Hakuna kitu kinachoniuma kama kuitwa mzee

Nemezaliwa mwaka 1975 nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18,nikiwa namiliki duka la vyakula baadaye nikaanza kumiliki duka la nguo mtaji ukapanda nikiwa na miaka 20 nikawa namiliki haice mbili. super rofo hapo sijao nimepanga naishi na wadogo zangu wawili ni mwendo wa kula bata,pombe mademu na kila kitu
Nimeowa mwaka 2004 nikaanza kujenga namshukuru Mungu nina nyumba tatu na ofisi zangu za Saloon jumla sita
Tatatizo linaanza kutoka kijana, baba, sasa wananita mzee,mfano mnaweza mkizinguana na kijana maana niko freshi nilibahatika kusomea mafunzo ya kareti sasa kijana kama akinizingua nikimpiga mkwara sipendi aniambie samahani mzee,au binti nikimpenda aniambie tu ahsante asiniambie mbona wewe sawa na baba yangu,inauma jamani uzee mbaya
Kwanza wewe shukur unazeeka na chochote kitu mkononi wenzako wamezeeka na hamna kitu mkononi, nikukumbushe jiandae na kifo Ili kikija usiseme nilikuwa sijui nini kinafata hapo ulipo ni nafasi umepewa pamoja na nguvu za kuabudu na kuomba Toba, utafika mda hata hiyo karet haitakusaidia zinduka.
 
Nipo napiga kazi napambana huku na huku, naendelea kubuni miradi na vitu vipya ili huko mbeleni nisije nikateleleka kiuchumi ingawa bado kifo hakikwepeki kipo palepale umri huu ndiyo tunawazika watu wengi sana tuseme ndiyo fainali kwa wale waliokuwa wanakunywa mapombe makali,kuvuta sigara mara nyingi akifikisha 50 kwende mbele hatoboi
 
Sawa mkuu
 
Nemezaliwa mwaka 1975 nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18,nikiwa namiliki duka la vyakula baadaye nikaanza kumiliki duka la nguo mtaji ukapanda nikiwa na miaka 20 nikawa namiliki haice mbili. super rofo hapo sijao nimepanga naishi na wadogo zangu wawili ni mwendo wa kula bata,pombe mademu na kila kitu
Nimeowa mwaka 2004 nikaanza kujenga namshukuru Mungu nina nyumba tatu na ofisi zangu za Saloon jumla sita
Tatatizo linaanza kutoka kijana, baba, sasa wananita mzee,mfano mnaweza mkizinguana na kijana maana niko freshi nilibahatika kusomea mafunzo ya kareti sasa kijana kama akinizingua nikimpiga mkwara sipendi aniambie samahani mzee,au binti nikimpenda aniambie tu ahsante asiniambie mbona wewe sawa na baba yangu,inauma jamani uzee mbaya
Kweli kabisa kwa majitu yasiyokuwa na hekima ni fedheha sana kuitwa mzee. Sasa jitu huna busara halafu watu wakutegemee utakuwa msaada wa kuwashauri si ni kero hiyo?
 
Yaani mimi sina busara?
 
Nemezaliwa mwaka 1975 nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18,nikiwa namiliki duka la vyakula baadaye nikaanza kumiliki duka la nguo mtaji ukapanda nikiwa na miaka 20 nikawa namiliki haice mbili. super rofo hapo sijao nimepanga naishi na wadogo zangu wawili ni mwendo wa kula bata,pombe mademu na kila kitu
Nimeowa mwaka 2004 nikaanza kujenga namshukuru Mungu nina nyumba tatu na ofisi zangu za Saloon jumla sita
Tatatizo linaanza kutoka kijana, baba, sasa wananita mzee,mfano mnaweza mkizinguana na kijana maana niko freshi nilibahatika kusomea mafunzo ya kareti sasa kijana kama akinizingua nikimpiga mkwara sipendi aniambie samahani mzee,au binti nikimpenda aniambie tu ahsante asiniambie mbona wewe sawa na baba yangu,inauma jamani uzee mbaya
Upuuzi tu hakuna ukwl, dalili za stress hizi
 
Back
Top Bottom