che-guavara
Member
- Jul 6, 2011
- 58
- 22
ccm inaona inataka kutoka madarakani inaandaa mpango wa kuachia madema serikali mpya... miaka 55 au 60 unafikiri bado tutakuwa tutakuwa tunaongelea mambo haya ya hii CCM. hii ni janja yao tu.
Unajua nchi kweli ni kuzungumkuti kwani hawa wabunge huwa hawana pensheni au hawako kwenye mifuko yeyote ndio maana huo msuada ulipoletwa bungeni kama kweli haukuwa debated kwani wao wako less concern katika mafao. Sasa utaona jinsi watumishi na waajiri na mifuko itapata poor registration kwani mwajiri na mwajiriwa watakapo kubaliana kuwa fedha zako nikupelekea kwenye special account na loosers ni mifuko. Hili ni janga la kitaifa open forum ni lazima kuiokoa mifuko kwa turnout of members to register wewe umeona wapi dunia hata ILO hawawezi kukubali eti usibiri mpaka 55 au 60 vijana lazima wasimame kidete hili ni jamga alafu tena withdrawal huwahupati interest yeyote kwani hii huwainafanyia biashara hii pesa sasa inakuwaje huwa mtoto wa mkulima ananyonywa haki yake mpaka last drop of blood na je keeli policy makers na thinkers kweli TZ huwa wanaakili za kutosha hata mifuko wajua impact yake in future?Kwanini wasirekebishe muswada wa kiinua mgogo cha wabunge ambao kila miaka mitano wanapewa, yani mbunge achukue kiinua mgongo anapo malizana kabisa na siasa na endapo atarudi tena anatakiwa akirudishe hicho kiinua mgongo na atakapo maliza tena anapewa nusu yake kama mtu anaye resit mithiani naomba kuwasilisha
bargain,
hii sio tetesi maana haijawa kama hivyo. Lakini umefanya vizuri kuleta hii habari katika kipindi hiki na kuwafanya waajiriwa wote tanzania wakae mkao wa kula.
Ukweli ni kwamba serikali ina mpango wa kupeleka bungeni marekebisho ya muswada wa sheria wa mafao ya wafanyakazi kama ulivyopitisha ba bunge ili sasa kufanya wafanyakazi wote wanaokatwa akiba ya mafao (ppf,nnsf, pspf,lapf,gepf n.k) kulazimika kutopata mafao yao kama hawajatimiza umri wa kustaafu(55-60).mpango huu unaletwa kwa sababu serikali yenu haina namna ya kufanya na ingependa kupata boost ya mapato toka mifuko hii ili kuleta pesa kwa ajili ya miradi ya maendeleo.
Mpango huu wa aibu na kandamizi utawaathiri wafanyakazi zaidi ya 700000 serikalini lakini kwa kipekee utaathiri na kuua ndoto za wafanyakazi zaidi ya 3000000 walio katika sekta binafsi kama vile makampuni, ngos na wale waliojiajiri wenyewe na ambao wanatumia mifuko hii.
(una imani kubwa kwamba wabunge wetu hasa wa upinzani wataupigia ngumu mpango huu nyonyaji ambao ni wa aina yake katika nchi zote za afrika. Hii pia inatoa fursa kwa wafanyakazi wote nchini (hasa vijana) kutafakari na kuona jinsi serikali yenu inavyopanga kufifisha mipango yenu ya muda mfupi na ile ya kati. Kazi kwenu simameni na chukueni hatua sasa.
Habari ndo hiyo
mi naona wewe ni kenge zaidi yake!kwenye kudhulumu pesa yetu unajilinganisha na UK,na je ufedhuli mwingine mnaotufanyia???serikali haina saving wakati individuals wa serikalini wanaown account zenye matrillioni halafu eti una argue professionally!!! tunataka pesa zetu PERIOD! Mzee yupi aliyestafu kwa mfumo wenu na anaishi vizuri sasa hivi kama siyo kuishia kulala barabarani na mnaishia kuwamwagia *****. Pesa yake imeliwa halafu analipwa kujikuna!!!hakuna somo linaweza kueleweka kuhusu kuhold pesa ya mtu for more than 40yrs(assuming i am 20yrs now and i have resigned)
nitatoka na mawe na rungu hadi kieleweke, huu ni ufisadi hadi kwenye mifuko ya wananchi. Tutaungana tutapinga ikiwezekana kuipindua serikali, maisha ni magumu, private nyingi hasa za madini hushauriwi kufanya kazi mda mrefu kwa sababu ya mazingira hatarishi, kwa hiyo nimefanya kazi miaka 5 halafu nikaacha kazi, kwa hiyo nisote mtaani hadi miaka 30 ijayo ndio nipate mafao yangu. Huu ni upuuzi.
Hii mifuko inafanya WIZI WA MCHANA.
Wananchi wanashauriwa KUTOJIUNGA ili wasiibiwe.
Wizi wa mchana Kama ccm kwi! Kwi! Kwi! Teh! Teh! Mtakoma kuishabikia ccmHii mifuko inafanya WIZI WA MCHANA.
Wananchi wanashauriwa KUTOJIUNGA ili wasiibiwe.