Hii ndiyo standard procedure ya PENSION FUNDS duniani karibia kote, hakuna cha ajabu hapa.
Ukiruhusu mtu achukue pesa wakati wowote basi mfuko unashindwa kujiendesha na kuleta matatizo makubwa kwenye jamii.
Angalia hapa kwa pension UK:
Can I withdraw money from my pension scheme? | Money | guardian.co.uk
Kuna pension ambazo zinaruhusu kutoa mapema ila na penalty kubwa kama 10%, lakini wangeweka hiyo nadhani watu wangekuwa wanalalamika kwa nini wanakata 10%.
Pia kusema life-expectancy Tanzania ni 45 inapotosha ukweli, life-expectancy ni 45 kwa sababu ya infant mortality rate kubwa kwa Tanzania, infants hawajawahi kuchangia pension fund yoyote.
Edit:Life expectancy ya Tanzania ni 53 so hata hiyo namba ya 45 naona imepitwa na wakati. Ukitoa watoto itavuka 55 im sure.