Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

This is very true, Kawe tuna hasara kubwa, huyu mheshiiwa hata asipokuwa polisi, magereza na mahakamani, hana muda kabisa na jimbo. Kwa bahati mbaya hata chama chake na Mwenyekiti wao ni bogus, trash kabisa ya hali ya juu, hata wangekuwa na akili wange fanya innovation kwa kuomba apumzike walete acting mbunge. Ninajuta sana kumpatia kura yangu huyu mama na chama chake, vituo vye polisi vimefungwa, barabara hazipitiki, mafuriko yasiyo ya lazima kwa kushindwa kuwakabili wapigaji kama bwana Kusaga Mandege wa hapa Zoo, hana muda wa kazi huyo halima yuko busy na mambo yake tu. Pili tabia njema ni silaha, Dr Slaa alikua anasema ukweli sana hata kutaja ile list ya mwembechai lakini hana matusi, dharau na utoto wa namba hii. huyu bibie siku chache tu zilizopita aliomba msamaha mbele ya taifa zima, leo karudia yale yale hata mahakamani kesi yake itakua ngumu sana kumtetea

Pumba + vu kura yako ulimpa mtoto wa Warioba ,hayo maendeleo unayoyaropoka kwanini ccm wameshindwa kuyaleta hiyo miaka yote 50? Hayo majimbo yenye wabunge Wenye heshima kwa utawala kama Mtera, Dodoma yote ,Mtwara, Lindi, Simiyu, singida,songea , Pwani yote n.k yanamaendeleo gani kuizidi Kawe kama sio umasikini na ushamba uliokithiri? Au wao hawana shida?

Tatizo bajeti zinapangwa bungeni serikali haina pesa ya kutekeleza miradi hiyo usimsingizie Halima Mdee
 
Hapo sasa ndio ilitakiwa watu wajue hizi ni zama nyingine mkuu. Mwendo wa sasa ni "Kulichosha Adui". Ukiamua kuibeep Serikali hakikisha haujajiunga kifurushi cha Chuo...tehe tehe.
Na wakatao umiaaa wengi wao ni wako ccm huko!

Ova
 
Matatizo ya Kibiti yanatupa shida sana sababu ya kukosekana kwa weledi ktk vyombo vyetu vya dola. Halima is harmless to anyone. Anatumia haki yake ya kikatiba kutoa maoni. Nguvu kubwa ajabu inatumika kumkomesha mwanamke huyu wa shoka, lakini wananchi wa kibiti wanaambiwa wajilinde wenyewe polisi hawawezi kufika.

Haya mambo ndo yanatufanya watu weusi tuonekane mazwazwa. Tunatumia energy nyingi sana kwa mambo yasiyo na msingi.

Kweki akili za upinzani ni kama za watoto. Silaha ya mkononi inaua sana sana watu wasio mzidi 10, lakini silaha ya mdomo, kama midomo ya upinzani hua Taifa lote. Yaliyotokea Rwanda jirani ni mfano tu. Yaliyotokea Ujerumani ya Hitler haisahzuliki.

Wewe na wenzio endeleeni tu na ushabiki lakini hamfiki mbali ila rupango
 
Siku hizi Lema anaongea kwa heshima na adabu na kuacha ndoto zake za kishetani.

Na huyu mkosa adabu aliyetukana Watanzania wote atatoa adabu tu.

Amelainishwa Oyster bay sasa ana kwenda kufundwa Central.

Asiyefundwa na ***** hufundwa na ulimwengu.
 
You are a slave disguised as a civilized person. How dare you call your own countrymen and women savages? You call your own parents and relatives saveges because your master told so. You dress like whitemen, speak their language, and learn to kiss their baty and now you consider yourself to be a whiteman! Shame on you! Wewe ni wa ajabu labda kama sio mtanzania au wazazi wako watanzania. Democracy has nothing to do with lack of manners and morals. You expect Magufuli to excersise fair politics while yourself can not excercise honourable politics?
Unatakaje wewe?
 
Kuwa central ni matokeo ya kumwambia ukweli dikteta uchwara. Nyie mazumbukuku hamwezi kukaa selo kwa sababu mu waoga kama kunguru.
Yule jamaa yenu ataambiwa tu ukweli. Na mnajua ukweli unavyouma. Mahakamani mnaogopa kumpeleka kwa sababu mnajua mnamnyanyasa tu bila haki. Shwain.
We kweli kidume(au kijike) kama Halima!!
Kamsaidie sasa Halima kunyea ndoo!!
 
Acheni kumfariji ujinga, Huwezi kusema ukweli kwa kuhatarisha usalama wa nchi. Mdomo sio wa kuropoka ropoka kila kinachokujia kinywani.
Hivi nyie watu mnaomuona ngosha anafanya vizuri katika utawala wake mmerogwa au ni kwa sababu wote mnatoka kule kanda ya ziwa?

Hivi nyie mmekwenda shule kweli na kujua nini maana ya uongozi? au mtu kuwa Rais wa nchi ndio tayari anakuwa Mungu? acheni kuwa kama watu wasio kaa darasani. Yaani mtu umesoma toka shule ya msingi unaelewa nini maana ya demokrasia hadi chuo kikuu, halafu mtu anakuwa dictator bado mnamsapoti, kweli mpo vizuri nyie kichwani?

Kweli hakuna kitu kibaya kama njaa au kujipendekeza ili tu tumbo lipate shibe. Ila ipo siku na saa, Mungu Mkuu aliye juu atajibu maombi juu ya haya manyanyaso kwa hawa watu wanaojiona wao ndio Mungu.
 
Siku hizi Lema anaongea kwa heshima na adabu na kuacha ndoto zake za kishetani.

Na huyu mkosa adabu aliyetukana Watanzania wote atatoa adabu tu.

Amelainishwa Oyster bay sasa ana kwenda kufundwa Central.

Asiyefundwa na ***** hufundwa na ulimwengu.
Na ninavyoona , she is in for the long haul.
Huyu anaweza kukaa ndani zaidi ya Lema, maana kibri kimempanda kichwani, anajidai haambiliki!!
 
We kweli kidume(au kijike) kama Halima!!
Kamsaidie sasa Halima kunyea ndoo!!
Kunyea ndoo ni heshima kwa mtu anayejitambua. Takataka kama nyinyi ndio mnaona kunyea ndoo ni tabu. She is a hero, anapinga ukandamizaji, uonevu, udikiteita, uuaji (Ben), upotezwaji (maiti wa kwenye mto ruvyu) etc, etc, etc
 
Siku hizi Lema anaongea kwa heshima na adabu na kuacha ndoto zake za kishetani.

Na huyu mkosa adabu aliyetukana Watanzania wote atatoa adabu tu.

Amelainishwa Oyster bay sasa ana kwenda kufundwa Central.

Asiyefundwa na ***** hufundwa na ulimwengu.
Faiza wewe mwanao akijikwaa mimba ya wahuni mitaani unamfanyaje?! Unamtelekeza?! Au unampa nafasi tena ki maisha?! Mwambieni Mzee hawakomoi watu hawa wa kawaida bali wale maskini wa kutupwa wa vijijini !!!
 
Hapo sasa kama ni kupelekwa mahakamani ni jumatatu au jumanne! KAMA bado yuko kwenye hunger strike jumanne watampeleka hospitali siyo mahakamani maana afya yake itakuwa si nzuri, labda jumatano hakimu atamsomea mashitaka akiwa kitandani. Very sad!

Hivyo ndivyo wanavyofanyiwa wapinzani na wote wanaothubutu kuusema ukweli mchungu.

Mlioko Dar tuwakilisheni vizuri na mwambieni kamanda Halima Mdee kuwa sisi tunaojua ukweli na thamani ya anachosimamia tunaendelea kumuombea kwa mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu anapoumia kwa ajili ya wengi.

Huu udhalimu hatimaye utafikia mwisho!
Kama unaona halima mdee ana thamani basi wewe ni kichaka
 
anasimamia nn? huku kawe Barabara mbovu, Maji shida,
Asimamie yeye ndio serikali? yeye ndio engineer? maji shida....yeye ndio ana bajeti ya maji? huyo ngosha kila siku kutafuta KIKI bajeti ya 2016/17 imetekelezwa chini ya asilimia 40; na makusanyo ya kodi kwa sasa ni bilioni 700 kwa mwezi kutoka 1.3 trilioni.

Je huyo mbunge atoe mshahara wake ili akutengenezee wewe barabara au kukuletea maji? kwanini msiwalaumu hao mnaowatetea ccm wenu wawaletee hayo mnayoyataka? mnaona jinsi gani kipindi cha JK upinzani ulivyosaidia kuisema serikali na kuibua madudu mbali mbali ambayo ilisaidia kwa kiasi kikubwa kuboresha maisha ya wananchi, lakini leo Mungu wenu Mkuu JPM yeye ndio kawa kila kitu hataki kusemwa, YEYE NANI? anadhani yeye hatakufa? anajiona yeye ndio YESU si ndio?

Okay, asubiri, Mungu wa siku hizi ni kijana sio mzee, anaona maovu yote. days are numbered.....kwa kukukumbusha tu nikuulize....leo hii yupo wapi Selina kombani? yupo wapi Komba? na wengineo wengi tu.....kumbuka Mungu ni mmoja tu. utakumbuka maneno yangu haya mwakani....2018...tarehe na mwezi kama huu Mungu akituweka hai.
 
Saafi sana, mamlaka za nchi lazima ziheshimike. Akitoka huko akili itakuwa imemkaa sawa. Hii ndio laana ya kumtukana Spika Ndugai, kakutana na kisiki Mzirankende.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mzirankende
 
Back
Top Bottom