Hakuna kazi ngumu kama kusoma shule

Hakuna kazi ngumu kama kusoma shule

Tatizo mnakalili kuna watu 2007-2009 wana 1 point 3,4,5 na hawakusoma Telecom wala Computer Engineering.

Nina mwanangu alipata 1 point 5 kapiga zake Electromechanical lkn pamoja na one yake kali kapigwa gap la GPA na na mtu aliyepata 2 ya 12.

Kuna mwengine alisoma Ilboru alipiga 1 point 4 kapiga Civil,mwengine nae 1 point 4 kapiga Bsc with Computer Science.

Wapo kibao ambao walikuwa na point kali lakini wakaenda kosoma vitu vingine na kuna wengine wana one kali tu wapo mtaani wanakata mapindi sio kwamba vilaza bali wameamua kufanya na kusoma vitu wanavyo vipenda so acha kukalili.
Ni kwasababu hawakuwa na sifa za kuchaguliwa kwenye hizo kozi pendwa kipindi hicho.
 
Mkuu huyo ndugu yetu ni kilaza achana nae,yeye anataka show off badala ya kuangalia future yake,eti unasoma mining then unataka kazi ya kuajiriwa sasa sijui migodi ya kuwaajiri iko wapi? Ndo maana wanazunguka na vyeti miaka mitano sasa
Yaani kama mimi ni kilaza basi wewe ni kilaza mara 10000 mkuu.
Kupitia hiyo elimu yako mpaka leo umegundua nini cha kuweza kusaidia hiyo jamii yako.
Mara zote kilaza huwa anasoma ili ajiliwe. Narudia tena kilaza husoma ili aajiliwe.
Smart people study to get the knowledge for solving problems in the society.
 
Sawa mkuu,kuajiriwa nako ni kusolve problems za jamiii na kugundua vitu si lazima uwe umesoma mkuu
 
Ni kwasababu hawakuwa na sifa za kuchaguliwa kwenye hizo kozi pendwa kipindi hicho.
Mkuu kwa hizo kozi zako pendwa zilianzishwa mwaka gani na wale waliosoma kozi hizo wako wapi sasa? Njoo Basi in box nikukaribishe ofisini kwangu na home kwangu Kisha ukajifanyie comparison mwenyewe
 
Mkuu kule mzumbe vilaza pia walikuwa wanakuja,wale walioiba mitihani darasa la Saba na form four walikuwa wanakuja pia na ndo hao walikuwa wanasoma hadi wanapata kichefu chefu katika jitihadi za kumaintain status Ila sisi wazawa,prepo ilikuwa mwisho saa nne na disco kule kilakala tulikuwa hatukosi mazee
Bondi la MzuKila nasikia lishakufa.
 
Nimemaliza ilboru pcm 2016 , msiwe mnawakaririsha watu kuwa shule zile za vipaji ni za watu wenye akili nyingi . nakumbuka nilipangiwa pale nikiwa na 1 ya 15 hiyo ni 2013 shule ya msingi sikuwahi kusoma ya vipaji maalum.
1 ya 15!
Arts au?
 
Mkuu kwa hizo kozi zako pendwa zilianzishwa mwaka gani na wale waliosoma kozi hizo wako wapi sasa? Njoo Basi in box nikukaribishe ofisini kwangu na home kwangu Kisha ukajifanyie comparison mwenyewe
Hahahaaaaa, mkuu huo ndio ukweli.
Enzi hizo PCM wote walikua wanaiwaza Tele tu.
Ni sawa na sasa hivi, jaribu kumwuuliza PCB yeyote unapenda kuwa nani, jibu utakalopata ni napenda kuwa MEDICAL DOCTOR.

Kwa hiyo ni vilaza tu wanaoshindwa kujiunga na Doctor of Medicine kwasasa.
Wanao kimbilia Nursing, pharmacy ndio vilaza wenyewe nao wazungumzia hao.
Wanakimbilia hizo kozi kwasababu marks zao hazitoshelezi.
 
Mkuu hawajanishika Ila upuuzi wa unachefua sana,Magu more worse
Mkuu Magu ni Rais smart kuliko wote duniani.
Ila hapendi kufanya kazi na watu wavivu na vilaza.
Smartest people are those who shine in Magu ruling.
 
Kwa kweli hakuna , ku Kremu unatumia msuli afu saa nyingine vinayeyuka ukiwa kwenye chumba cha mtihani lol
 
Back
Top Bottom