Marcy
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,918
- 7,056
kwann mkuuMarcy unapenda conspiracy theory 😁😁
Unajua wanaziita conspiracy theory kuficha ukweli uliopo 95% ni za kweli
kwann mkuuMarcy unapenda conspiracy theory 😁😁
95% ni nyingi, tuseme 60% angalau. Kuna nyingine hazina hata maana, kama eti tunaishi kwenye simulation au dunia ni flat hizi za uwongo kabisakwann mkuu
Unajua wanaziita conspiracy theory kuficha ukweli uliopo 95% ni za kweli
Hayo yote uliyoyazungumzia ni Biashara na ujasilia maliUchumi upo angel tatu
-Production
-Consumption
-To transfer
Marekani wao wanazalisha wanachohitaji ndani na zaida wanauza .
Marekani wanatumia wanatumia walichonacho .
Na wanarithisha uchumi kwa kizazi kinachokuja next generation.
Ikiwa familia yenu utazingatia Production , consumption na transfer of wealth basi kila atajayezaliwa atakuja kuanzia juu au katikati na sio kuanza zero.
Sasa hayo mambo Kama Tanzania Rais tu akija kutoka madarakani anaacha hazina hakuna kitu
Umesha sema hapo juu"NA MAKANISA NI HOSPITAL ZA WATENDA MAOVU" Unataka kujua ya Biblia ili yakusaidie nini sasa endelea kuamini dini yako ya Biblia hayata kusaidi kaa hivyo hivyo na upumbavu wako sio wewe wa kwanza kukashifu ila ukiristo na biblia upo karne na karneKwann unasema biblia haina uhusiano wote wote na mungu
OkayHayo yote uliyoyazungumzia ni Biashara na ujasilia mali
Hivi vitu vyote vinashare kitu kinaitwa risk taking and motivation
Ili u take risk unahitaji motivation na stress management
External motivation ipopengi na stress management ni dini na imani zingine
Hivi ni vitabu vya hadithi/simulizi. Hii ni kwasababu mambo mengi yaliyoandikwa humo hayana ushahidi wowote wa kihistoria wala kijiolojia.Bibilia na Quruan - hivi vitabu vimeandikwa na watu havina uhusiano na Mungu.
Mim naamini dunia ni flat hili hata baadhi ya ma pilot wanalisema95% ni nyingi, tuseme 60% angalau. Kuna nyingine hazina hata maana, kama eti tunaishi kwenye simulation au dunia ni flat hizi za uwongo kabisa
Sasa mkuu pale pande zote kila mtu anakwambia unabii unatimia -- we hustuki😁Israel na Palestine hakuna dini? Mbona Kila siku watu wanauana?
Dini ndiyo imeleta machafuko zaidi hapa Duniani mkuu
Uwezo alionao binadamu kapewa na nani?Machafuko mnaleta nyie wanadamu kwa kushindwa kuelewa maana halisi ya hizo DINI.
Niletee kifungu kinachoeleza taifa fulani likampge fulani.
Misikiti je?NA MAKANISA NI HOSPITAL YA WATENDA MAOVU
kuna utafouti wa dini, na nyumba za ibada na mungu . Dini ni mkusanyiko wa taratibu zilizowekwa ili zifatwe, Nyumba za ibada ni kwa ajili ya kujenga community watu wajuane unaweza ukasali na familia yako nyumbaniUmesha sema hapo juu"NA MAKANISA NI HOSPITAL ZA WATENDA MAOVU" Unataka kujua ya Biblia ili yakusaidie nini sasa endelea kuamini dini yako ya Biblia hayata kusaidi kaa hivyo hivyo na upumbavu wako sio wewe wa kwanza kukashifu ila ukiristo na biblia upo karne na karne
😅😅 haya bwanaMim naamini dunia ni flat hili hata baadhi ya ma pilot wanalisema
Hata biblia imeeleza mwanzo
sikuzote akurupukaye bila kuhoji sababu ndiye mpumbavuUmesha sema hapo juu"NA MAKANISA NI HOSPITAL ZA WATENDA MAOVU" Unataka kujua ya Biblia ili yakusaidie nini sasa endelea kuamini dini yako ya Biblia hayata kusaidi kaa hivyo hivyo na upumbavu wako sio wewe wa kwanza kukashifu ila ukiristo na biblia upo karne na karne
Unanitega auMisikiti je?
Sina maana hiyo 😂Unanitega au
ushawahi kwenda kwenye uzi wa dunia duara na dunia tambarare, kama bado uje ukatembelee huko kuna mwezako anaitwa hateeb 😄sikuzote akurupukaye bila kuhoji sababu ndiye mpumbavu
Kabla huja niita mpumbavu ungehoji kwanza kwann nimesema maneno hayo
Ngoja nikuache ukae na upumbavu wako ukiendelea kuamini makanisa ndio sehemu pekee ya kuabudu na kufanya maagano na mungu