Haka karafiki kangu kataniletea matatizo soon....!!!!!

Haka karafiki kangu kataniletea matatizo soon....!!!!!

hayo ya kawaida, mbona wengine wapo jf lengo ni kuondoa au kupunguza stress na huwa wana hasira sana na computers zao zinapokuwa zipo slow. lol.

Hakuna ukawaida wa mtu mzima kuwa na urafiki wa kuondosha stress na mtoto wa miaka 4.

Computer unaweza hata ivunja ikiwa slow, mtoto jee?
 
Hata father Kimaro wa Kanisa Katoliki Changanyikeni Dar, alikuwa anajifanya kuwa karibu na watoto, kilitoke nadhani unakumbuka vizuri; alimlawiti mtoto wa watu hadi akafumaniwa. Haikutokea bahati mbaya, alijifanya kipenzi cha watoto, wazazi wakamwamini kwa kuwa ni padri lakini mwisho wa wale watoto ukawa mbaya.
Nilimuuliza huyo bibi yako kuwa kujifanya ni nini hajajibu hadi sasa
Hebu nijibu wewe basi maana naona kama hujielewi hivi

Ukishanijibu hilo uniambie umejuaje kuwa mimi najifanya na umetumia ipimo gani kujua hilo
Sitokuwa tayari
Kuna aliyeomba utayari wako?
kuona jitu la watu linajipendekeza kwa watoto wangu
Kujipendekeza ni kufanya nini?
Kwanini unadhani kuna anaejipendekeza?
Ni mkipimo gani kinatumika kujua huyu anajipendekeza na huyu sio?
ati anapenda watoto.
Unajua nini kuhusiana na kupenda?
Kupenda ni nini?
Huo ujinga akajifanyie kwa mahayawani.
Ujinga ni nini?
Ni upi?
Kwanini ni ujinga?
Umetumia kipimo gani kujua huu ni ujinga na huu sio?
Hayawani ni kitu gani?
KWANINI UNADHANI NDIO WANAOSTAHILI KUFANYIWA HUO UNAOUITA UJINGA?
Hata huyo Eiyer anajua anachokifanya hakikubaliki
Umejuaje hili?
Tafadhali tushirikishe hapa na kama unabashiri hapa sio kwa waganga wa kienyeji
ndiyo maana anatafuta watoto wa wamama wasioishi na waume zao,
Nimesema wapi kuwa natafuta?
Au unaota ndoto?
mbali na hapo angeshakula kichapo kitambooo!
Ndio maana nimekuambia kuwa hapa sio kwa waganga wa kienyeji
Una assume mambo ambayo hata huyajui
Na inaonekana hata mada hujaisoma
Hebu soma tena mada huenda haya mambo yako ya hovyo ukaja kuyafuta
Ingekuwa na yeye ana watoto, then watoto wake wangekuwa marafiki na huyo mtoto wa jirani hiyo caring kwa mtoto wa jirani ingeleta maana kwa sababu angekuwa anamjumuisha na watoto wake katika fun mbalimbali.

cc: Eiyer
Unasema ingeleta maana
"Maana" ni nini?

Inawezekana unazungumza mambo bila hata kujua ni kitu gani!
 
FaizaFoxy ulikuwa unatafuta mtu mwenye matatizo yale uliyoya copy na ku paste huyu hapa
Msaidie tafadhali!

Anyway, huenda umekuwa ukifanya hivyo kwa nia njema, lakini ujue hakuna baba mtoto atakayeendekeza huo uhuni hata siku moja. Kwa hiyo usijaribu hayo kwa mtoto anayeishi na baba na mama yake. Utaingia matatani sana na baba mtoto. Fanya hayo wanawake masimbe tu!
 
Hommie I thnk she totally is!...hvi mtu hawezi kupenda kids kwa nia ya urafiki tu?

Hakuna kitu kama hicho. Iweje mtoto awe rafiki yako wa kukuondeshea stress zako, Hiyo ni child abuse. Mtoto rafiki zake ni watoto na michezo yake na watoto, mtu mzima unatakiwa umpe guidance tu lakini si kufanya nae urafiki kukutolea stress zako.
 
Nilitaka kumuuliza kuwa huyo mwanamke hajawahi hatakuona bibie yoyote anajiingiza hapo????

Hivi kuishi maisha unayojipangia ni kosa?
Hebu fikiria umeamua kuishi bila kuwa na mpenzi hilo ni tatizo?

Sidhani!
 
Hayathibitishi chochote zaidi ya wewe kuandika kile unachokiona kwenye fikra zako

Kama kuna chochote ambacho ni valid si ukiseme hapa?

Rudia posts zangu. Usijitetee kijinga, wewe ni mtu hatari sana katika jamii.
 
Nadhani hatujaelewana, kinachotokea hapa ni mtu kujaribu kutrick wake za watu kwa kujifanya kuwa kipenzi cha watoto wao. Katika mahusiano kama hayo mambo mawili hutokea; aidha mtu kujenga mahisiano ya kimapenzi na mama mtoto au kumfanyia mtoto mwenyewe ukatili wa kijinsia hasa sexual harassment. Haya mambo yapo na yameshatokea mara nyingi. Lazima mzazi uwe makini na watu wa namna hii na ikibidi hakuna haja ya kuendekeza watu wa namna hii.

Sijui kama unaweza hata kuliona tatizo lako kwenye haya maelezo

KWanza una assume halafu unajiaminisha kuwa hizo assume zako ni sahihi
Halafu unazitolea maamuzi
Huoni kama hilo ni tatizo?

Unapiga ngoma kisha unaicheza wewe mwenyewe!!
 
Kijana una matatizo makubwa sana. Nenda kwa wataalam wakusaidie. Usijikwepeshe. Andiko lako linaonesha una kila dalili ya kuwa una matatizo ya kisaikolojia.

"hunifanya mastress yangu ya kutafuta hela kuisha kama sio kupungua" khaa! huna hata haya?

So sad with people of this kind Faizafozy. Kila nikiona mtu anajifanya kuwa karibu na watoto wadogo nakumbuka lile tukio la padri Kimaro la kulawiti mtoto wa watu. Hii tabia ni lazima wazazi waliangalie kwa jicho leye lensi kali ili kunusuru hawa malaika (watoto) wasiojua hili wala lile kupatwa na masaibu ambayo yangeepukika.
 
kumbuka pia wanaume wachache sana waliweza kujinasua ktk mitego ya wanawake waliokuwa wakiwahitaji, kama kweli huna mpango naye, vunja hiyo link iliyopo (mtoto) ndo utaeleweka hutaki mazoea, vinginevyo unavyoongea then anarudia na unakubali anakuona kama sitaki nataka, mwisho atakunasa nawe hata kama si mpango wako
Itabidi mniwe mkali!!
 
Hata father Kimaro wa Kanisa Katoliki Changanyikeni Dar, alikuwa anajifanya kuwa karibu na watoto, kilitoke nadhani unakumbuka vizuri; alimlawiti mtoto wa watu hadi akafumaniwa. Haikutokea bahati mbaya, alijifanya kipenzi cha watoto, wazazi wakamwamini kwa kuwa ni padri lakini mwisho wa wale watoto ukawa mbaya.

Sitokuwa tayari kuona jitu la watu linajipendekeza kwa watoto wangu ati anapenda watoto. Huo ujinga akajifanyie kwa mahayawani. Hata huyo Eiyer anajua anachokifanya hakikubaliki ndiyo maana anatafuta watoto wa wamama wasioishi na waume zao, mbali na hapo angeshakula kichapo kitambooo! Ingekuwa na yeye ana watoto, then watoto wake wangekuwa marafiki na huyo mtoto wa jirani hiyo caring kwa mtoto wa jirani ingeleta maana kwa sababu angekuwa anamjumuisha na watoto wake katika fun mbalimbali.

cc: Eiyer

Nadhani hatujaelewana, kinachotokea hapa ni mtu kujaribu kutrick wake za watu kwa kujifanya kuwa kipenzi cha watoto wao. Katika mahusiano kama hayo mambo mawili hutokea; aidha mtu kujenga mahisiano ya kimapenzi na mama mtoto au kumfanyia mtoto mwenyewe ukatili wa kijinsia hasa sexual harassment. Haya mambo yapo na yameshatokea mara nyingi. Lazima mzazi uwe makini na watu wa namna hii na ikibidi hakuna haja ya kuendekeza watu wa namna hii.

wote tunafahamu mengi tu yanayotokea katika jamii dhidi ya watoto lakini ishu ya hapa ni eiyer na hako katoto, tukianza kurefer kwa huyo mchungaji au nani ni lazma tutatoa ushauri ambao upo biased. wapo hata wazazi wanaoshindwa kuonesha japo upendo kidogo kwa watoto. niliwahi kupita maeneo flani nikamsikia mama amemuita binti yake kwa utaratibu "njo mwanangu". kale katoto kakiwa kama kamepigwa butwaa kakasema "mama leo umeniita mi mwanao". nilibaki najiuliza huwa anamuita majina gani au huwa anamwambia mtoto yeye sio mama yake. kuna mambo ambayo watoto wanayakosa kwa wazazi wao, wanapoyapata kwa majirani ndio inatokea kama haya ya eiyer mtoto kumlilia mpaka usiku.
 
Anyway, huenda umekuwa ukifanya hivyo kwa nia njema, lakini ujue hakuna baba mtoto atakayeendekeza huo uhuni hata siku moja. Kwa hiyo usijaribu hayo kwa mtoto anayeishi na baba na mama yake. Utaingia matatani sana na baba mtoto. Fanya hayo wanawake masimbe tu!

Kwanini unapenda ku assume sana?
Kwanini unawasemea wengine?
 
Ina maana bado hujagundua kuwa kutuambia tuna fall in love kwa vitu vidogo ni kutudhalilisha?
Hebu tutake radhi kabla sijanuna

Hihihihihiiii!
Kumbe kotha ni KUWAAMBIA sio KUWATHINGIZIA!!!!
...
Bath naomba m/unisamee!! Thiwambii tena!
 
Hakuna kitu kama hicho. Iweje mtoto awe rafiki yako wa kukuondeshea stress zako, Hiyo ni child abuse. Mtoto rafiki zake ni watoto na michezo yake na watoto, mtu mzima unatakiwa umpe guidance tu lakini si kufanya nae urafiki kukutolea stress zako.
Child abuse ni nini?
 
Hivi kuishi maisha unayojipangia ni kosa?
Hebu fikiria umeamua kuishi bila kuwa na mpenzi hilo ni tatizo?

Sidhani!

Ni wapi nimeandika kosa????nimejaribu kuvuta picha ya hiyo story yako,na kuConnect dots......
Maisha yako unayoishi hapo ndo chanzo ya hayo yanayokupata na usipobadilika yatakupata makubwa zaidi.

Huenda kumzoea mtoto wake ameona kama gia yakumtaka....au ameona ww ni domo zege maana hata demu hujawah kuleta kwahiyo amekurahisishia kazi
 
Mkuu kama nafasi ipo kwanini usimuaccomodate mkubwa mwenzio? Au halipi tehe?
 
Back
Top Bottom