Hakuna biashara pasua kichwa kama biashara ya Bar

Hakuna biashara pasua kichwa kama biashara ya Bar

Biashara ya Bar ina changamoto sio poa
Hii biashara unaweza kukufirisi unalia
Faida sio kivile ila changamoto ni nyingi mno

1. Unahitaji uwekezekajo sio kinyonge, mzigo, Mziki, viti, jiko n.k

2. Ushindani ni mkubwa, unaweza ukawa umewekeza ukadhani umemaliza, ***** akatokea mhuni akaweka bar nzuri wateja wakahama

3. Ugomvi
Walevi wanapenda ugomvi kupigana kuuana ni jambo kufikia

4. Usumbufu wa police wa doria

5 wateja kutoroka na hela

6.kuibiwa na wafanyakazi

7 Rundo la tozo, kuanzia TRA, watu wa taka, TFDA, n.k
Wachache Sana ipatia yaani ni bahati na Aibu

Kuna mtu kawekeza pesa nyingi sehemu very potential lakini ukipita kila siku wateja hawazidi 5 mwezi hadi mwezi mpaka unajiuliza huyu hata Hela ya umeme anapata?
IL kuna sehemu za uswazi **** mbagala, G'mboto baa zinajaa daily
 
Biashara ya Bar ina changamoto sio poa
Hii biashara unaweza kukufirisi unalia
Faida sio kivile ila changamoto ni nyingi mno

1. Unahitaji uwekezekajo sio kinyonge, mzigo, Mziki, viti, jiko n.k

2. Ushindani ni mkubwa, unaweza ukawa umewekeza ukadhani umemaliza, ***** akatokea mhuni akaweka bar nzuri wateja wakahama

3. Ugomvi
Walevi wanapenda ugomvi kupigana kuuana ni jambo kufikia

4. Usumbufu wa police wa doria

5 wateja kutoroka na hela

6.kuibiwa na wafanyakazi

7 Rundo la tozo, kuanzia TRA, watu wa taka, TFDA, n.k
UPO SAHIHI KABISA........
Kuna shemeji yangu anafanya hizi biashara na ana baa kadhaa..,,,,,faida anaipata kupitia wafanyakazi wake......Analeta wadada ishirini wenye makalio makubwa,,,,,,walevi wakishalewa .....wakitaka mdada....sharti kuacha elfu ishirini kaunta....kumi ya kampuni ,,,,,kumi ya mfanyakazi.......ila.....baada ya miezi miwili wafanyakazi wamekwisha...inabidi akalete wengine.........
 
Uchawi wa bar; hakikisha wanawake wapo wapo na wanakuwa hawazoeleki, bar usimtarget mlevi peke yake.
Mtu wa mpira aje, mtu wa kutaka malaya aje na kuwe na gesti karibu, misosi mtu apate full time, asubuhi, mchana jioni. Bar maana yake umshawishi mteja aje pale, katika kuja pale atumie huduma za hapo ili wewe uingize hela. Mtu mwingine kinachomleta hapo ni jikoni, ila akija atanunua soda au maji. Mwingine anakuja kucheki boli, mwingine anakuja kufuata malaya hapo, lazima atakuachia chenji iwe vinywaji au misosi. Baada ya hapo ndio kutakuwa na walevi wako wa siku zote hapo bar ni kama kwao. Hawa pia kuna namna ya kuwa maintain.... 😊

Ukifungua bar kumtarget mlevi peke yake; hiyo bar utafunga. 😊
 
Biashara ya Bar ina changamoto sio poa
Hii biashara unaweza kukufirisi unalia
Faida sio kivile ila changamoto ni nyingi mno

1. Unahitaji uwekezekajo sio kinyonge, mzigo, Mziki, viti, jiko n.k

2. Ushindani ni mkubwa, unaweza ukawa umewekeza ukadhani umemaliza, ***** akatokea mhuni akaweka bar nzuri wateja wakahama

3. Ugomvi
Walevi wanapenda ugomvi kupigana kuuana ni jambo kufikia

4. Usumbufu wa police wa doria

5 wateja kutoroka na hela

6.kuibiwa na wafanyakazi

7 Rundo la tozo, kuanzia TRA, watu wa taka, TFDA, n.k
2023 nilizika 40M na haikuwahi kufufuka..! Sitaki kabisa kukumbuka😂🙌🏿
 
Back
Top Bottom