Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

Labda uwe kipofu ndio hutajua kinachoendelea Tanzania; vita na kampeni dhidi ya viongozi wa vyama vya upinzani, huku Polisi wakitumika kutekeleza "amri toka juu" dhidi ya viongozi hao. Ni vita ambayo ni wazi ni vigumu kuzitumia mahakama, kwa kuwa tuhuma zinazotolewa dhidi ya viongozi wa upinzani zikifika mahakamani huwa zinaonekana hazina mshiko.

Hivyo polisi imeonekana ni chombo rahisi kutumika kuwakomoa voingozi wa upinzani, hata kama katika kufanya hivyo sheria na haki zao za kibinadamu zitavunjwa. Ni jambo linalouudhi na hata kufunika mazuri yeyote yanayofanywa na serikali iliyopo. Ni jambo la kidikteta. Hainifurahishi hata kidogo ukinijengea reli ya standard, kuimarisha uchumi, kuzuia ufisadi nk, na huku nikijua unavunja haki za msingi za Watanzania wenzangu. Huwezi kununua haki ya binadamu ya mtu kwa uzuri unaofanya sehemu nyingine. Hitler alifanya makubwa kwa Ujerumani, lakini mwishoni alihukumiwa na ulimwengu wote kuwa kiongozi mwovu, na leo hii hakuna anaeongelea mazuri aliyofanya Hitler kwa Ujerumani. Kwa jinsi hiyo basi, ubabe huu unaofanywa katika nyanja za siasa hapa Tanzania, ni jambo linalopaswa kupingwa na kila mtu anayethamini utawala wa kisheria, ndani na nje ya mipaka.

Na Mtanzania yeyote mwenye akili atajua kwamba Halima Mdee anakomolewa kwa aina ileile iliyotumika kumkoa Lema - amri kutoka juu. Amini nawaambieni, mwisho wa utumiaji huu mbaya wa madaraka sio mzuri kwa nji yetu. Tunaelekea kubaya mno.
 
akitoka huko atakuwa mwanamke anaejiheshimu..na anayeheshimu jamhuri.

Rais wa jamhuri sio raihisi rahisi kama wanavyodhani..huwezi kumdhalilisha Mheshimiwa kwa kumkosea adabu..

anyooshwe tu hamna namna..
Hata Rais ni mwanadamu, si Mungu.
Upo wakati akiwa peke yake hisia na udahifu wa kibinadamu humjia.
Ipo siku hata sisi tutauona udhaifu wake wa kibinadamu.
Kwa sasa tunamtukuza kama divine being...
 
Labda uwe kipofu ndio hutajua kinachoendelea Tanzania; vita na kampeni dhidi ya viongozi wa vyama vya upinzani, huku Polisi wakitumika kutekeleza "amri toka juu" dhidi ya viongozi hao. Ni vita ambayo ni wazi ni vigumu kuzitumia mahakama, kwa kuwa tuhuma zinazotolewa dhidi ya viongozi wa upinzani zikifika mahakamani huwa zinaonekana hazina mshiko.

Hivyo polisi imeonekana ni chombo rahisi kutumika kuwakomoa voingozi wa upinzani, hata kama katika kufanya hivyo sheria na haki zao za kibinadamu zitavunjwa. Ni jambo linalouudhi na hata kufunika mazuri yeyote yanayofanywa na serikali iliyopo. Ni jambo la kidikteta. Hainifurahishi hata kidogo ukinijengea reli ya standard, kuimarisha uchumi, kuzuia ufisadi nk, na huku nikijua unavunja haki za msingi za Watanzania wenzangu. Huwezi kununua haki ya binadamu ya mtu kwa uzuri unaofanya sehemu nyingine. Hitler alifanya makubwa kwa Ujerumani, lakini mwishoni alihukumiwa na ulimwengu wote kuwa kiongozi mwovu, na leo hii hakuna anaeongelea mazuri aliyofanya Hitler kwa Ujerumani. Kwa jinsi hiyo basi, ubabe huu unaofanywa katika nyanja za siasa hapa Tanzania, ni jambo linalopaswa kupingwa na kila mtu anayethamini utawala wa kisheria, ndani na nje ya mipaka.

Na Mtanzania yeyote mwenye akili atajua kwamba Halima Mdee anakomolewa kwa aina ileile iliyotumika kumkoa Lema - amri kutoka juu. Amini nawaambieni, mwisho wa utumiaji huu mbaya wa madaraka sio mzuri kwa nji yetu. Tunaelekea kubaya mno.
Jamii Forum mnapaswa kujiangalia upya kuwagundua Moderators walipandikizwa na CCM ndani ya JF, ambao kazi yao kubwa ni kupunguza makali ya thread ambazo zinaikosoa serikali. La sivyo JF itapunguza mvuto iliouujenga, na halitakuwa tena jukwaa huru. Watu wa system wametuambia wazi kwamba kuna watu wa "system" ambao waliambiwa kwa njia moja au nyingine lazima wawe sehemu ya JF moderators. Mnao tayari.
 
::TAARIFA::

Taarifa kwa Wanachama wa Chadema na Wananchi wa Jimbo la Kawe, Mhe Halima Mdee Mbunge wa Kawe aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la Police Kituo cha Osterbay tokea siku ya Jumanne jioni mpaka sasa Amehamishiwa Central Police.

Kwa wale wote mnaotaka kumjulia hali Mbunge kwasasa tuelekee Central Police....

BY HENRY KILEWO
KATIBU CDM DSM
Hata kama ingekuwa baada ya miaka 5 badala ya masaa 72 tu. Inafaa akaa huko huko. Sisi tuko Chato na Ven Mkapa na JPM , mambo ya Mdee hayana nafasi yeyote wala tija yeyote ile kwa Taifa.

Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
 
akitoka huko atakuwa mwanamke anaejiheshimu..na anayeheshimu jamhuri.
Rais wa jamhuri sio raihisi rahisi kama wanavyodhani..huwezi kumdhalilisha Mheshimiwa kwa kumkosea adabu..
anyooshwe tu hamna namna..
Tatizo la Dada yangu NDOA hana
hivyo hawezi kumheshimu binadamu yeyote hasa mwanamume
mwacheni akae-akae rumande za Magereza
akitoa atanyooka
 
Natamani viongozi wetu wangekuwa wanajiuliza athari za mambo kama haya kwa taifa. Je, yanajenga au yanabomoa?
 
update please maana leo ni jumatatu vipi huko central wanasababu gani tena za kuendelea kumshikilia? au ameshapelekwa mahakamani? waliopo karibu tujuzeni tafadhali.... nashindwa kuelewa kwanini kurugenzi ya habri chadema mpo kimya saana.....Makene tunaomba ufanye kazi yako ipasavyo endeleeni kutujuza ninyi kama viongozi wa chama mmefikia wapi na mmechukua hatua gani? ukimya wenu unaleta ukakasi.
 
Tunafikiria kumpa kesi ya uhujumu uchumi au ya kutakatisha hela ili akae gerezani maisha Yake yote maana sisi hapa duniani tumekuja kuishi milele.
 
hongereni saaana enyi miungu watu......mtaishi milele na nyie ndio mna mamlaka yoote ya hapa duniani na mbiguni.
 
MWALLA, natumaini ni asubuhi na J2 njema hapo kwako.

Kwamba najifanya hamnazo mimi au wewe. Kutetea upande wa upinzani ni dhahiri wewe ni mfuasi wao. Kama hayo yaliyofanywa na huyo mtajwa wako, unashangilia na kutasifia, inakuwaje hao hao wanakejeli, kwa lugha ya mitaani, mambo makubwa kuliko hayo, yanayofanywa na uongozi wa Serikali iliyo madarakani, na kwa muda mfupi!

Viongozi wa upinzani wanapokosoa au kulaumu, wasijifanye hamnazo, la wanathibitisha unafiki na ujuha wa hali ya juu, kiasi kwa kutokuaminika kupewa madaraka ya kuongoza nchi hii. Kuna ushahidi wa matamko kwa lugha, ambazo hata mwenda wazimu hatumii.

Jumapili njema nikutakie
nikikujibu wewe ni hamnazo utanuna kama mjauzito...
we umeuliza.. waliifanyia nini serikali walipokuwa madarakani.. ndo nimekujibu. so unajifanya hamnazo kweli etiee??
 
Kwa lugha isiyo na staha, nikisema matusi nitakuwa sijakutendea vyema, wewe ni profesa. Keep it up
 
Kila baada ya wiki ni kamata kamata wapinzani

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom