Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

This is very true, Kawe tuna hasara kubwa, huyu mheshiiwa hata asipokuwa polisi, magereza na mahakamani, hana muda kabisa na jimbo. Kwa bahati mbaya hata chama chake na Mwenyekiti wao ni bogus, trash kabisa ya hali ya juu, hata wangekuwa na akili wange fanya innovation kwa kuomba apumzike walete acting mbunge. Ninajuta sana kumpatia kura yangu huyu mama na chama chake, vituo vye polisi vimefungwa, barabara hazipitiki, mafuriko yasiyo ya lazima kwa kushindwa kuwakabili wapigaji kama bwana Kusaga Mandege wa hapa Zoo, hana muda wa kazi huyo halima yuko busy na mambo yake tu. Pili tabia njema ni silaha, Dr Slaa alikua anasema ukweli sana hata kutaja ile list ya mwembechai lakini hana matusi, dharau na utoto wa namba hii. huyu bibie siku chache tu zilizopita aliomba msamaha mbele ya taifa zima, leo karudia yale yale hata mahakamani kesi yake itakua ngumu sana kumtetea

Hata wewe una matatizo, ni vema uanze kujitafakari
 
Alhamdulillah wote hawajajikwaa na wapo kwa waume zao.

Mzee hamkomoi mtu hapo. Hizo sera za kimagharibi zitatuangamiza. Akipata akalee mtoto na kama anataka kusoma aende shule za private. Huko ataruhusiwa hata kwenda na mtoto wake.
Nakuuliza Faiza wale maskini wa vijijini wanamudu kuwabadilishia shule watoto wao?! Hawa watu wa mijini wanaweza kuwapereka private schools lakini si wale wa vijijini !! Na ambako ndiko tatizo hilo ni kubwa zaidi.

Tukipata watu wa kuwasemea tusiwaone maadui kisa tu Rais hapendi. Hata yeye alishindwa seminary na wazazi wake hawakumtelekeza na matokeo yake leo ni kiongozi wetu. Vipi hawa wanaobakwa?! (Jibu)

Cairo's
 
Ndiyo walichunge.
 
Siyabonga101, katika nchi iliyostaarabika na inayozingatia utawala bora, watu hao hupelekwa mahakamani. Mahakama pekee ndicho chombo chenye uwezo wa kumwadhibu raia.
 
Not every human being fits the real definition of human being; and the number of real human beings today,if any,that number itself is not real-Binadamu leo hii ni wachache sana na huenda hakuna kabisa.

Mtu unaridhika kulala ndani na familia yako huku mwenzako umemuweka jela kwasababu zisizoeleweka na wala nafsi haikusuti alafu kila siku uko kanisani /msikitini eti unaomba Mungu/unaomba uombewe!

Soon tutaacha hata kuzikana kutokana na aina hii ya sisiasa!

Mwenyemuzi Mungu ingilia kati.
Ni kweli kabisa mkuu,hata maombi yetu hayatafika juu kwa wale wanaotaka waombewe
 
This is very true, Kawe tuna hasara kubwa, huyu mheshiiwa hata asipokuwa polisi, magereza na mahakamani, hana muda kabisa na jimbo. Kwa bahati mbaya hata chama chake na Mwenyekiti wao ni bogus, trash kabisa ya hali ya juu, hata wangekuwa na akili wange fanya innovation kwa kuomba apumzike walete acting mbunge. Ninajuta sana kumpatia kura yangu huyu mama na chama chake, vituo vye polisi vimefungwa, barabara hazipitiki, mafuriko yasiyo ya lazima kwa kushindwa kuwakabili wapigaji kama bwana Kusaga Mandege wa hapa Zoo, hana muda wa kazi huyo halima yuko busy na mambo yake tu. Pili tabia njema ni silaha, Dr Slaa alikua anasema ukweli sana hata kutaja ile list ya mwembechai lakini hana matusi, dharau na utoto wa namba hii. huyu bibie siku chache tu zilizopita aliomba msamaha mbele ya taifa zima, leo karudia yale yale hata mahakamani kesi yake itakua ngumu sana kumtetea
Buku saba inakusumbua sana
 
Acheni???mfariji ujinga, Huwezi kusema ukweli kwa kuhatarisha usalama wa nchi. Mdomo sio wa kuropoka ropoka kila kinachokujia kinywani.
Mbona huyo mbwa ambaye ww unamuita rais anaropoka hovyo na kukurupuka kila cku lkm huna hbr? Hawa mafisadi ccm muda wa kusomeshwa namba ndio hui
 
Safari kama ya wa Arusha ndio inaanza nini? Mambo hayaeleweki siku hizi.
 
Alhamdulillah wote hawajajikwaa na wapo kwa waume zao.

Mzee hamkomoi mtu hapo. Hizo sera za kimagharibi zitatuangamiza. Akipata akalee mtoto na kama anataka kusoma aende shule za private. Huko ataruhusiwa hata kwenda na mtoto wake.
FaizaFoxy umesahau kuwakumbusha kuwa kuwepo kwa shule hizo ni budi zipate watoto wazazi. Ili kupata hao wanafunzi wahamasishe mabinti zao kupata mimba kwa kasi, wake watakaosalimika na mimba za utotoni. Pia hao watakaosalimika, ni vyema wakaizeshwa kwa waliowapa mimba, la kuolewa majaliwa.
 
Mpaka Ngosha akimaliza awamu zake za utawala.
Nawasihi wananchi wenzangu mcheze ngoma mkiangalia jua vinginevyo mtaumia zaidi.

Sina chama wala sihitaji siasa, huu ni ushauri wa bure nawapa.
Bila maumivu hakuna ukombozi!!
 
Ukishaanza kuwapa watu label basi hata hoja yako inapoteza muelekeo. Wewe unadhani kila anayekosoa Jeshi la polisi ni mpinzani? Upinzani ni nini kama mawaziri wakuu wa chama tawala sasa wako 'upinzani'? Una uhakika gani kuwa kesho wewe utakuwa upande uliopo sasa? Ukija kwa hoja, utajibiwa kwa hoja.
Kwa kuwa wewe ni mwelewa, historia husaidia kupanga ya kesho. Hao viongozi uliowataja, ndio wameshiriki kuifikisha Tanzania katika hali ambayo CCM inafanya kila jitihada kurekebisha. Kukumbatiwa kwao upande wa upinzani, ili ipewe jukumu la kutawala nchi hii, ni kuturudisha kule kule upinzani unadai Chama Tawala kilishindwa.

Ebu jiulize (nikirejea maneno yako hapo juu - rangi nyekundu), walifanya nini cha kukumbukwa walipokuwa madarakani? Wakipewa madaraka tena watafanya nini kipya?
 
anasimamia nn? huku kawe Barabara mbovu, Maji shida,

Kwani kazi ya kujenga barabara na kuleta maji ni ya mbunge!? Kama jibu ni ndio basi Rita mlaki alipaswa kuwa alishazijenga hizo barabara na kuleta maji maana yeye alitawala hilo jimbo kwa muda mrefu sn.
Ama kweli kusoma sio kuelimika
 
The price for change,
Keep it up, we knows that, is not & will never be easy.
 
Kwa kuwa wewe ni mwelewa, historia husaidia kupanga ya kesho. Hao viongozi uliowataja, ndio wameshiriki kuifikisha Tanzania katika hali ambayo CCM inafanya kila jitihada kurekebisha. Kukumbatiwa kwao upande wa upinzani, ili ipewe jukumu la kutawala nchi hii, ni kuturudisha kule kule upinzani unadai Chama Tawala kilishindwa.

Ebu jiulize (nikirejea maneno yako hapo juu - rangi nyekundu), walifanya nini cha kukumbukwa walipokuwa madarakani? Wakipewa madaraka tena watafanya nini kipya?
kama unajifanya hamnazo basi Lowassa alitoa maji ziwa Victoria kuleta kwenye mijini alijitoa mhanga kuvunja mkataba NUWA.,
Alisimamisha kazi waliohusika ujenzi wa ghorofa lililoanguka temeke.
Alisimamia ukamilishaji wa ujenzi wa barabara ya samnujoma. Na mengimengi tu. Upoo?
Lete ushilawadu mwengine
 
Back
Top Bottom