Marcy
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,923
- 7,064
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nipe muda nitakuja na hili jibuKwa hyo kulia na kushoto mwa nje ya dunia hakuna kitu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nipe muda nitakuja na hili jibuKwa hyo kulia na kushoto mwa nje ya dunia hakuna kitu
🤣🤣🤣🤣 akili zako sasaSasa chanzo cha upinde si hawa washenzi LBTQ+ 😅|
Dunia ipo flat ila firmament ndio ipo round juu ndio inayosababisha upindeDunia ingekuwa flat upinde usingekuwa na maana ya upinde, upo upinde kwa sababu dunia sio flat.
Firmament is not even real mambo ya kibiblia tu hayo, lets get real.Dunia ipo flat ila firmament ndio ipo round juu ndio inayosababisha upinde
kila mtu aamini anacho aminiFirmament is not even real mambo ya kibiblia tu hayo, lets get real.
🤣🤣🤣🤣 akili zako sasa
Naona upo kwenye harakati za kuunguza maini
Hukioni kipoozeo hicho mkuu.Naona upo kwenye harakati za kuunguza maini
Hakuna kitu hapoHukioni kipoozeo hicho mkuu.
Hii inaitwa balanced diet.
Yaani iliyo balansiwa.
Sijakuelewa bro.
Hebu fafanua zaid.
Agano la kale liliwahusu watu wa zamani. Kabla ya Yesu.Mkuu kama wewe ni mkristo soma agano la kale limejaa maelekezo ya mungu akiwaambia wana wa israel wawapige, kuwaua na kuwachukua mateka wanawake wa mataifa mengine.
Kwahiyo?Agano la kale liliwahusu watu wa zamani. Kabla ya Yesu.
Hahh kwani tufe halina mwisho wake?,. hata object yenye umbo la tufe ina ukomo wake,. sasa hata wewe unaweza kuchukua Helicopter na ukaenda beyond tufe ili uthibitishe 100% kwamba dunia ni tufe na inazunguka.Waambie wachukue helicopter au ndege waende beyond alafu ndo wstoe majibu --- hawatofanya jambo hilo, ndo napobishanaga na hateeb10
Kaka tufe liwe mwisho ?Hahh kwani tufe halina mwisho wake?,. hata object yenye umbo la tufe ina ukomo wake,. sasa hata wewe unaweza kuchukua Helicopter na ukaenda beyond tufe ili uthibitishe 100% kwamba dunia ni tufe na inazunguka.
Ukweli ni kwamba mpaka sasa wewe binafsi huna uthibitisho wa umbo la dunia,. bali umekubali kile ambacho umefundishwa even though hata waliokufundisha hivyo hawajakupa uthibitisho,.. uthibitisho ulio wazi ungekuwepo hata mimi ningebadilisha mtazamo wangu,. sikubaliani na nadharia zilizopo cause sioni uthibitisho kwenye uhalisia pia picha & video zinazotumika kuonyesha kwamba dunia ni tufe linalozunguka ni animated (Hakuna raw video inayothibitisha yale ambayo watu tanafundishwa kwenye taasisi tofauti tofauti za elimu.
Ndiyo tufe lina mwisho,.. kwa maana ya maximum space occupied by it.Kaka tufe liwe mwisho ?
Hapa namna gani mkuu
Hyo ligi sitaingilia hata iweje kaka 😁😁