuropoka!!!!!! bora ujiachie ule bata au fanya mambo yako kuliko ku deal na siasa za bongo! vinginevyo utaishia segerea kila utakachoongea. Tusubiri uchaguzi ili tulopoke.
 
Na udhibiti wa misuba unachangia kukaa kimya
 
Yuko gerezani anatumikia kifungo cha mwaka mmoja kutoingia mbungeni .
 
Kama siku mbili tatu alituibukia maskani cape stad.
 
Yule machachari wa Chadema Diaspora chadema saut mwanza yupo wapi?!
Mbunge aliyeichachafya serikali bungeni, mwenye kujiamini, apendwaye na wanajimbo wake wa Kawe, asiyeogopa binadamu yoyote hata awe na cheo cha kutisha, mbunge aliyekuwa anatetea na kutatua kero za wanajimbo lake...
Je kachukuliwa na watu wasiojulikana? Au kafinywa na watu wasioujilikana, labda kwa sababu mbalimbali..
Yuko wapi mbunge wetu Kawe @halimamdee ?!


ALIAMBIWA ULE U MAJUNUNI WAKE NA KUJIFANYA KICHWA MAJI KAMA SUPIKA AKISHINDWA KUMUADABISHA KULE MJENGONI BASI JONGWE AU KIBOKO WA MAGABACHORI ATAFANYA KAZI HIYO !!! MWENYEWE KATULIZA "KIPAGO", KAUFYATA !!!!
 
Kuna vitu mtu unabidi uelewe mapema hata kama utajidai akiri hazikutoshi ,huu uongozi si wa kuanza kuleta leta mambo ya jk sijui eti dhaifu sijui nn itakula kwako.
 
Weeweeeeeee, Chezea kauli ya washughulikie huko mjengoni na wakija huku mtaani tunawapa dozi!!!??

Unadhania hiyo kauli ni hewa!? Hiyo kauli inafanywa kwa vitendo.
 
Kaka selo masaa 2 tu kazimia .angekaa masaa masaa 10 je?
 
Back
Top Bottom