Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 10,859
- 15,379
Hata mimi nataka afafanue hajaeleweka kabisaSijakuelewa bro.
Hebu fafanua zaid.
Hata mimi nataka afafanue hajaeleweka kabisaSijakuelewa bro.
Hebu fafanua zaid.
Ukutane na mlokole sasa. Anajiona ana hati miliki ya funguo za mbinguMUNGU pekee ndiye awezaye kuleta ustaarabu kwa watu na Sio dini, ukiona MTU kastaarabika ujue ana hofu ya MUNGU.......i.e amekwenda mbele zaidi na kuipita dini na kukutana na muumba wake
Hakuna mtu wa dini ambaye ni mstaraabu hayupo
Mkuu naomba nitofautiane na wewe kwenye hii definition ya diniNini maana dini - Dini ni utamaduni wa eneo fulani.
Mkuu naomba nitofautiane na wewe kwenye hii definition ya dini
Dini ni utaratibu na mfumo uliopangiliwa ili utumike ktk kuabudu
Mfano mimi nikianzisha dini yangu nikaanzisha utaratibu wa waumini kila jumapili tutasali mlimani na kula mikate
Kisha jumatano tutapaka majivu ya bahati yatusaidie kwenye biashara zetu
Halafu kila muumini ataleta familia yake
Na hiyo dini nikaiita dini ya mlima wa mbingu
Ndio tafsiri ya dini
Hapo mlimani litakuwa kanisa
Dini sio lazima ifuate biblia au korowani za wazungu na waarabu
Hata hapa bariadi kuna vilinge na hii ni dini ya kimila
We share a common goal stress management, anxiety and ovetcoming fear plus motivation
Sawa mkuuNini maana dini - Dini ni utamaduni wa eneo fulani.
Je dini zinafundisha ukweli , ?
Hakuna dini yoyote yenye mafundisho ya kweli. Ila ni hadithi , na kawaida ya hadithi waweza pata kitu cha kujifunza chanya au hasi.
Bibilia na Quruan - hivi vitabu vimeandikwa na watu havina uhusiano na Mungu.
Hii dunia Ina miaka 2000s ya kuhesabu Ila kiuhalisia hii dunia Ina miaka mingi inayozidi 2000s
Maarifa uliyonayo yapo ya aina tatu
-Kufundishwa
-mambo uliyoyapitia
-mambo waliopitia watu
Kwahiyo unaweza Ku -gain new experience in life kupitia mapito yako , au mapito ya watu au kujifunza.
Mvurugano uliopo hapa duniani ni kwamba watu wachache wajinga wameamua kuwaongoza watu wengi wajinga .
Ukiona watu wanabishana kuhusu dini fahamu hao watu ni wajinga na hawajitambui.
Kuwa MTU mwema na MTU safi haina uhusiano na dini.
Kule Bukoba Bibi zetu na Babu they never worship anywhere Ila walikuwa wakiomba Nature inawapa wanachohitaji .
So universe is real , God is real but not religions.
Ikiwa unaacha tamaduni zako unafata tamaduni za watu lazima utadanganywa kuhusu miujiza ya kupokea Gari na Gas.
Maisha ya hapa duniani yamekuwa overrated watu wanajichosha Sana kuamini miujiza ya uongo sijui kwenda kwa waganga at the end Kama utaishi Sana ni 70-100 yrs so ni ujinga to chase nothing.
baada ya kapuya kupuyanga kujaza gesi ndio mnaleta usanii wenu hapa.wewe nidini gani?Nini maana dini - Dini ni utamaduni wa eneo fulani.
Je dini zinafundisha ukweli , ?
Hakuna dini yoyote yenye mafundisho ya kweli. Ila ni hadithi , na kawaida ya hadithi waweza pata kitu cha kujifunza chanya au hasi.
Bibilia na Quruan - hivi vitabu vimeandikwa na watu havina uhusiano na Mungu.
Hii dunia Ina miaka 2000s ya kuhesabu Ila kiuhalisia hii dunia Ina miaka mingi inayozidi 2000s
Maarifa uliyonayo yapo ya aina tatu
-Kufundishwa
-mambo uliyoyapitia
-mambo waliopitia watu
Kwahiyo unaweza Ku -gain new experience in life kupitia mapito yako , au mapito ya watu au kujifunza.
Mvurugano uliopo hapa duniani ni kwamba watu wachache wajinga wameamua kuwaongoza watu wengi wajinga .
Ukiona watu wanabishana kuhusu dini fahamu hao watu ni wajinga na hawajitambui.
Kuwa MTU mwema na MTU safi haina uhusiano na dini.
Kule Bukoba Bibi zetu na Babu they never worship anywhere Ila walikuwa wakiomba Nature inawapa wanachohitaji .
So universe is real , God is real but not religions.
Ikiwa unaacha tamaduni zako unafata tamaduni za watu lazima utadanganywa kuhusu miujiza ya kupokea Gari na Gas.
Maisha ya hapa duniani yamekuwa overrated watu wanajichosha Sana kuamini miujiza ya uongo sijui kwenda kwa waganga at the end Kama utaishi Sana ni 70-100 yrs so ni ujinga to chase nothing.
Ndio ipo maana tumezungukwa na majiHapana mkuu , wote mnamtizamo sawa 😁 , si kuna firmament
Na ukivuka hayo maji unaenda wapiNdio ipo maana tumezungukwa na maji
🤣🤣🤣 hebu katafute chanzo cha ule upinde wa mvua ukipata utakuja kukubaliana na mim dunia ni flat na firmament ipohivi marcy inaonekana kila ukikaa huwa unawaza kila kitu kwa nini kipo hivi au sio, 😅😅
Sawa 😁🤣🤣🤣 hebu katafute chanzo cha ule upinde wa mvua ukipata utakuja kukubaliana na mim dunia ni flat na firmament ipo
Makao ya aliyeziumba mbingu na nchiNa ukivuka hayo maji unaenda wapi
Mi sina neno mkuu 😁Ndio ipo maana tumezungukwa na maji
Kwa hyo kulia na kushoto mwa nje ya dunia hakuna kituMakao ya aliyeziumba mbingu na nchi
Sayansi haifanywi na binadamu, its there yani, kinachofanyika ni kufanya theories kuwa practical/reality.Na sayansi hiyo aliifanya binadamu kama wew ambaye anaweza kupindisha mambo kuuficha ukweli asilia
Ni kama wanavyosema sisi waafrika tulikuwa sokwe unakubaliana na hilo babu wew ulikuwa sokwe?
Dunia ingekuwa flat upinde usingekuwa na maana ya upinde, upo upinde kwa sababu dunia sio flat.🤣🤣🤣 hebu katafute chanzo cha ule upinde wa mvua ukipata utakuja kukubaliana na mim dunia ni flat na firmament ipo
Sasa chanzo cha upinde si hawa washenzi LBTQ+ 😅|🤣🤣🤣 hebu katafute chanzo cha ule upinde wa mvua ukipata utakuja kukubaliana na mim dunia ni flat na firmament ipo