Hakuna kazi ngumu kama kusoma shule

Hakuna kazi ngumu kama kusoma shule

Mkuu sio kweli jamaa zangu wa kibaha walikuwa hata hawashindi bwenini muda wote ni kubundika tu,
Kwani Mimi nimesemaje? Vilaza siku zote hutumia muda mwingi kusoma maana wanakariri tu,huwa hawasomi ili waelewe bali kukariri na ndo hao wanadesign barabara za ajabu ajabu sasa
 
Mi sijawahi kuona Kama kusoma ni kazi. Ila kazi tkt applicability ya hiyo elimu in your context hapo ndipo Kuna kazi ngumu
 
Kwani Mimi nimesemaje? Vilaza siku zote hutumia muda mwingi kusoma maana wanakariri tu,huwa hawasomi ili waelewe bali kukariri na ndo hao wanadesign barabara za ajabu ajabu sasa
Hahahaaaaaaaaa, acha uongo mkuu,
 
If studying is not a hard job, why most people study hard?
Wale wanaolazimisha kusoma wakati akili hawana,hata kazi mkuu,ukiona unatumia nguvu sana kudeliver basi hiyo kazi size yako achana nayo hata Kama Ina mshahara mkubwa
 
Nimemaliza ilboru pcm 2016 , msiwe mnawakaririsha watu kuwa shule zile za vipaji ni za watu wenye akili nyingi . nakumbuka nilipangiwa pale nikiwa na 1 ya 15 hiyo ni 2013 shule ya msingi sikuwahi kusoma ya vipaji maalum.
Kuanzia 2016 kwa muongozo wa waziri wa Elimu Prof Ndalichako, kuchaguliwa special school ni km hivi.

A, level science mwsho div 1 ya 13, na comb grade AAA - ABB. Kwa arts mwsho div 1 ya 17, comb grade AAA - BBB

O, level mtu aliyepata wastan wa A, huku akiwa na A 4 - 5, std 7.
 
Wale wanaolazimisha kusoma wakati akili hawana,hata kazi mkuu,ukiona unatumia nguvu sana kudeliver basi hiyo kazi size yako achana nayo hata Kama Ina mshahara mkubwa
Hahahaaaaaaaaaaaa, mmmmmmmmm, nasikia harufu ya uongo hapa.
You can not perform well in studies without applying an effort. For what I know, labda wewe mwenzangu umesoma combination gani na chuo umesomea degree ya nini. Naomba tuanzie hapo,

na chuo GPA yako ni ngapi.

na utupe publication yako uliyo andika ili kutoa mchango kwenye elimu
 
PCM then degree in Engineering Kisha msc
 
Back
Top Bottom