Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,812
Kwa hiyo Sasa unakubaliana na Mimi kuwa ukiwa na akili Kama sisi tuliosoma shule maalum kusoma hakujawahi kuwa kazi ngumuHahahaaaaaaa, ila jamaa kaongea ukweli mkuu.
Kwa hiyo Sasa unakubaliana na Mimi kuwa ukiwa na akili Kama sisi tuliosoma shule maalum kusoma hakujawahi kuwa kazi ngumuHahahaaaaaaa, ila jamaa kaongea ukweli mkuu.
Hapana sio kweli, sikubaliani nawewe kabisa.Kwa hiyo Sasa unakubaliana na Mimi kuwa ukiwa na akili Kama sisi tuliosoma shule maalum kusoma hakujawahi kuwa kazi ngumu
Inawezekana wakawa na lugha yao, maana watu wa kada hizi Kiswahili hawajui, Kiingereza hawajui.Nimesoma PCM Ila Leo ndo nasikia Kuna lugha inaitwa physics,chemestry na Mathematics kweli awamu ya tano Ina Mambo mengi mno
Una maana gani unaposema kugundua?Swali la nyongeza mpaka sasa umegundua nini?
Hao unaowasema mimi nimesoma nao darasa moja kwa hiyo nina uzoefu nao.Kwa hiyo Sasa unakubaliana na Mimi kuwa ukiwa na akili Kama sisi tuliosoma shule maalum kusoma hakujawahi kuwa kazi ngumu
To inventUna maana gani unaposema kugundua?
Jnasikia huko mzumbe wanafunzi wanatembea na vyombo vya kulia kwemye begi,af usingizi ni anasaKwa hiyo Sasa unakubaliana na Mimi kuwa ukiwa na akili Kama sisi tuliosoma shule maalum kusoma hakujawahi kuwa kazi ngumu
Maana yake kupata solution ya tatizo linaloikabili jamii fulani siyo?To invent
Sasa, kama kusoma sio kazi ngumu yanini wakeshe kama bundi.Jnasikia huko mzumbe wanafunzi wanatembea na vyombo vya kulia kwemye begi,af usingizi ni anasa
.Sisi tuliosoma day school za enzi hizo tulikula bata sana mtaani.Unakutana na mademu,michezo,marafiki wapya, ujasiriamali.Aisee day school sijutii kabisa.
Nimemaliza ilboru pcm 2016 , msiwe mnawakaririsha watu kuwa shule zile za vipaji ni za watu wenye akili nyingi . nakumbuka nilipangiwa pale nikiwa na 1 ya 15 hiyo ni 2013 shule ya msingi sikuwahi kusoma ya vipaji maalum.Ukiwa na akili Kama sisi tuliosoma shule za watoto wenye vipaji maalum kule Mzumbe na Ilboru,kusoma hakukuwahi kuwa kazi ngumu
Yeah, exactlyMaana yake kupata solution ya tatizo linaloikabili jamii fulani siyo?
Mkuu kule mzumbe vilaza pia walikuwa wanakuja,wale walioiba mitihani darasa la Saba na form four walikuwa wanakuja pia na ndo hao walikuwa wanasoma hadi wanapata kichefu chefu katika jitihadi za kumaintain status Ila sisi wazawa,prepo ilikuwa mwisho saa nne na disco kule kilakala tulikuwa hatukosi mazeeJnasikia huko mzumbe wanafunzi wanatembea na vyombo vya kulia kwemye begi,af usingizi ni anasa
.Sisi tuliosoma day school za enzi hizo tulikula bata sana mtaani.Unakutana na mademu,michezo,marafiki wapya, ujasiriamali.Aisee day school sijutii kabisa.
Yaaan weee khaaaah [emoji23][emoji23]Nimesoma PCM Ila Leo ndo nasikia Kuna lugha inaitwa physics,chemestry na Mathematics kweli awamu ya tano Ina Mambo mengi mno
Mkuu sio kweli jamaa zangu wa kibaha walikuwa hata hawashindi bwenini muda wote ni kubundika tu,Mkuu kule mzumbe vilaza pia walikuwa wanakuja,wale walioiba mitihani darasa la Saba na form four walikuwa wanakuja pia na ndo hao walikuwa wanasoma hadi wanapata kichefu chefu katika jitihadi za kumaintain status Ila sisi wazawa,prepo ilikuwa mwisho saa nne na disco kule kilakala tulikuwa hatukosi mazee
Ukiwa huna akili shule ni ngumu aiseee hasa secondary yani masomo yooooote kidhungu kasoro kiswahili???????? Heri form six mwende jkt mada za kitoto zinazidiHabari za leo wakuu,
Leo nilikua nawaza jinsi kazi ya kusoma ilivyo ngumu.
Nikikumbuka vijana wenzangu ambao nilisha waacha nyuma mara baada ya wao kushindwa kuelewa kinacho endelea darasani, ndipo nagundua jinsi kazi ya kusoma ilivyo ngumu.
Just imagine mkuu unaanza chekechea unasoma mpaka unafika chuo kikuu sio kazi ndogo kabisa hii.
Hii kazi ya kusoma hata wanajeshi iliwashinda, wakaona ni bora watumie miguvu yao tu.
Watu wengine wamo humu jamii forum, kazi ya kusoma iliwashinda. Utakuta mtu anarudiaga mitahani tu mara kumi bado haperform tu.
Nakumbuka kuna rafiki yangu mmoja shule ya msingi ni alikaririshwa madarasa mara 10, la kumi na moja ndio akaperform. Hii kazi sio mchezo bwana.
Yaani kuna jamaa yangu mmoja naye, elimu ya olevel kasoma mara nane ndipo akaperform. Daa ni hatari.
Wewe unayesema kusoma sio kazi ngumu ya nini kukesha kama bundi.
Utakuta mwingine anasinzia darasani au mezani akiwa anasoma.
Vimitihani vya utumishi tu vinakufanya kuwa bundi.
Karibuni kwa maoni sasa.
Mkuu sina hakika Kama hadi 2013 zilikuwa bado ni shule za watoto wenye vipaji maalumu kwa uhalisia wake,maana shule hizi zilipewa hiyo hadhi mwaka 1991 na mwaka 1992 zikaanza kuchagua hao vipanga,zikaleta walimu Bora kabisa,kupewa vitabu vingi na budget kubwa. Ni shule pekee za boarding za serikali ambazo wanafunzi wake tulikuwa tunakula wali kuku hata wiki zima,Sasa wewe hiyo uliyosoma nadhani ilikuwa imebaki jina tu ndo maana ukaweza kujiunga na one ya 15Nimemaliza ilboru pcm 2016 , msiwe mnawakaririsha watu kuwa shule zile za vipaji ni za watu wenye akili nyingi . nakumbuka nilipangiwa pale nikiwa na 1 ya 15 hiyo ni 2013 shule ya msingi sikuwahi kusoma ya vipaji maalum.
Hivi unategemea mtu anasoma degree ya mathematics miaka mitatu ajieleze kuzidi akina Makonda waliosomea degree za Art mkuu, let say mtu kasomea historyYaaan weee khaaaah [emoji23][emoji23]
Hahahahaaaaaaaaaaaaaa,Ukuwa huna akili shule ni ngumu aiseee hasa secondary yani masomo yooooote kidhungu kasoro kiswahili???????? Heri form six mwende jkt mada za kitoto zinazidi