Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,812
CivilEngineering ya nini mkuu
CivilEngineering ya nini mkuu
hapa nilisha kukamata tayari, kama umesoma civil ya UDSM wanayo chukua Hadi two wewe basi ni kilaza.Civil
Unataka na GPA yangu? Ninyi vijana mnaosomea kupata kazi badala ya ujuzi na maarifa mtapata tabu sana dunia hii.Ninyi ndo mnafundisha chuo kikuu miaka yote then mkitolewa hapo mnajiona mlikuwa jalalani.badala ya kutafuta ujuzi na maarifa wewe unahangaika na GPA,GPA haisolve problems mkuuHahahaaaaaaaaaaaa, mmmmmmmmm, nasikia harufu ya uongo hapa.
You can not perform well in studies without applying an effort. For what I know, labda wewe mwenzangu umesoma combination gani na chuo umesomea degree ya nini. Naomba tuanzie hapo,
na chuo GPA yako ni ngapi.
na utupe publication yako uliyo andika ili kutoa mchango kwenye elimu
Hahahahaaaaaaaaa,Unataka na GPA yangu? Ninyi vijana mnaosomea kupata kazi badala ya ujuzi na maarifa mtapata tabu sana dunia hii.Ninyi ndo mnafundisha chuo kikuu miaka yote then mkitolewa hapo mnajiona mlikuwa jalalani.badala ya kutafuta ujuzi na maarifa wewe unahangaika na GPA,GPA haisolve problems mkuu
Mkuu,kwa kusoma degree program kwa mtu mwenye akili ni hobby na plan za mtu na si show off Kama wanavyofanya wengine,second usikariri kwamba kila mtu unae muona nchi hii kasoma Tanzaniahapa nilisha kukamata tayari, kama umesoma civil ya UDSM wanayo chukua Hadi two wewe basi ni kilaza.
kwa miaka yenu nilitegemea umesoma telecommunication, mining au chemical engineering. Lakini kwakua ulikuwa kilaza ulishindwa kuchaguliwa hizo kozi za wachache.
Mkuu civil uliyo izungumzia kwa pale UDSM ni sawa na degree za education inachukua nyomi.Unataka na GPA yangu? Ninyi vijana mnaosomea kupata kazi badala ya ujuzi na maarifa mtapata tabu sana dunia hii.Ninyi ndo mnafundisha chuo kikuu miaka yote then mkitolewa hapo mnajiona mlikuwa jalalani.badala ya kutafuta ujuzi na maarifa wewe unahangaika na GPA,GPA haisolve problems mkuu
mkuu wewe umesoma bongo. ungesoma njee ungekuwa na publication kibao. Elimu ya nje wanahimiza kupublish sana. Nje hata bachelor wana publishMkuu,kwa kusoma degree program kwa mtu mwenye akili ni hobby na plan za mtu na si show off Kama wanavyofanya vilaza wengine,second usikariri kwamba kila mtu unae muona nchi hii kasoma Tanzania
Wewe ndo wale wale tu.Unasomahapa nilisha kukamata tayari, kama umesoma civil ya UDSM wanayo chukua Hadi two wewe basi ni kilaza.
kwa miaka yenu nilitegemea umesoma telecommunication, mining au chemical engineering. Lakini kwakua ulikuwa kilaza ulishindwa kuchaguliwa hizo kozi za wachache.
Mkuu Mimi sijawahi kusomea kitu ambacho sijui naenda kukifanyia kazi gani na wapi, ujuzi na maarifa ndo ilikuwa target yangu kubwa and not show offMkuu civil uliyo izungumzia kwa pale UDSM ni sawa na degree za education inachukua nyomi.
Mimi nilijua umepiga mining au chemical au telle za enzi hizo kumbe civil darani mkuu 200 na ushehe.
Studying is not a job as there are no remunerations associated with it, it's just a task. Like any task, some efforts need to be put to succeed.I need the answer of this quiz.
If studying is not a hard job, why most people study hard?
Nje kwako wewe ni wapi?mkuu wewe umesoma bongo. ungesoma njee ungekuwa na publication kibao. Elimu ya nje wanahimiza kupublish sana. Nje hata bachelor wana publish
I thought a job is the combination of different tasks.Studying is not a job as there are no remunerations associated with it, it's just a task. Like any task, some efforts need to be put to succeed.
Developed countries like US, UK, CHINA e. t. cNje kwako wewe ni wapi?
job 1Studying is not a job as there are no remunerations associated with it, it's just a task. Like any task, some efforts need to be put to succeed.
Tatizo mnakalili kuna watu 2007-2009 wana 1 point 3,4,5 na hawakusoma Telecom wala Computer Engineering.hapa nilisha kukamata tayari, kama umesoma civil ya UDSM wanayo chukua Hadi two wewe basi ni kilaza.
kwa miaka yenu nilitegemea umesoma telecommunication, mining au chemical engineering. Lakini kwakua ulikuwa kilaza ulishindwa kuchaguliwa hizo kozi za wachache.
Ok poa kweli wewe hujui kituDeveloped countries like US, UK, CHINA e. t. c
Mkuu huyo ndugu yetu achana nae, yeye anataka show off badala ya kuangalia future yake,eti unasoma mining then unataka kazi ya kuajiriwa sasa sijui migodi ya kuwaajiri iko wapi? Ndo maana wanazunguka na vyeti miaka mitano sasaTatizo mnakalili kuna watu 2007-2009 wana 1 point 3,4,5 na hawakusoma Telecom wala Computer Engineering.
Nina mwanangu alipata 1 point 5 kapiga zake Electromechanical lkn pamoja na one yake kali kapigwa gap la GPA na na mtu aliyepata 2 ya 12.
Kuna mwengine alisoma Ilboru alipiga 1 point 4 kapiga Civil,mwengine nae 1 point 4 kapiga Bsc with Computer Science.
Wapo kibao ambao walikuwa na point kali lakini wakaenda kosoma vitu vingine na kuna wengine wana one kali tu wapo mtaani wanakata mapindi sio kwamba vilaza bali wameamua kufanya na kusoma vitu wanavyo vipenda so acha kukalili.
Habari za leo wakuu,
Leo nilikua nawaza jinsi kazi ya kusoma ilivyo ngumu.
Nikikumbuka vijana wenzangu ambao nilisha waacha nyuma mara baada ya wao kushindwa kuelewa kinacho endelea darasani, ndipo nagundua jinsi kazi ya kusoma ilivyo ngumu.
Just imagine mkuu unaanza chekechea unasoma mpaka unafika chuo kikuu sio kazi ndogo kabisa hii.
Hii kazi ya kusoma hata wanajeshi iliwashinda, wakaona ni bora watumie miguvu yao tu.
Watu wengine wamo humu jamii forum, kazi ya kusoma iliwashinda. Utakuta mtu anarudiaga mitahani tu mara kumi bado haperform tu.
Nakumbuka kuna rafiki yangu mmoja shule ya msingi ni alikaririshwa madarasa mara 10, la kumi na moja ndio akaperform. Hii kazi sio mchezo bwana.
Yaani kuna jamaa yangu mmoja naye, elimu ya olevel kasoma mara nane ndipo akaperform. Daa ni hatari.
Wewe unayesema kusoma sio kazi ngumu ya nini kukesha kama bundi.
Utakuta mwingine anasinzia darasani au mezani akiwa anasoma.
Vimitihani vya utumishi tu vinakufanya kuwa bundi.
Karibuni kwa maoni sasa.