Ndo ujue sasa kuwa wenye vitambi huzeeka kabla ya wakati.Nimecheka sana kitambi kipo
Nyongeza ya hapo nimegundua wewe ni MsukumaNemezaliwa mwaka 1975 nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18,nikiwa namiliki duka la vyakula baadaye nikaanza kumiliki duka la nguo mtaji ukapanda nikiwa na miaka 20 nikawa namiliki haice mbili. super rofo hapo sijao nimepanga naishi na wadogo zangu wawili ni mwendo wa kula bata,pombe mademu na kila kitu
Nimeowa mwaka 2004 nikaanza kujenga namshukuru Mungu nina nyumba tatu na ofisi zangu za Saloon jumla sita
Tatatizo linaanza kutoka kijana, baba, sasa wananita mzee,mfano mnaweza mkizinguana na kijana maana niko freshi nilibahatika kusomea mafunzo ya kareti sasa kijana kama akinizingua nikimpiga mkwara sipendi aniambie samahani mzee,au binti nikimpenda aniambie tu ahsante asiniambie mbona wewe sawa na baba yangu,inauma jamani uzee mbaya
Ila vina raha yakeNdo ujue sasa kuwa wenye vitambi huzeeka kabla ya wakati.
kwamba anakumbuka jnsi alivokuwa anapeleka moto akiwa 20+ siyo?Naelewa kinachokuuma ila kamwe hauwezi kushindana na muda
Sema brother mamboMzee vipi inakuwaje?
Babu vipi inakuwaje?
Mbona salamu za kawaida hizi vijiweni.
Kelele zoote hizoKula vizuri kunywa vizuri pendeza , halafu tafuta pesa polepole , ya ngoswe mwachie ngoswe
Hela tayari anazo mbona au hujasoma vizuri hapo juuKula vizuri kunywa vizuri pendeza , halafu tafuta pesa polepole , ya ngoswe mwachie ngoswe
Kuwa na hela sio sababu , anaweza zitumia????Hela tayari anazo mbona au hujasoma vizuri hapo juu
Amekataa kuitwa mzee wewe unarudia tusasa nani alivaa pampas wee mzee?
kwasasa wewe mademu wanakuibia tu shoo tunawapa sisi vijana hadi k zao zinachubuka
Kwa nini inaima kuwa hai mpaka unazeeka na uko na mafanikio?Nemezaliwa mwaka 1975 nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18,nikiwa namiliki duka la vyakula baadaye nikaanza kumiliki duka la nguo mtaji ukapanda nikiwa na miaka 20 nikawa namiliki haice mbili. super rofo hapo sijao nimepanga naishi na wadogo zangu wawili ni mwendo wa kula bata,pombe mademu na kila kitu
Nimeowa mwaka 2004 nikaanza kujenga namshukuru Mungu nina nyumba tatu na ofisi zangu za Saloon jumla sita
Tatatizo linaanza kutoka kijana, baba, sasa wananita mzee,mfano mnaweza mkizinguana na kijana maana niko freshi nilibahatika kusomea mafunzo ya kareti sasa kijana kama akinizingua nikimpiga mkwara sipendi aniambie samahani mzee,au binti nikimpenda aniambie tu ahsante asiniambie mbona wewe sawa na baba yangu,inauma jamani uzee mbaya
Yaani zamani wakati naponda rahaAmekataa kuitwa mzee wewe unarudia tu
Tatizo umri unanizuia kufanya yale niliyokuwa nafanya nikiwa kijanaKwa nini inaima kuwa hai mpaka unazeeka na uko na mafanikio?
Wakanye hao! Nakumbuka 1975 nilikuwa form four! Ningalikuzaa wewe! Sema neno Mzee Lina maana nyingi mojawapo ni boss au Mtoa ridhikiNemezaliwa mwaka 1975 nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18,nikiwa namiliki duka la vyakula baadaye nikaanza kumiliki duka la nguo mtaji ukapanda nikiwa na miaka 20 nikawa namiliki haice mbili. super rofo hapo sijao nimepanga naishi na wadogo zangu wawili ni mwendo wa kula bata,pombe mademu na kila kitu