Marcy
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,918
- 7,055
Eee ulikuwa na maana ganiSina maana hiyo 😂
Eee ulikuwa na maana ganiSina maana hiyo 😂
Huyo anakubaliana na wewe, ila mimi hamuwezi kunishawishi kabisaUkorofi tu
Sawa nitapitaushawahi kwenda kwenye uzi wa dunia duara na dunia tambarare, kama bado uje ukatembelee huko kuna mwezako anaitwa hateeb 😄
Hahaha mfano chukua mpira weka hapo kitu kinaweza kukaa kweliHuyo anakubaliana na wewe, ila mimi hamuwezi kunishawishi kabisa
Nini maana dini - Dini ni utamaduni wa eneo fulani.
Je dini zinafundisha ukweli , ?
Hakuna dini yoyote yenye mafundisho ya kweli. Ila ni hadithi , na kawaida ya hadithi waweza pata kitu cha kujifunza chanya au hasi.
Bibilia na Quruan - hivi vitabu vimeandikwa na watu havina uhusiano na Mungu.
Hii dunia Ina miaka 2000s ya kuhesabu Ila kiuhalisia hii dunia Ina miaka mingi inayozidi 2000s
Maarifa uliyonayo yapo ya aina tatu
-Kufundishwa
-mambo uliyoyapitia
-mambo waliopitia watu
Kwahiyo unaweza Ku -gain new experience in life kupitia mapito yako , au mapito ya watu au kujifunza.
Mvurugano uliopo hapa duniani ni kwamba watu wachache wajinga wameamua kuwaongoza watu wengi wajinga .
Ukiona watu wanabishana kuhusu dini fahamu hao watu ni wajinga na hawajitambui.
Kuwa MTU mwema na MTU safi haina uhusiano na dini.
Kule Bukoba Bibi zetu na Babu they never worship anywhere Ila walikuwa wakiomba Nature inawapa wanachohitaji .
So universe is real , God is real and God exist but religious is scam.
Ikiwa unaacha tamaduni zako unafata tamaduni za watu lazima utadanganywa kuhusu miujiza ya kupokea Gari na Gas.
Maisha ya hapa duniani yamekuwa overrated watu wanajichosha Sana kuamini miujiza ya uongo sijui kwenda kwa waganga at the end Kama utaishi Sana ni 70-100 so ni ujinga to chase nothing.
😅😅, na hoja yenu hiyo flat earth imekaa juu ya niniHahaha mfano chukua mpira weka hapo kitu kinaweza kukaa kweli
Hata mim bado hujanishawishi
Mkuu kama wewe ni mkristo soma agano la kale limejaa maelekezo ya mungu akiwaambia wana wa israel wawapige, kuwaua na kuwachukua mateka wanawake wa mataifa mengine.Niletee kifungu kinachoeleza taifa fulani likampge fulani.
Size ya mpira(dunia) inakujibu straight bila maswali mengi. It's a huge thing, kiasi kwamba huwezi kunotice its oval shape kwa macho au kuangalia tu, ila sayansi inaprove kwamba ni duara.Hahaha mfano chukua mpira weka hapo kitu kinaweza kukaa kweli
Hata mim bado hujanishawishi
Kuhusu Dini kuwa za ukweli au uongo watajua wenyewe..
Kikubwa nashukuru Dini zimeleta ustaarabu na uoga kidogo kwa watu vinginevyo dunia ingekuwa uwanja wa vita.
Dunia imeshikiliwa na nguzo mfano wa mti ulioshikilia matawi🤣🤣😅😅😅😅😅, na hoja yenu hiyo flat earth imekaa juu ya nini
Bika shaka ww umeongea Ukweli zaidi.
As long as Dini imeweka ustaarabu kwenye Hii Dunia. Bas Hilo ndilo la Muhimu.
Mungu awepo as asiwepo halijalishi sana . Kinachojalisha ni namna /miongozo ya jinsi tunavyoishi.
Na mm ndio Iman yangu.
Na sayansi hiyo aliifanya binadamu kama wew ambaye anaweza kupindisha mambo kuuficha ukweli asiliaSize ya mpira(dunia) inakujibu straight bila maswali mengi. It's a huge thing, kiasi kwamba huwezi kunotice its oval shape kwa macho au kuangalia tu, ila sayansi inaprove kwamba ni duara.
Ueah.. mambo ya free will.Mke wa MTU au Mme wa MTU ni jambo ambalo alikuhitaji kufundishwa na MTU kuhusu hilo .
Ikiwa wanyama they know how to handle it we binadamu unahitaji kuambiwa na dini.
Issue is about conscience ukifanya jambo baya utalisikia lina sound ndani yako na hiyo haina uhusiano na dini.
MUNGU pekee ndiye awezaye kuleta ustaarabu kwa watu na Sio dini, ukiona MTU kastaarabika ujue ana hofu ya MUNGU.......i.e amekwenda mbele zaidi na kuipita dini na kukutana na muumba wake
Hakuna mtu wa dini ambaye ni mstaraabu hayupo
Huyo jamaa simuwezi, akija mi naondoka 😂😂
Hapana mkuu , wote mnamtizamo sawa 😁 , si kuna firmamentUkorofi tu