Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

Kwa tafsiri yoyote mtoto mdogo kama Halima lazima afunzwe adabu.
Juzi tu hapa kamaliza masomo na sijui kama yuko zaidi ya 35.
Bado mtoto.
Sasa hata huko kwetu vijijini mtoto wa jirani akikuporomoshea maudhi, anacharazwa viboko.
Halima asijione kakua, na anauwezo wa kuongea chochote cha kuudhi.

JPM ana watoto, pengine wadoho kwa Halima.
Halima wala hajaolewa na hana unyumba.

Mtoto mdogo kuonyesga kibri, nara kwa Ndugai, sasa kwa Mkuu wa Nchi, hata Mwalimu alichofanya ni kuwacharaza bakora miaka hiyo.

Lakini bakora za kileo ni selo a.k.a Lema.
Wewe unaonekana una umri mkubwa, lakini akili ni za mtoto anayenyonya. Wewe na wajinga wenzio mtaburuzwa na buludoza hadi mtembelee makalio.
 
Bahati mbaya jasiri wewe umeungana na kunguru,sote tumejificha JF.Onyesha ushujaa wako hadharani.Unanikumbusha hadithi ya sungura mjanja aliyemdanganya fisi mjinga kuwa wakifika nyumbani kila mmoja ampige mkewe kama ngoma.Muulize babu au bibi yako atakuambia hadithi inatufundisha nini.
Wewe nawe mjinga tu. Hii ni hiari ya mtu. Hakuna sheria iliyovunjwa kwa kutumia jina bandia. Cha muhimu ni kuangalia ukweli katika andiko.
 
Mahakama hazifanyi kazi jumamosi.Mnamwongezea maumivu kwa matusi yenu.Subirini apelekwe mahakamani wiki ijayo.
Haina noma mbna jela zimejengwa kwa ajili yetu hata wee pia unaweza kwenda huko!

Ova
 
Lakini Halima naye jamani,sifurahii yaliyompata lakini hata angetoa mawazo yake kwa nidhamu binafsi tu,angeeleweka.Sasa shida yote ya nini?ikawa asubuhi ikawa jioni siku ya kwanza ya juma.
 
Yote yanapita na yanamuda wake ulitarajia nape kutolewa bastola??Vuvuzela kama yule??Akili za UVCCM ni sawa na kichwa,cha kuku
Yuko wapi mama Sofia Simba, mama wa vijembe na kejeli?
Dhahabu ili iwe bora shurti ipitie kwenye tanuru. Mheshimiwa sana aliwahi kuitwa mbwa na Manji nasikia, lakini leo Manji anaonja joto ya jiwe.
Tuwe na akiba ya matendo yetu kwa wenzetu kwani hatujui kesh yetu na yao. Kama mtu amevunja sheria mahali sahihi ni mahakamani na sio kumzungusha mahabusu za polisi. Mungu anawaona.
 
Hapa haitumiki Tafsiri ya matusi ya mahakama chief. Style ni ile ile ya Chosha Adui. Akifikishwa mahakamani anakuwa ameshachoka na mlolongo mzima. Nafikiri unakumbuka jeuri ya Yusuph (Manji) hapo awali alipoitwa kuhojiwa Central Polisi. Alitunishia kifua mamlaka na kuna Wanaharakati humu JF walishangilia sana kwamba yeye ni kidume..... Leo hii tunachokishuhudia ni mirindimo ya ragga muffin. Anajuta.
Mkuu sikata najua manji alikuwa n'a jeuri n'a jeuri hyo alikuwa anapewa n'a viongozi wakuu wa lumumba,tatizo hzo jeuri wanaokuwa nazo jiulize ni na alikuwa anawapa kama syo jamaa wa kijani.....

Ova
 
Wewe unaonekana una umri mkubwa, lakini akili ni za mtoto anayenyonya. Wewe na wajinga wenzio mtaburuzwa na buludoza hadi mtembelee makalio.
Yanayoburuzwa pengine makalio ya mamiyo na hayo ya Mdee yanayoburuzwa hivi sasa.
Una macho lakini huoni.
 
Kipa umbele cha Nchi yetu sasa hv ni kipi kwani naisi ni mwendo wa kutapatapa mara makinikia naripoti zao za mbwembwe mara bandarini kwenye vichwa vya treni ambavyo mmiliki wake hajulikani mara viwanjani sijui anatupeleka wapi huyu jamaaa
 
Hapo sasa kama ni kupelekwa mahakamani ni jumatatu au jumanne! KAMA bado yuko kwenye hunger strike jumanne watampeleka hospitali siyo mahakamani maana afya yake itakuwa si nzuri, labda jumatano hakimu atamsomea mashitaka akiwa kitandani. Very sad!

Hivyo ndivyo wanavyofanyiwa wapinzani na wote wanaothubutu kuusema ukweli mchungu.

Mlioko Dar tuwakilisheni vizuri na mwambieni kamanda Halima Mdee kuwa sisi tunaojua ukweli na thamani ya anachosimamia tunaendelea kumuombea kwa mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu anapoumia kwa ajili ya wengi.

Huu udhalimu hatimaye utafikia mwisho!
Kama hataki kula afe tu, hana faida
 
Matatizo ya Kibiti yanatupa shida sana sababu ya kukosekana kwa weledi ktk vyombo vyetu vya dola. Halima is harmless to anyone. Anatumia haki yake ya kikatiba kutoa maoni. Nguvu kubwa ajabu inatumika kumkomesha mwanamke huyu wa shoka, lakini wananchi wa kibiti wanaambiwa wajilinde wenyewe polisi hawawezi kufika.

Haya mambo ndo yanatufanya watu weusi tuonekane mazwazwa. Tunatumia energy nyingi sana kwa mambo yasiyo na msingi.
 
Punguza povu we mtoto. Unaburuzwa toka makalioni mpaka kwenye ubongo. Chezea buludoza.
Ukishozoea kuburuzwa toka kwenye familia, kama Mdee, mwisho wenu Lupango tu.
Mtaji wa matusi haukuongeze point wala argument sana sana inaonyesha jinsi uozo wa kifikra mbovu ulivyowalemea.
Sasa mbabe wenu Halima aliyefikirie yeye ni kidume kama wewe, ananyea ndoo Central.
Kampeni moyo aendelee kutukana.
 
Mkuu sikata najua manji alikuwa n'a jeuri n'a jeuri hyo alikuwa anapewa n'a viongozi wakuu wa lumumba,tatizo hzo jeuri wanaokuwa nazo jiulize ni na alikuwa anawapa kama syo jamaa wa kijani.....

Ova
Hapo sasa ndio ilitakiwa watu wajue hizi ni zama nyingine mkuu. Mwendo wa sasa ni "Kulichosha Adui". Ukiamua kuibeep Serikali hakikisha haujajiunga kifurushi cha Chuo...tehe tehe.
 
Hapo sasa kama ni kupelekwa mahakamani ni jumatatu au jumanne! KAMA bado yuko kwenye hunger strike jumanne watampeleka hospitali siyo mahakamani maana afya yake itakuwa si nzuri, labda jumatano hakimu atamsomea mashitaka akiwa kitandani. Very sad!

Hivyo ndivyo wanavyofanyiwa wapinzani na wote wanaothubutu kuusema ukweli mchungu.

Mlioko Dar tuwakilisheni vizuri na mwambieni kamanda Halima Mdee kuwa sisi tunaojua ukweli na thamani ya anachosimamia tunaendelea kumuombea kwa mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu anapoumia kwa ajili ya wengi.

Huu udhalimu hatimaye utafikia mwisho!
Njoo ukamsalimie halafu sema udhalimu
 
Ukishozoea kuburuzwa toka kwenye familia, kama Mdee, mwisho wenu Lupango tu.
Mtaji wa matusi haukuongeze point wala argument sana sana inaonyesha jinsi uozo wa kifikra mbovu ulivyowalemea.
Sasa mbabe wenu Halima aliyefikirie yeye ni kidume kama wewe, ananyea ndoo Central.
Kampeni moyo aendelee kutukana.

Kuwa central ni matokeo ya kumwambia ukweli dikteta uchwara. Nyie mazumbukuku hamwezi kukaa selo kwa sababu mu waoga kama kunguru.
Yule jamaa yenu ataambiwa tu ukweli. Na mnajua ukweli unavyouma. Mahakamani mnaogopa kumpeleka kwa sababu mnajua mnamnyanyasa tu bila haki. Shwain.
 
Back
Top Bottom