Hakuna kazi ngumu kama kusoma shule

Hakuna kazi ngumu kama kusoma shule

Hahahaaaaa, mkuu huo ndio ukweli.
Enzi hizo PCM wote walikua wanaiwaza Tele tu.
Ni sawa na sasa hivi, jaribu kumwuuliza PCB yeyote unapenda kuwa nani, jibu utakalopata ni napenda kuwa MEDICAL DOCTOR.

Kwa hiyo ni vilaza tu wanaoshindwa kujiunga na Doctor of Medicine kwasasa.
Wanao kimbilia Nursing, pharmacy ndio vilaza wenyewe nao wazungumzia hao.
Wanakimbilia hizo kozi kwasababu marks zao hazitoshelezi.
Mkuu si kweli pesa pia tatzo nina wadogo zangu wa mbali wote wamesoma minaki PCB na kupata one za point 8 mmoja ana BBD mwingine ana CBC...hao wote wamepata principle za kusomea MD ila kwa serikalini upinzani mkali kwanj MuHas wanachukua mwisho 6 na udom mwisho 7 ikabdi.....so hapo mmoja akaenda zake degree ya unesi muhas pale n mwingine kwao umatemte upo anapiga MD kairuki.
 
Mfano nani huyo alipata Phy-A Math-A Chem-A halafu akapata 1 ya 15?
Meme nilipata 16 ila nilikuwa na A pyhz, A math, A bioz na B chem ...hayo masomo sijawah pitwa darasan o level yangu.

Nilichagua pugu na ndo nikapangiwa ila kuna wengine kama walipata kma meme hatutofautian sana walipangwa tabora na iliboru huko
 
Meme nilipata 16 ila nilikuwa na A pyhz, A math, A bioz na B chem ...hayo masomo sijawah pitwa darasan o level yangu.
Hao jamaa achana nao hawazijui technique za kusoma ndio sababu. Kuna watu wanasoma kwa mipango sio kusoma soma tu. Una concentrate na masomo machache kisha unabandua one ya kawaida alafu kwenye comb un AAA. Na shule za advance zinaangalia kwenye comb.
 
Me najua wanaangalia una point ngap kwenye comb unayoitaka kuna mwana alikuwa na 15 ila alipata ABB A ya math kaenda tabora na kuna mwana kapata 14 ana A bioz , A chem , Amath , A phys kaenda iliboru ...watu wengine walishjichagulia masomo tok o level ...UPCM na UPCB ulituharu mapema kupiga one kali za 789 kitu ambacho kilikuwa kinawezekn najutaga sna.
 
Ukapelekwa shule gani?
Mkuu nimesema hpo Juu nilichagua ya kwnza pugu na nikaeenda huko.

Nilichugua pugu minaki za azania tu sikutaka kutoka nje ya dar......

Hafu mbona hao special school tumewakimbiza kibao tu necta weupe tu wacheche sana ndo walikuwa wanajua mambo!
 
Nimesoma PCM Ila Leo ndo nasikia Kuna lugha inaitwa physics,chemestry na Mathematics kweli awamu ya tano Ina Mambo mengi mno

Hizo ni aina mojawapo za lugha.

Mfano ni lugha hii; v=√(2gh).

Utasema; V equals square root of two gh in brackets., unaona lugha yenyewe??!!, kila mwanahisabati au mwanafizikia anakuelewa.
 
Hiyo chini ni list ya 2019 best student advance level

Umemuona huyo dgo wa nmba 3 au huyo alikimbiza wa kisimiri nao ni special?
Screenshot_20200722-084339.jpg
 
Mkuu nimesema hpo Juu nilichagua ya kwnza pugu na nikaeenda huko.

Nilichugua pugu minaki za azania tu sikutaka kutoka nje ya dar......

Hafu mbona hao special school tumewakimbiza kibao tu necta weupe tu wacheche sana ndo walikuwa wanajua mambo!
Ulipata grade gani form 6 mkuu?
 
Back
Top Bottom