Hali ni tete Uganda, Corona yashika kasi tena kupelekea shule kufungwa. Rais Samia Hassan aharakishe chanjo

Habari wadau..!
Taarifa zinasema hali ya uviko 19 nchini Uganda imezidi kushika kasi kwa siku wanareport wagonjwa 500.

Shule zimeanza kufungwa tena vifo vimeongezeka maradufu katika hii phase ya pili ya Corona nchini Uganda.

Kwa niaba ya watanzania wazalendo naomba mheshimiwa rais Samia Hassan harakishe mchakato wa upatikanaji wa chanjo kabla ya hiyo phase 3 pia ni bora tukaanza kutoa repoti ya mwenendo wa uviko 19 maana taadhali zinapuuziwa sana kwa ss.
Kwani huko uganda wamekataa kuchanjwa?
Na Kama wamechanjwa kwa nini hali iwe tete?
 
Mimi nadhani ni Serikali kuhimiza (tena kwa kutumia nguvu) wananchi kufuata taratibu za afya za kujikinga na gonjwa hilo! Si vinginevyo.
Kuvaa barakoa,Social distance na kunawa kwa sabuni.
 
Kweli.
Uganda walikuwa na namba ndogo Sana za Corona.
Lakini Kwa hii idadi ya muda mfupi.wagonjwa 900+
Sio Jambo dogo.kuna nini hapo?
Na wale wazee wa kulilia chanjo hauwezi kuwaona hapa.
Maana ya chanjo unaingiziwa kirusi ambacho athari yake ni kuamsha kinga mwili dhidi ya ugonjwa unaosababishwa na hicho kirusi. Sasa mahesabu yakienda kombo kidogo maana yake wewe uliyepigwa chanjo upo ktk shida kubwa na kama utasalimika maana yake utatumika kama chanzo cha ugonjwa kwa wemgime.
angalizo Andiko hili sio la kitaalamu
 
Kweli.
Uganda walikuwa na namba ndogo Sana za Corona.
Lakini Kwa hii idadi ya muda mfupi.wagonjwa 900+
Sio Jambo dogo.kuna nini hapo?
Na wale wazee wa kulilia chanjo hauwezi kuwaona hapa.
Baada ya models zao kushindwa kuwapa uhalisia wa kasi ya maambukizi na vifo Africa kama walivyokuwa wanategemea kuona maiti barabarani, who knows yawezekana wamekuja kwa strategy ya hii vaccine.
Denial ya corona is a best policy, na itaokoa wengi sana kuliko hii ya kupiga chapuo huu ugonjwa. Watu tushauzoea, let's live with it, over.
 
Mungu amuongoze huyu mama kwa kweli.
Hili swala la korona kwa kweli kwetu isingekuwa agenda kihivyo maana tokea awamu zote za korona matokeo ya athari yamekua negative.

Sasa yukijifanya kiherehere huwenda tukaamsha yalio lala!
 
Habari wadau..!
Taarifa zinasema hali ya uviko 19 nchini Uganda imezidi kushika kasi kwa siku wanareport wagonjwa 500.

Shule zimeanza kufungwa tena vifo vimeongezeka maradufu katika hii phase ya pili ya Corona nchini Uganda.

Kwa niaba ya watanzania wazalendo naomba mheshimiwa rais Samia Hassan harakishe mchakato wa upatikanaji wa chanjo kabla ya hiyo phase 3 pia ni bora tukaanza kutoa repoti ya mwenendo wa uviko 19 maana taadhali zinapuuziwa sana kwa ss.
Covid 19 inasambaaje tena wakat wamedungwa Chanjo? Hayat katuonesha njia sahihi dah (RIP our beloved)
 
Mungu amuongoze huyu mama kwa kweli.
Hili swala la korona kwa kweli kwetu isingekuwa agenda kihivyo maana tokea awamu zote za korona matokeo ya athari yamekua negative.

Sasa yukijifanya kiherehere huwenda tukaamsha yalio lala!
Hofu yangu iko kwenye kiti mkuu, mama anaweza kuwa frustrated mpka tukaingizwa lockdown. Maana Twitter saizi ndo mpango mzima wa maamuzi, Ila walinyooka kwa big brain, JPM. Akili za kuambiwa, changanya nazako
 
Chanjo ya PFIZER imepunguza sana mzigo wa UVIKO Uingereza.
opr.news

Science has proved Boris Johnson wrong – vaccines are reducing deaths and cases

Science has proved Boris Johnson wrong – vaccines are reducing deaths and cases - Health - operanewsapp
opr.news
opr.news

Utafiti uliohusisha watu 170,000 baada ya kupata chanjo umeonyesha idadi ya wagonjwa kupungua kwa asilimia 75 kwa watu wenye umri kati ya miaka 80 hadi 83 ndani ya siku 35 hadi 41 baada ya kupata dozi ya kwanza.
Kasi ya maambukizi imepungua kwa asilimia 70. Idadi ya waathirika imeshuka kutoka asilimia 15.3 hadi 4.6 kwa watu 100,000 waliopimwa.

CHANZO
telegraph.co.uk April 14 2021
11:27 PM
 
Kwa hiyo waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson nae anaipinga hio chanjo ambayo wamatumbi wanaidai ije haraka!!!
 
Habari wadau..!
Taarifa zinasema hali ya uviko 19 nchini Uganda imezidi kushika kasi kwa siku wanareport wagonjwa 500.

Shule zimeanza kufungwa tena vifo vimeongezeka maradufu katika hii phase ya pili ya Corona nchini Uganda.

Kwa niaba ya watanzania wazalendo naomba mheshimiwa rais Samia Hassan harakishe mchakato wa upatikanaji wa chanjo kabla ya hiyo phase 3 pia ni bora tukaanza kutoa repoti ya mwenendo wa uviko 19 maana taadhali zinapuuziwa sana kwa ss.
Kwani uko si wanaendelea kupata chanjo, hofu yanini tena?
 
Kweli.
Uganda walikuwa na namba ndogo Sana za Corona.
Lakini Kwa hii idadi ya muda mfupi.wagonjwa 900+
Sio Jambo dogo.kuna nini hapo?
Na wale wazee wa kulilia chanjo hauwezi kuwaona hapa.
Hahahahaha, wako bize kwenye kampeni ya 💎 huko
 
Safari hii covid Kumi na Kenda isimame na watu wa Uganda, inondoke na kile kizingiti pale juu, msaba hastaili kuwa pale alipo ni dhulma tu kwa wananchi wa Uganda.
 
Chanjo zina maana sana kama waliozipata watafuata masharti husika ikiwemo kuvaa barakoa , kuepuka misongamano na kunawa mikono mara kwa mara. Pia nimesoma humu kwamba chanjo zilizopelekwa Uganda ni around 800K na population yao ni 47 millions hivyo chanjo za idadi hiyo ahueni yake ni ndogo sana.
Kama ni hivyo hizo chanjo hazina maana yo yote!
 
Back
Top Bottom