Hakuna biashara pasua kichwa kama biashara ya Bar

Hizo ni Biashara huitwa Social Enterprises, Biashara za mazoea na sio za kukupeleka kwenye Utajiri. Unless utengeneze Class unrealistic, zile za kuuza Bia moja 6,000+, VIP kiingilio 50k na other Creativity.

BUT Mostly ni biashara ambayo wanufaika wake (Wanaotajirika), ni wale wanaouza huduma kuzunguka hio Biashara ya Bar, Mfano Ma - Dj's, Wanaokuuzia Pombe, Muziki, wanaokuuzia Bidhaa za Chakula, Viungo, Events managers n.k.

Zile Biashara za pembeni zinazolisha Biashara ya BAR ndio huwa wana chance ya kutajirika, na sio mwenye Bar. Matumizi ya hela zako nyingi huishia kuwanufaisha wao ili Biashara yako ya Bar iweze kuendelea. Na uzuri wa hizi biashara ni kwamba, wakati wengine wanazifunga huwa kuna wapya wengi wanafungua(so haziwezi kuisha). ILA wanaodumu 5years+ ni wachache sana.

Nje ya Mada: ukitaka ufanikiwe, Chagua biashara ambazo zitalisha Social Enterprises( zile Biashara watu hufanya kwa mazoea), Mfano, Uza Kuku wa kienyeji kwenye Restaurants, Uza Spare za Bodaboda, Bajaji, Daladala nk, Uza vyakula na dawa za mifugo, Uza vifaa vya ujenzi, Uza viwatilifu kwa wakulima, MC wa kwenye Sherehe na nyingine kibao.

Inshort, angalia zile biashara watu wanafanya kwa mazoea, kisha wewe wapelekee vitu vitakavyofanya waendelee kuzifanya miaka na miaka
Thinktank
 
Biashara ya Bar ina changamoto sio poa
Hii biashara unaweza kukufirisi unalia
Faida sio kivile ila changamoto ni nyingi mno

1. Unahitaji uwekezekajo sio kinyonge, mzigo, Mziki, viti, jiko n.k

2. Ushindani ni mkubwa, unaweza ukawa umewekeza ukadhani umemaliza, ***** akatokea mhuni akaweka bar nzuri wateja wakahama

3. Ugomvi
Walevi wanapenda ugomvi kupigana kuuana ni jambo kufikia

4. Usumbufu wa police wa doria

5 wateja kutoroka na hela

6.kuibiwa na wafanyakazi

7 Rundo la tozo, kuanzia TRA, watu wa taka, TFDA, n.k
Biashara nyepesi sana hiyo ila wenye kuifanya wanaigana upumbavu ..shida ipo hapo ..bar nyingi wanawaza kunywesha watu pombe bila kuwa na mfumo mzuri wa chakula ...kuna mambo mengi yanakosewa
 
Hizo ni Biashara huitwa Social Enterprises, Biashara za mazoea na sio za kukupeleka kwenye Utajiri. Unless utengeneze Class unrealistic, zile za kuuza Bia moja 6,000+, VIP kiingilio 50k na other Creativity.

BUT Mostly ni biashara ambayo wanufaika wake (Wanaotajirika), ni wale wanaouza huduma kuzunguka hio Biashara ya Bar, Mfano Ma - Dj's, Wanaokuuzia Pombe, Muziki, wanaokuuzia Bidhaa za Chakula, Viungo, Events managers n.k.

Zile Biashara za pembeni zinazolisha Biashara ya BAR ndio huwa wana chance ya kutajirika, na sio mwenye Bar. Matumizi ya hela zako nyingi huishia kuwanufaisha wao ili Biashara yako ya Bar iweze kuendelea. Na uzuri wa hizi biashara ni kwamba, wakati wengine wanazifunga huwa kuna wapya wengi wanafungua(so haziwezi kuisha). ILA wanaodumu 5years+ ni wachache sana.

Nje ya Mada: ukitaka ufanikiwe, Chagua biashara ambazo zitalisha Social Enterprises( zile Biashara watu hufanya kwa mazoea), Mfano, Uza Kuku wa kienyeji kwenye Restaurants, Uza Spare za Bodaboda, Bajaji, Daladala nk, Uza vyakula na dawa za mifugo, Uza vifaa vya ujenzi, Uza viwatilifu kwa wakulima, MC wa kwenye Sherehe na nyingine kibao.

Inshort, angalia zile biashara watu wanafanya kwa mazoea, kisha wewe wapelekee vitu vitakavyofanya waendelee kuzifanya miaka na miaka
Dah.... Watu mnakompliketi sana mambo...

Hakuna bisahara rahisi na yenye faida kama ya Bar kama unaijulia...

Tunazungumzia uzoefu hapa...
 
Kuna mjomba mmoja pale mbeya mtaa Wa magege ilemi anaitwa sanga ana kibaa chake maarufu sana wakazi wa mbeya wanakijua, ni kifinyu sana kieneo, jengo la bar ni kama vyumba viwili na sebule tuu ila watu wanabanana hakuna kupumua, unaambiwa mchawi ninu, mle kuna mabinti wanyaturu na wale wa dodoma na manyara huwa hawajui kukataa,anauza canter moja ya kret za bia kila siku, japo hao wahudumu huwa wakizoea mazingira wanampiga matukio wanatembea yule mzee hakati tamaa anapiga simu singida yanakuja matoto madogo mashambaa yanaanza kuchangamshwa mle. Ukiliotea likiwa ligeni unalipa teni mpk morn
 
Back
Top Bottom