Hakuna kazi ngumu kama kusoma shule

Hakuna kazi ngumu kama kusoma shule

Nikikumbuka ule msuli nilikuwa napiga advance tunajificha chimbo halafu baada ya kumaliza chuo unaambiwa ujiajiri.... Hahaaaaa daah
Mkuu Kama ulikuwa unasoma ili upate ajira I can't imagine ulivyoteseka mno,Ila sisi tuliokuwa tunasoma tupate ujuzi na maarifa,kusoma hakukuwahi kuwa kazi ngumu na Wala hatujawahi kujutia na ndo maana tukipata nafasi tunaendaga kutembelea shule tulizopitia ili kuwapa hamasa vijana
 
Inawezekana mkuu, huwezi kulinganisha kujieleza kwa mtu aliyesoma art na engineering. Hilo liko wazi kujieleza ni skills inatakiwa ujifunze. Na ndio sababu unawaona waliosomea arts wengi wanapenya kwenye siasa kirahisi wanao high convicing power. Ulishawai ona anavyo jieleza Waziri Ndalichako.
Huwezi ukasema PCM then any Engineering degree then ukashindwa kujieleza mbele ya watu either kwa kuswahili au English unless wewe uwe kilaza,na may be hiyo ndo sababu unasema kusoma ni kazi ngumu while wengine tulikuwa tukienjoy to calculate like a machine
 
Mkuu Kama ulikuwa unasoma ili upate ajira I can't imagine ulivyoteseka mno,Ila sisi tuliokuwa tunadoma tupate ujuzi na maarifa,kusoma hakukuwahi kuwa kazi ngumu na Wala hatujawahi kujutia na ndo maana tukipata nafasi tunaendaga kutembelea shule tulizopitia ili kuwapa hamasa vijana
Acha tu mkuu, tena nimesoma zile combination za kibabe
 
Mkuu Kama ulikuwa unasoma ili upate ajira I can't imagine ulivyoteseka mno,Ila sisi tuliokuwa tunadoma tupate ujuzi na maarifa,kusoma hakukuwahi kuwa kazi ngumu na Wala hatujawahi kujutia na ndo maana tukipata nafasi tunaendaga kutembelea shule tulizopitia ili kuwapa hamasa vijana
Hahahahaaaaaaaaaa, mkuu kwani level yako ya elimu ni ipi?
 
Inawezekana mkuu, huwezi kulinganisha kujieleza kwa mtu aliyesoma art na engineering. Hilo liko wazi kujieleza ni skills inatakiwa ujifunze. Na ndio sababu unawaona waliosomea arts wengi wanapenya kwenye siasa kirahisi wanao high convicing power. Ulishawai ona anavyo jieleza Waziri Ndalichako.
Mkuu Mimi ninavyojua mtu aliyesoma PCM anaweza kusoma degree programme yoyote Ile hapa duniani isipokuwa medicine tu.ila aliyesoma ungwini anaweza akasoma degree ya ungwini tu. Hii maana yake nini? Maana yake ni kwamba mtu anayesoma PCM then Engineering is considered kama mtu mwenye uwezo mkubwa. Nadhani wewe na Magu mnaweza kuwa exceptional,Mimi siko Kama wewe mkuu am so great kwenye kupepeta mdomo
 
Shule ni ngumu mno mno hasa kama una kichwa kizito...ni bora kulima kuliko kusoma aisee!!
 
Sawa kama kazi ya kusoma sio ngumu, kwenye hiyo MS. c yako, how many papers have you published till now?
Kupublish papers mkuu haijawahi kuwa priority yangu.for the past 18 years nimekuwa ninafanya kazi ya kusolve matatizo yanayoikabili jamii yetu ili kuongeza productivity.Kwa maana nyingine ni kwamba sisi akina invisible ndo tumeipeleka nchi kwenye uchumi wa kati though sifa wanapewa akina Magufuli
 
Shule ni ngumu mno mno hasa kama una kichwa kizito...ni bora kulima kuliko kusoma aisee!!
Huyu jamaa si ana beza, nataka aniambie mpaka sasa amegundua nini tangu aanze kusoma. Na pia anieleze ni kitu gani kipya ambacho anawaza kukifanya ambacho hakijafanywa na yeyote yule.
 
Hapo sawa mkuu, hapo nimekupata
Kupublish papers mkuu haijawahi kuwa priority yangu.for past 18 years nimekuwa ninafanya kazi ya kusolve matatizo yanayoikabili jamii yetu ili kuongeza productivity.Kwa maana nyingine ni kwamba sisi akina invisible ndo tumeipeleka nchi kwenye uchumi wa kati though sifa wanapewa akina Magufuli
 
Back
Top Bottom