Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,708
- 35,551
HakikaBiashara kichaa hizo
HakikaBiashara kichaa hizo
ChaiHuwezi kuuza pombe halafu ukawa tajiri. Pombe imelaaniwa na Mungu kuanzia aayeitengeneza, anayeibeba, anayeiuza mpk anayekunywa.
Pole.2023 nilizika 40M na haikuwahi kufufuka..! Sitaki kabisa kukumbuka😂🙌🏿
Bar and guest,bar inachochea guest ijae,so bar kama entertainer only!, (busines tactical)..bar kama bar is useless...Biashara za wachaga hizo sio kuvimba kichwa eti masawe ni tajiri kisa analibaa linakesha na wateja wawili
USSR
Nadhani huujui biashara ya kuuza laini za simu. Kila mtu ana laini, unapenyaje sokoni?Biashara ya Bar ina changamoto sio poa
Hii biashara unaweza kukufirisi unalia
Faida sio kivile ila changamoto ni nyingi mno
1. Unahitaji uwekezekajo sio kinyonge, mzigo, Mziki, viti, jiko n.k
2. Ushindani ni mkubwa, unaweza ukawa umewekeza ukadhani umemaliza, ***** akatokea mhuni akaweka bar nzuri wateja wakahama
3. Ugomvi
Walevi wanapenda ugomvi kupigana kuuana ni jambo kufikia
4. Usumbufu wa police wa doria
5 wateja kutoroka na hela
6.kuibiwa na wafanyakazi
7 Rundo la tozo, kuanzia TRA, watu wa taka, TFDA, n.k
Wanakwisha kwenda wapi? Wanakufa?....kumi ya kampuni ,,,,,kumi ya mfanyakazi.......ila.....baada ya miezi miwili wafanyakazi wamekwisha...inabidi akalete wengine.........
Hahaha pole sana mkuu2023 nilizika 40M na haikuwahi kufufuka..! Sitaki kabisa kukumbuka😂🙌🏿
mie naonaga bar jengo usikodi liwe lako ,hy bar itadumuWachache Sana ipatia yaani ni bahati na Aibu
Kuna mtu kawekeza pesa nyingi sehemu very potential lakini ukipita kila siku wateja hawazidi 5 mwezi hadi mwezi mpaka unajiuliza huyu hata Hela ya umeme anapata?
IL kuna sehemu za uswazi **** mbagala, G'mboto baa zinajaa daily
Yeah ni moja ya strategymie naonaga bar jengo usikodi liwe lako ,hy bar itadumu
ukiwa na jengo lako unakua umepunguza pakubwaYeah ni moja ya strategy
Hiyo biashara hiyo🙌🏿🙌🏿🙌🏿😂Hahaha pole sana mkuu
Au sio! Aya bhanaHapo kwenye mzigo sio tu bia na "mizigo" pia lazima iwepo vinginevyo wateja wanakukimbia
50% y gharamaukiwa na jengo lako unakua umepunguza pakubwa
Umeiweka kiroho zaidiNi biashara ya laana kweli kweli maana kuna watu wanalewa kwa pesa za ada za watoto wao, wengine hata riziki ya msosi wa machaliii wanalewea! Lakini bado unakusanya watoto wa watu wenye makebo waje kukuvutia wateja! Kumbuka mabinti hao nao walizaliwa na wazazi wao walikuwa na positive expectation kwao! Kitu ambacho hata wewe boss haupo tayari binti yako aje kuwa hao unawaowafanya
Etieeee! si unajua wazazi wetu walitupeleka kwenye nyumba za Mungu kabla tukiwa wadogo! Kwa hUmeiweka kiroho zaidi
Kweli eee sawa mkuuUmeiweka kiroho zaidi
Kwa mawazo haya kampuni kama tbl zingeshafirisika siku nyingi. Ila ziko imara na ni miongoni mwa walipa kodi wazuri kwa gavooHuwezi kuuza pombe halafu ukawa tajiri. Pombe imelaaniwa na Mungu kuanzia aayeitengeneza, anayeibeba, anayeiuza mpk anayekunywa.