Hakuna kitu kinachoniuma kama kuitwa mzee

Hakuna kitu kinachoniuma kama kuitwa mzee

Wewe ni mzee ila bado una akili za kitoto.
Nashukhuru bwana sometime tunajalibu kuwambia vijana nao watakuja kuwa wazee lakini wajalibu kuwekeza kwenye uzee wao,ukitegemea ajila na fursa za kutafuta zimekuwa ngumu tofauti na enzi zetu
 
Hamna namna badilika tu usipende ugomvi kama umeshaanza kuitwa mzee , vijana wa sahivi hatuchelewi kukupiga mtama ukivunjika mkono na umri huo mkono hauponi tena
 
nikimpiga mkwara sipendi aniambie samahani mzee,au binti nikimpenda aniambie tu ahsante asiniambie mbona wewe sawa na baba yangu,inauma jamani uzee mbaya
Itakuwa una kitambi wewe ndo maana unaitwa mzee 😂
 
Screenshot_20250506-155442.jpg
 
kutoka 1975 mpaka sasa 2025 ni 51 years wewe hakimu wa mchongo?
Mda mwingi najishindia shambani
Hamna namna badilika tu usipende ugomvi kama umeshaanza kuitwa mzee , vijana wa sahivi hatuchelewi kukupiga mtama ukivunjika mkono na umri huo mkono hauponi tena
Hamna mjanja huyo hajazaliwa,wakati kijana nilikuwa nafanya sana mazoezi kwa ajili ya kujilinda na wahuni,maana shughuri zangu zilikuwa za kibabe nimefanya sana mazoezi ya karate mpaka kuwa na mkanda mweuzi sasa wewe jichanganye uone
 
Wewe ni kikongwe kabisa tulia kwa maelezo yako ulivyojitafuta huko nyuma kucheza golf unastahili ila ungeruka ruka ningeanza kukushauri uanze kucheza drafti,bao na vijiwe vya kahawa
Katika vitu ambavyo sijawi kuvifanya ni hivyo,uanajua mikoani hakuna mambo ya vijiwe labda huko pwani,
 
Basi hapo umetisha, sema hiyo kuitwa mzee nadhani ni kama heshima flani unapewa na hao vijana
Mimi hilo jina silipendi kabisa,ndiyo hivyo kungekuwa na dawa za kuludisha ujana da ingekuwa poa sana,nimebaki na kumbukumbu zangu za zamani unaende sehemu kama Club shangwe lote,ukiende beach furaha yote lakini sasa hivi mda mwingi dukani nyumbani tena bibi yako haniachii nichelewe hata dakika 5 niwe nimeshaludi nyumbani
 
Back
Top Bottom