Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,627
- 19,954
Hapo kwenye " mzuri" ndo kipengele sasaUtamu wa penzi jipya umkute ni mzuri zaidi ya Ex wako
Hapo kwenye " mzuri" ndo kipengele sasaUtamu wa penzi jipya umkute ni mzuri zaidi ya Ex wako
MmmhWanawake inawawia ngumu maana ni tegemezi
Siku hizi mtu unaota wapi uwezo wa kudate na wanawake Zaidi ya watatu mkuu?Ngumu kivipi au udomo zege wakusumbua. Watu wanamiliki wanawake zaidi ya kumi na wote wanapangwa hadi wanajaa kwenye mfumo akizingua mmoja unabaki na tisa na unampata wa kumreplace huyo wa kumi aliyezingua.
Labda ungesemea Kwa wanawake sio Kwa wanaume.
Wanawake inawawia ngumu maana ni tegemezi
Duuhmpaka ajue napendelea tembele ndo akanichumie sio leo sio kesho🎶🎶
kuvunga haupendi kukunjwa ili usionekane muhuni ni kaziiiii
cc Binti wa zamani
Hao sio watu wa kuwaweka sana moyoni, ukipata matatu au kumi unaishi nayo kama unamiliki mmoja ili yasisanuke linakuja kusanuka ushalilaga mpaka utumbo na kukuacha halitoweza Tena.Siku hizi mtu unaota wapi uwezo wa kudate na wanawake Zaidi ya watatu mkuu?
Kama mmoja tu anakupeleka race za kutosha na vipi kuhusu kumi😅
Una umri gani mkuu??Hao sio watu wa kuwaweka sana moyoni, ukipata matatu au kumi unaishi nayo kama unamiliki mmoja ili yasisanuke linakuja kusanuka ushalilaga mpaka utumbo na kukuacha halitoweza Tena.
Ukiwa na wanawake kumi hakuna wa kukupeleka race maana akizingua tuu mmoja huna haja ya kubembeleza piga chini unabakia na tisa Yani kwanza huwezi kuwa na stress maana utaobaki nao ni wengi kuliko Hiko kimoja kitachozingua, nako baada ya mda unampata kiulaini tuu wa kumreplace huyo wa kumi
Mwanamke dawa yake awe na mwenzake au wenzake
Kuwa na wanawake hata 20 sio ishu kwa mwanaume mkuu, kipengele ni mizinga kaka😅Hao sio watu wa kuwaweka sana moyoni, ukipata matatu au kumi unaishi nayo kama unamiliki mmoja ili yasisanuke linakuja kusanuka ushalilaga mpaka utumbo na kukuacha halitoweza Tena.
Ukiwa na wanawake kumi hakuna wa kukupeleka race maana akizingua tuu mmoja huna haja ya kubembeleza piga chini unabakia na tisa Yani kwanza huwezi kuwa na stress maana utaobaki nao ni wengi kuliko Hiko kimoja kitachozingua, nako baada ya mda unampata kiulaini tuu wa kumreplace huyo wa kumi
Mwanamke dawa yake awe na mwenzake au wenzake
Sex in one minute surely🤔😅Mimi na mpenzi wangu tukiwa ktk convo ya kawaida kabisa baada ya kuachana na kurudiana zaidi ya mara tatu sasa!!!View attachment 3560202
Yani kile kipindi cha mwanzo kila mtu anavunga mpole, mkizoeana sasa 🤣🤣mpaka ajue napendelea tembele ndo akanichumie sio leo sio kesho🎶🎶
kuvunga haupendi kukunjwa ili usionekane muhuni ni kaziiiii
cc Binti wa zamani
Skuizi watu hawatoi Cha pesa Wala nini na wanamiliki na kula tunda kama kawaKuwa na wanawake hata 20 sio ishu kwa mwanaume mkuu, kipengele ni mizinga kaka😅
na bora kijana ndo aanze kuchombeza alf binti uitikie wito,, kuliko mwanamke ndo uanze kutoa siri like "nikunje kama unafunga furushi la nguo" weeuh ni ngumu😂😂😂😂Yani kile kipindi cha mwanzo kila mtu anavunga mpole, mkizoeana sasa 🤣🤣
Binti, eti akukunjaje 😆 😆 ?na bora kijana ndo aanze kuchombeza alf binti uitikie wito,, kuliko mwanamke ndo uanze kutoa siri like "nikunje kama unafunga furushi la nguo" weeuh ni ngumu😂😂😂😂
Em tujaribu tuone 😎Ngumu sana.
Mhhh nhm ya kula utumbo wa mtu humu
Huyo jamaa ni mm kabisa 💯Mimi na mpenzi wangu tukiwa ktk convo ya kawaida kabisa baada ya kuachana na kurudiana zaidi ya mara tatu sasa!!!View attachment 3560202