Hakuna dini inayofundisha ukweli hata moja duniani

Hakuna dini inayofundisha ukweli hata moja duniani

Hayo yote uliyoyazungumzia ni Biashara na ujasilia mali

Hivi vitu vyote vinashare kitu kinaitwa risk taking and motivation

Ili u take risk unahitaji motivation na stress management

External motivation ipopengi na stress management ni dini na imani zingine

Unahitaji external tool ya kukusaidia kumanage stress na hiyo tool ni dini
100%
 
Duh, sijaelewa mkuu. Mfano wameandika tusizini na mke wa mtu. Kwa hiyo sio kweli tupite nae?
😀😀😀😀 Hilo ni takwa la nature nasio dini

Kikanuni kilicho tafutwa Kwa jasho la mtu hakipaswi kuibiwa iwe ni mke / mume au rasilimali yoyote Ile ,

Ila Sasa ukitaka ujue usnitch wa nature ni pale ambapo mwenyewe power anaweza kuvunja hizo kanunu but still akabaki salama ,

Wanasema ukiua mtu lazima damu ikudhuru but still mpaka Leo hii Obama yupo salama licha ya kumuua gadafi
 
Kama machafuko tuna yaleta sisi binaadamu and the so called bwana yesu na muddy sijui allah Wana shindwa kutusaidia so hizo Dini Zina maana Gani !?
Machafuko mnaleta nyie wanadamu kwa kushindwa kuelewa maana halisi ya hizo DINI.

Niletee kifungu kinachoeleza taifa fulani likampge fulani.
 
Back
Top Bottom