Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,896
::TAARIFA::

Taarifa kwa Wanachama wa Chadema na Wananchi wa Jimbo la Kawe, Mhe Halima Mdee Mbunge wa Kawe aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la Police Kituo cha Osterbay tokea siku ya Jumanne jioni mpaka sasa Amehamishiwa Central Police.

Kwa wale wote mnaotaka kumjulia hali Mbunge kwasasa tuelekee Central Police....

BY HENRY KILEWO
KATIBU CDM DSM
 
Hapo sasa kama ni kupelekwa mahakamani ni jumatatu au jumanne! KAMA bado yuko kwenye hunger strike jumanne watampeleka hospitali siyo mahakamani maana afya yake itakuwa si nzuri, labda jumatano hakimu atamsomea mashitaka akiwa kitandani. Very sad!

Hivyo ndivyo wanavyofanyiwa wapinzani na wote wanaothubutu kuusema ukweli mchungu.

Mlioko Dar tuwakilisheni vizuri na mwambieni kamanda Halima Mdee kuwa sisi tunaojua ukweli na thamani ya anachosimamia tunaendelea kumuombea kwa mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu anapoumia kwa ajili ya wengi.

Huu udhalimu hatimaye utafikia mwisho!
 
Acheni kumfariji ujinga, Huwezi kusema ukweli kwa kuhatarisha usalama wa nchi. Mdomo sio wa kuropoka ropoka kila kinachokujia kinywani.
 
Hapo sasa kama ni kupelekwa mahakamani ni jumatatu au jumanne! KAMA bado yuko kwenye hunger strike jumanne watampeleka hospitali siyo mahakamani maana afya yake itakuwa si nzuri, labda jumatano hakimu atamsomea mashitaka akiwa kitandani. Very sad!

Hivyo ndivyo wanavyofanyiwa wapinzani na wote wanaothubutu kuusema ukweli mchungu.

Mlioko Dar tuwakilisheni vizuri na mwambieni kamanda Halima Mdee kuwa sisi tunaojua ukweli na thamani ya anachosimamia tunaendelea kumuombea kwa mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu anapoumia kwa ajili ya wengi.

Huu udhalimu hatimaye utafikia mwisho!
anasimamia nn? huku kawe Barabara mbovu, Maji shida,
 
Not every human being fits the real definition of human being; and the number of real human beings today,if any,that number itself is not real-Binadamu leo hii ni wachache sana na huenda hakuna kabisa.

Mtu unaridhika kulala ndani na familia yako huku mwenzako umemuweka jela kwasababu zisizoeleweka na wala nafsi haikusuti alafu kila siku uko kanisani /msikitini eti unaomba Mungu/unaomba uombewe!

Soon tutaacha hata kuzikana kutokana na aina hii ya sisiasa!

Mwenyemuzi Mungu ingilia kati.
 
kawe wamekula hasara; wanaambulia matusi tu kila mahali.
 
kawe wamekula hasara; wanaambulia matusi tu kila mahali.
This is very true, Kawe tuna hasara kubwa, huyu mheshiiwa hata asipokuwa polisi, magereza na mahakamani, hana muda kabisa na jimbo. Kwa bahati mbaya hata chama chake na Mwenyekiti wao ni bogus, trash kabisa ya hali ya juu, hata wangekuwa na akili wange fanya innovation kwa kuomba apumzike walete acting mbunge. Ninajuta sana kumpatia kura yangu huyu mama na chama chake, vituo vye polisi vimefungwa, barabara hazipitiki, mafuriko yasiyo ya lazima kwa kushindwa kuwakabili wapigaji kama bwana Kusaga Mandege wa hapa Zoo, hana muda wa kazi huyo halima yuko busy na mambo yake tu. Pili tabia njema ni silaha, Dr Slaa alikua anasema ukweli sana hata kutaja ile list ya mwembechai lakini hana matusi, dharau na utoto wa namba hii. huyu bibie siku chache tu zilizopita aliomba msamaha mbele ya taifa zima, leo karudia yale yale hata mahakamani kesi yake itakua ngumu sana kumtetea
 
::TAARIFA::

Taarifa kwa Wanachama wa Chadema na Wananchi wa Jimbo la Kawe, Mhe Halima Mdee Mbunge wa Kawe aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la Police Kituo cha Osterbay tokea siku ya Jumanne jioni mpaka sasa Amehamishiwa Central Police.

Kwa wale wote mnaotaka kumjulia hali Mbunge kwasasa tuelekee Central Police....

BY HENRY KILEWO
KATIBU CDM DSM
Wanamjenga na kumuimarisha kisiasa hongera JPM kwa kuujenga upinzani bila ya kukusudia
 
anasimamia nn? huku kawe Barabara mbovu, Maji shida,
Ndugai keshspokea maelekezo toka kwa mhimili mkuu na tayari ameshawishi bunge na serikali kuwa majimbo ya upinzani yasipate pesa kwa sababu ya kupigia kura ya hapana bajeti ya 2017/18.

Dawa iliyobaki ni kuiondoa serikali hii madarakani vinginevyo watu wa kawe na kungineko kwenye majimbo yanayoongozwa na upinzani tutaendelea kuumia hata baada ya 2020.

Isitoshe, Halima Mdee na upinzani kwa ujumla si wakusanyaji wa kodi inayohitajika kuleta maendeleo.

Vumilia mdau! Udhalimu una mwisho!
 
Yote yanapita na yanamuda wake ulitarajia nape kutolewa bastola??Vuvuzela kama yule??Akili za UVCCM ni sawa na kichwa,cha kuku
Vuvuzela? Kama mwenye kinga ya kibunge alikaa miezi 3 sembuse wewe.
Mla ni mla leo mla Jana kala nini?
Tomorrow never comes. Yanayotakiwa leo yasingoje kesho.
 
Back
Top Bottom