taratibu za ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Hakuna maridhiano ya kweli pasipo CHADEMA kushiriki

    The obvious truth, CCM wanajua kuwa turufu ya maridhiano iko mikononi mwa Chadema na sio chama kingine chochote kati ya vyama 18. Mbwembwe zote za kina Wasira, Kihongosi, Msajili wa vyama, na vyama shikizi kusema eti, wanaweza kuridhiana bila Chadema kuwepo, zimekuwa kazi bure. Bila Chadema...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammedi Kawaida amtaka Mchengerwa afuate taratibu za CCM badala ya kuwakatisha tamaa vijana

    Ndugu zangu Watanzania, Soma hapa 👉Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida, amemtaka Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, kufuata taratibu na misingi ya chama hicho katika kushughulikia tuhuma zinazohusu rushwa ndani ya jumuiya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Watia nia mliotumia rushwa ili kupenya mmezikiuka taratibu za CCM

    Baadhi ya Watia Nia Uenyekiti wa Mitaa na Vitongoji mliomwaga mihela ya rushwa mkapenya mmezienda kinyume taratibu za CCM na kuikiuka sheria iliyopelekwa bungeni na Rais na kupitishwa, mnatajikiwa msipigiwe kampeni bali mpelekwe jela kwa unyang’au wenu. Nilisikika katika ulimwengu wa kiroho...
Back
Top Bottom