Hakuna kitu ngumu kama kuanza mahusiano mapya aisee

Hakuna kitu ngumu kama kuanza mahusiano mapya aisee

Ngumu kivipi au udomo zege wakusumbua. Watu wanamiliki wanawake zaidi ya kumi na wote wanapangwa hadi wanajaa kwenye mfumo akizingua mmoja unabaki na tisa na unampata wa kumreplace huyo wa kumi aliyezingua.

Labda ungesemea Kwa wanawake sio Kwa wanaume.

Wanawake inawawia ngumu maana ni tegemezi
Kunakupata mpenzi kwaajiri yaumalaya na mapenzi rasimi mfano muache mke ulikuwa umesogea halafu utafute mwingine
 
Hakuna kitu ngumu kama kuanza mahusiano mapya aisee
Si kweli ,kwani hayo yaliyokufa yalianzia wapi? Hata huyo unayeanza naye siyo kwamba ni wa kwanza kwako ,usikute anajaza Hiance Dungu..Body count 15
 
Back
Top Bottom