Kwa umri wako unaonekana ulivaa pampers na ukanywa uji kwa kijiko hukubanwa puasasa nani alivaa pampas wee mzee?
kwasasa wewe mademu wanakuibia tu shoo tunawapa sisi vijana hadi k zao zinachubuka
Nashukuru bwana nisaidie hata Dora 1 tu nikaleChai,ww ni mzee kweki miaka 50 ila kwa vile maisha magumu umezeeka zaidi we ni babu
Huna mbele wala nyuma
wewe unaujua umri wangu?Kwa umri wako unaonekana ulivaa pampers na ukanywa uji kwa kijiko hukubanwa pua
Naunga mkono hojaIla punguza majigambo, 90% haikua necessary
Maelezo yako tu yanajitosheleza kuujua umri wakowewe unaujua umri wangu?
Tukiongea ukweli ili kuwapa hamasa vijana wa sasa hivi ambao wanaamini huwezi kutoboa maisha bila shule mnasema tunajigamba,poa bwana huwezi kumrizisha kila mtuNaunga mkono hoja
acha kubunibuni mzee.kuwa muwaziMaelezo yako tu yanajitosheleza kuujua umri wako
Mkuu miaka 50 sifikirii Kama ni mingi kiasi hichoTukiongea ukweli ili kuwapa hamasa vijana wa sasa hivi ambao wanaamini huwezi kutoboa maisha bila shule mnasema tunajigamba,poa bwana huwezi kumrizisha kila mtu
Pole Sana mzeeTukiongea ukweli ili kuwapa hamasa vijana wa sasa hivi ambao wanaamini huwezi kutoboa maisha bila shule mnasema tunajigamba,poa bwana huwezi kumrizisha kila mtu
Huo wivu wa nini, anahofia kuibiwa na vijana wa afu2😂😂Mimi hilo jina silipendi kabisa,ndiyo hivyo kungekuwa na dawa za kuludisha ujana da ingekuwa poa sana,nimebaki na kumbukumbu zangu za zamani unaende sehemu kama Club shangwe lote,ukiende beach furaha yote lakini sasa hivi mda mwingi dukani nyumbani tena bibi yako haniachii nichelewe hata dakika 5 niwe nimeshaludi nyumbani
Kuna mzee mwenzako humu jf anajiita Mzee wa kupambania, sijajua kama ni mzee kweli au la, na kama ni mzee, sijui anapambania nini Mzee wa kupambania KubomaNemezaliwa mwaka 1975 nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18,nikiwa namiliki duka la vyakula baadaye nikaanza kumiliki duka la nguo mtaji ukapanda nikiwa na miaka 20 nikawa namiliki haice mbili. super rofo hapo sijao nimepanga naishi na wadogo zangu wawili ni mwendo wa kula bata,pombe mademu na kila kitu
Nimeowa mwaka 2004 nikaanza kujenga namshukuru Mungu nina nyumba tatu na ofisi zangu za Saloon jumla sita
Tatatizo linaanza kutoka kijana, baba, sasa wananita mzee,mfano mnaweza mkizinguana na kijana maana niko freshi nilibahatika kusomea mafunzo ya kareti sasa kijana kama akinizingua nikimpiga mkwara sipendi aniambie samahani mzee,au binti nikimpenda aniambie tu ahsante asiniambie mbona wewe sawa na baba yangu,inauma jamani uzee mbaya
Uzee mgumu bwana ndiyo maana huwa wanaamua kuwa wachawi,maana sehemu zote za starehe huruhusiwi kukanyagaKuna mzee mwenzako humu jf anajiita Mzee wa kupambania, sijajua kama ni mzee kweli au la, na kama ni mzee, sijui anapambania nini Mzee wa kupambania Kuboma