Sikia mambo ya Halima hayanihusu wala siko hapa kumfurahisha Magufuli wala Chadema.
Kama umesoma comment yangu ya kwanza nimeandika wananchi wenzangu kuweni makini,chezeni ngoma mkiangalia jua otherwise mtaumia.
Nilichotoa mimi ni ushauri wa kufanya kazi zenu za siasa mkizingatia aliyeko madarakani ni mtu wa aina gani, sasa kama ni mwanaharakati endelea na harakati zako then ukiwa selo utakumbuka kwamba kuna mjinga flani jamiiforums aliwahi kunishauri nicheze nikiangalia jua.
Usihangaike namimi, mimi sio competent kwenye siasa, ukiendelea ku-quote ni kupoteza muda wako mi sipo huko mkuu.
Wewe una shida zako binafsi nadhani....
Kama huu ndiyo ushauri wako, why don't you keep it under your pants since It is of no help to me ?
Wewe unadhani kila mtu ni mjinga na mwoga kama wewe huku ukiwa hata hujui unachokiogopa ni nini ?
Please, give me à break......
Laiti kama akina Nelson Mandela wa SA ya Makaburu ya enzi hizo na wewe ungekuwapo na kutoa ushauri kama huu na wakauufuata, baasi wana SA wangekuwaga bado wako chini ya utawala dhalimu wa makaburu mpaka leo !!
Na laiti wewe ungekuwapo miaka ya 1950s enzi za mapambano ya uhuru wa bendera wa nchi hii na ukatoa ushauri kama huu, ungechinjwa mchana kweupe maana ni upuuzi na ujinga mtupu !!
Niambie, Halima Mdee ana kosa gani hata kustahili kuwekwa ndani ?
Na unadhani tunaogopa polisi au mahakama au magereza ??
Please, no way.... haogopi mtu so long as hatutukani mtu, hatuvunji sheria yoyote.....!!
Wewe kama una matatizo yako, kalaghabhao....