Nimeambiwa naongea kama mzee nijitafakari upya

Nimeambiwa naongea kama mzee nijitafakari upya

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
3,003
Reaction score
8,382
Ndugu zangu mimi ni kijana tuu, sijui shida iko wapi mpaka aniambie hivi.

Nimejitahidi sana kutunza hekima na busara zangu mbele zake na mbele ya jamii iliyotuzunguka kwa wakati huo, nimeongea kistaarabu mno na kwa heshima sana mbele zake, huku nikiwa mcheshi na mtani kiasi mbele za huyu mwanamke.

Nimekua mstaarabu mno na kuficha ulevi wangu sana ila kaniambia mbali na yote naongea kama mzee nijitafakari kwa kweli sijui huyu uwa langu kanichukuliaje mimi.

Nisaidie mawazo hapa kuzuia nisilewe sana maana kesho natakiwa kazini wakuu
 
fb_img_15905648666782102253238.jpg
 
Ndio mana huo ndio uhalisia wako, mana ungekuja kuharibu zaidi ndoani
Nimejielekeza sana nakujivunga mno mwisho wa siku ananiambia naongea kama mzee nijitafakari. Yani anaona mimemboa mbele za watu. Huyu mwanamke huyu
 
Pale shetan anapotaka kuwa malaika sula yake inayotisha inamgoma ila pamba za malaika kaiba zimemkaaa kama malaika Aisee nomaaaa rud kwenye unywaj utampata
 
Back
Top Bottom