Hakuna kitu kinachoniuma kama kuitwa mzee

Ukishavuka 35 basi jua unaelekea uzeeni....Uzee si ugonjwa ni baraka....Shukuru umeitwa mzee kuna wengine wamekosa fursa hiyo ya kuitwa MZEE.
 
Nemezaliwa mwaka 1975 nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18,nikiwa namiliki duka la vyakula baadaye nikaanza kumiliki duka la nguo mtaji ukapanda nikiwa na miaka 20 nikawa namiliki haice mbili. super rofo hapo sijao nimepanga naishi na wadogo zangu wawili ni mwendo wa kula bata,pombe mademu na kila kitu
Nimeowa mwaka 2004 nikaanza kujenga namshukuru Mungu nina nyumba tatu na ofisi zangu za Saloon jumla sita
Tatatizo linaanza kutoka kijana, baba, sasa wananita mzee,mfano mnaweza mkizinguana na kijana maana niko freshi nilibahatika kusomea mafunzo ya kareti sasa kijana kama akinizingua nikimpiga mkwara sipendi aniambie samahani mzee,au binti nikimpenda aniambie tu ahsante asiniambie mbona wewe sawa na baba yangu,inauma jamani uzee mbaya
Wewe wa 1975 mwaka huu 2025 unatimiza miaka 50.

Michael Jackson alifariki akiwa na miaka 50, watu wakalalamika kuwa amefariki kijana sana.

Hilo la kuitwa Mzee ni tatizo la watu walio na life expectancy ndogo.

Watu wanaoishi mpaka miaka 85 ukiwa na miaka 50 bado si mzee.
 
Nilianza biashara ya vyakula, nikanunua hiace, nikajenga, nina saluni!

Mzee lipia tangazo.
 
Nemezaliwa mwaka 1975 nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18,nikiwa namiliki duka la vyakula baadaye nikaanza kumiliki duka la nguo mtaji ukapanda nikiwa na miaka 20 nikawa namiliki haice mbili. super rofo hapo sijao nimepanga naishi na wadogo zangu wawili ni mwendo wa kula bata,pombe mademu na kila kitu
Nimeowa mwaka 2004 nikaanza kujenga namshukuru Mungu nina nyumba tatu na ofisi zangu za Saloon jumla sita
Tatatizo linaanza kutoka kijana, baba, sasa wananita mzee,mfano mnaweza mkizinguana na kijana maana niko freshi nilibahatika kusomea mafunzo ya kareti sasa kijana kama akinizingua nikimpiga mkwara sipendi aniambie samahani mzee,au binti nikimpenda aniambie tu ahsante asiniambie mbona wewe sawa na baba yangu,inauma jamani uzee mbaya
Sawa mzee
 
Utakuwa kichaa wewe! Miaka hamsini unataka uitwe kijana?
Sio nataka kuitwa kijana,bali sipendi kuitwa mzee,niite jina langu au brother inatosha,huku kuitana mzee ni kuzeeshana bila mpango
 
Kwetu neno mzee ni heshima, kijana mdogo ukuwa na pesa unaambiwa "karibu mzee wetu "
 
Hata mimi ilikua ni ngumu kupokea shikamoo za rejareja, ila ni mpaka nilipogundua kua ni kweli umri umeenda.
Na nikiwaza nikiwa na umri wa hao wanaonipa hizo shikamoo mimi nilikua nawachukuliaje watu walio na umri nilio nao sasa.

Ikabidi nielewe na kwenda na biti, uzuri ni kua wanaume hatuzeeki kindezi.

Kuitwa mzee ni kulingana na wewe ulivyojiweka, umezoeana vipi na watu, unajitambulisha vipi nk.
Kuna vijana wana miaka 30 tu ila wanaitwa wazee.

Na pia kama ni mpenda dogodogo jitahidi kupunguza ama kuacha kabisa, utajidhalilisha. Ujanani usitumie sana kusaka pesa, mbususu pia zibatue aisee.

Mkizeeka ndo kama hivi, mnaanza kutamani vitoto chuchu dede maana wakati huo we kijana hukuwahi kuona chuchu dede, umekua kuanza mizagumuo kwa masingle maza.
 
kwamba anakumbuka jnsi alivokuwa anapeleka moto akiwa 20+ siyo?
Kabisa sasa hivi piga kimoja wakati wa kulala na ukiweza wakati mzigo unaondoka na usifikirie wala kuwa na wazo la kumridhisha bali furaha ya moyo wako. Unakutana na binti ana miaka 23 ameshatembea na wanaume idadi karibu sana na umri wake
 
TATIZO DOGO hilo FANYA HIVI inshallah.1, usipende KUKAA na wazee SANA. 2 .tumia super black ikibidi. 3 usichomekee. 4 usipende vaa suruali za vitambaa. 5 nyoa ndevu SI lazima au rejea NAMBA 2. .6. usinune KUWA na furaha Pende kutabasamu. Maramojamoja jichanganye na vijana KWENYE mazoezi mpira WA miguu, basket au volleyball. USIFANYE KAZI SANA penda kupumzika pia. ILA Mimi Allah akinijalia kisiwa cha mafia NDO pawe nyumbani KWANGU takaa huko mazingira safi utulivu una pumzika MPAKA choka Yako MJINI pamebanana SANA panazeesha.
 
Nemezaliwa mwaka 1975 nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18,nikiwa namiliki duka la vyakula baadaye nikaanza kumiliki duka la nguo mtaji ukapanda nikiwa na miaka 20 nikawa namiliki haice mbili. super rofo hapo sijao nimepanga naishi na wadogo zangu wawili ni mwendo wa kula bata,pombe mademu na kila kitu
Nimeowa mwaka 2004 nikaanza kujenga namshukuru Mungu nina nyumba tatu na ofisi zangu za Saloon jumla sita
Tatatizo linaanza kutoka kijana, baba, sasa wananita mzee,mfano mnaweza mkizinguana na kijana maana niko freshi nilibahatika kusomea mafunzo ya kareti sasa kijana kama akinizingua nikimpiga mkwara sipendi aniambie samahani mzee,au binti nikimpenda aniambie tu ahsante asiniambie mbona wewe sawa na baba yangu,inauma jamani uzee mbaya
Mimi ni kijana wa 2000 lakini IPO siku nitakuwa Mzee kama wewe maana umri uo tayari ushagonga miaka 50 tayari ni Mzee kubali tu kwamba ushapitwa na ujana mbona ili jambo ni kawaida tu kwenye maisha.
No reforms no election ⚒️ 💯
 
TATIZO DOGO hilo FANYA HIVI inshallah.1, usipende KUKAA na wazee SANA. 2 .tumia super black ikibidi. 3 usichomekee. 4 usipende vaa suruali za vitambaa. 5 nyoa ndevu SI lazima au rejea NAMBA 2. .6. usinune KUWA na furaha Pende kutabasamu. Maramojamoja jichanganye na vijana KWENYE mazoezi mpira WA miguu, basket au volleyball. USIFANYE KAZI SANA penda kupumzika pia. ILA Mimi Allah akinijalia kisiwa cha mafia NDO pawe nyumbani KWANGU takaa huko mazingira safi utulivu una pumzika MPAKA choka Yako MJINI pamebanana SANA panazeesha.
Ndio maana wastaafu wengi wanakimbilia vijijini penye utulivu sio penye kurupushani kama mjini
No reforms no election ⚒️ 💯
 
Mtoto wa miaka 7 anamuona Mtoto wa miaka 18 mkubwa ,mtoto wa miaka 18 anamuona wa 25 Mkubwa while yeye anajiona JANK ,wa 25 vile vile anamuona wa 35 ni mkubwa while yeye anajiona bado mdogo,vile vile wa 35 anamuona wa 45 mkubwa while yeye anajiona bado anaita na vile vile wa 45 anamuona wa 55 mkubwa while na yeye anajiona bado ana nguvu ,na wa 55 anamuona wa 65 mkubwa na kuendelea --------Hata wewe ambao sasa hivi una 25 unaona wa 45 wakubwa siku ukifika hiyo 45 utajiona bado MBICHI lakini zamani ulikuwa unawaona watu wenye 45 ni WAZEE..............

Kuna watu wana miili mizuri hadi 55 bado anaonekana YANK......Nadhani Stress zinazeesha sana ,matatizo yanazeesha sana ,cha msingi zingatia kula vizuri ,mazoezi ,maji kwa wingi ,mboga za majani kwasana ,kumpumzika lazima utakuwa forever young.
 
Nemezaliwa mwaka 1975 nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18,nikiwa namiliki duka la vyakula baadaye nikaanza kumiliki duka la nguo mtaji ukapanda nikiwa na miaka 20 nikawa namiliki haice mbili. super rofo hapo sijao nimepanga naishi na wadogo zangu wawili ni mwendo wa kula bata,pombe mademu na kila kitu
Nimeowa mwaka 2004 nikaanza kujenga namshukuru Mungu nina nyumba tatu na ofisi zangu za Saloon jumla sita
Tatatizo linaanza kutoka kijana, baba, sasa wananita mzee,mfano mnaweza mkizinguana na kijana maana niko freshi nilibahatika kusomea mafunzo ya kareti sasa kijana kama akinizingua nikimpiga mkwara sipendi aniambie samahani mzee,au binti nikimpenda aniambie tu ahsante asiniambie mbona wewe sawa na baba yangu,inauma jamani uzee mbaya
Basi nitakuwa na kwita mtoto,hiyo itakaa poa?
 
Mtoto wa miaka 7 anamuona Mtoto wa miaka 18 mkubwa ,mtoto wa miaka 18 anamuona wa 25 Mkubwa while yeye anajiona JANK ,wa 25 vile vile anamuona wa 35 ni mkubwa while yeye anajiona bado mdogo,vile vile wa 35 anamuona wa 45 mkubwa while yeye anajiona bado anaita na vile vile wa 45 anamuona wa 55 mkubwa while na yeye anajiona bado ana nguvu ,na wa 55 anamuona wa 65 mkubwa na kuendelea --------Hata wewe ambao sasa hivi una 25 unaona wa 45 wakubwa siku ukifika hiyo 45 utajiona bado MBICHI lakini zamani ulikuwa unawaona watu wenye 45 ni WAZEE..............

Kuna watu wana miili mizuri hadi 55 bado anaonekana JUNK......Nadhani Stress zinazeesha sana ,matatizo yanazeesha sana ,cha msingi zingatia kula vizuri ,mazoezi ,maji kwa wingi ,mboga za majani kwasana ,kumpumzika lazima utakuwa forever young.
Sahihi
 
Back
Top Bottom