Haka karafiki kangu kataniletea matatizo soon....!!!!!

Haka karafiki kangu kataniletea matatizo soon....!!!!!

Rudia posts zangu. Usijitetee kijinga, wewe ni mtu hatari sana katika jamii.

Nimezirudia na bado naona pu.mba tu
Hakuna hata moja inayoithibitisha chochote tofauti na kuandika kile unachokifikiria na pengine unachokitenda wewe,kama kuna point p[opote si uweke hapa tuone?
Why so much hesitation?

Unaweza kuandika jambo ukadhani ni point kumbe sio,kitendo cha wewe kudhani hukukifanyi ulichoandika kuwa ni point

Lakini pia unaweza kusoma maandishi ukaona kuna point na mwingine akaona kuna pum.ba,ni jukumu la alieona point kueleza hizo point i zipi na ziko wapi
Hujafanya hivyo!
 
Kwanza ninakawaida ya kuwapenda watoto sana bila kujali kama ni wa jinsia gani,kwangu nawakubali wote sana na wamekuwa marafiki wangu wa ukweli sana kwakuwa hawajui kupenda kwa masharti na wakikupenda wanakupenda ki-ukweli hasa

Sasa uswahilini kwetu kuna katoto kamoja ka miaka mi-4 hivi,jinsia yake ni ya kike huwa napenda sana siku nikiwa nyumbani au nikiwahi kurudi huwa nakaa nako na kupiga story nako sana na hunifanya mastress yangu ya kutafuta hela kuisha kama sio kupungua

Katoto haka kananipenda sana nami nakapenda sana kwani ni karafiki kangu sana,tatizo linakuja kwa mama yake,anadai kuwa inafika wakati wa usiku kanalia kaletwe kwangu nae anadai anakuwa hataki

Lakini tatizo kubwa zaidi ni kwamba huyo mama yake anadai eti napendeza sana kuwa baba yake huyo mtoto na anadai kwakuwa mtoto wake ananipenda nae ananipenda na ameanzisha visa wakati mwingine hukaleta hako ka rafiki kangu usiku wa saa 4 hadi 5 usiku akidai eti kanalia akalete nami huwa nakapokea na kukaa nako hadi kanapolala kisha nampa mama yake na kisha kuondoka

Mama wa haka karafiki kangu alikuwa ameolewa lakini ameachika kwa mumewe kwa sababu yule jamaa hakuwa ametulia

Sasa hizi vurugu zimekuwa zinazidi sana hadi naanza kukereka kwasababu sina mpango kabisa na huyo dada kwani ana mahusiano na jamaa mmoja hapa mtaani na nafahamiana nae sana

Naanza kuwaza kukakatia line kale ka rafiki kangu lakini roho inaniuma sana

Nimejaribu kumwambia aache tabia hiyo lakini naona kama nampigia mbuzi gitaa

Sijaamua kuchukua maamuzi yoyote hadi sasa lakini naona kama huyu dada ananiharibia urafiki wangu na huyu mtoto na hili sio halali na halikubaliki kabisaaa

Yaani hapa nina hasira sana na huyu mama wa rafiki yangu huyu na leo nikirudi nitakuwa nimeshapata dawa yake

Enyi akina dada hebu mtuache na hawa marafiki zetu na msituvurugie urafiki wetu bana!
Mchagga?- weka mbali na mtoto.
 
So sad with people of this kind Faizafozy. Kila nikiona mtu anajifanya kuwa karibu na watoto wadogo nakumbuka lile tukio la padri Kimaro la kulawiti mtoto wa watu. Hii tabia ni lazima wazazi waliangalie kwa jicho leye lensi kali ili kunusuru hawa malaika (watoto) wasiojua hili wala lile kupatwa na masaibu ambayo yangeepukika.

Mzee wa ku assume bado unaendelea tu

Unaweza ukaja siku moja ku assume wewe ni mwanamke na ukataka waku do
Shauri yako!
 
Hapo kuna zaidi ya upendo kwa mtoto, msome vizuri mleta mada. Hapo kuna urafiki aliojijengea kichwani huyu mleta mada kuwa ni urafiki wa kumuondelea stress, Huo ni urafiki gani kwa mtoto wa miaka 4?

Hapo anafikia mpaka kuona huyu mama anamuharibia urafiki wale na mtoto na kusema kuwa "nina hasira sana na huyu mama wa rafiki yangu huyu na leo nikirudi nitakuwa nimeshapata dawa yake"

Mpaka hapo hulioni kuwa ni tatizo kubwa na hii ni "child abuse"?

Child abuse my ass. Your paranoia is getting on my nerves
 
Kwenye hii thred naona kuna! wachangiaji hamko fair kwa muanzisha uzi...najiuliza hivi mtu hawezi kuwa na urafiki na watoto ki kawaida?wengi wanaanza kuwaza mawazo potofu swali ni kwamba muanzisha uzi angekuwa ni mwanamke halafu mtoto anayeongelewa awe wa kiume je comments zenu humu zingekuwa hivyo hivyo?
La pili, muanzisha uzi angekua mwanamke na ka toto ka kike doubts zenu zingekuwa hivyo? Hapa naona ni battle ya the sexes hamna lolote ki ukweli from my heart hata mimi ni rafiki sana wa watoto from kucheza nao,kuwanunulia pipi,kuwafundisha n.k bt mawazo ya wengi ni erotic...when eroticisim fills your mind there's no love anymore...kama haya ni mawazo ya wengi in which sometimes the majority is simply the fools in the same side...hasira zimenizidi sijui nimalizieje hata

fools are in the same s;ide) ...
 
Ni wapi nimeandika kosa????
I didn't say that either
nimejaribu kuvuta picha ya hiyo story yako,na kuConnect dots......
Maisha yako unayoishi hapo ndo chanzo ya hayo yanayokupata na usipobadilika yatakupata makubwa zaidi.

Huenda kumzoea mtoto wake ameona kama gia yakumtaka....au ameona ww ni domo zege maana hata demu hujawah kuleta kwahiyo amekurahisishia kazi
Tatizo naona hukuelewa context ya nilichoandika hebu soma tena miss!!
 
Kwenye hii thred naona kuna! wachangiaji hamko fair kwa muanzisha uzi...najiuliza hivi mtu hawezi kuwa na urafiki na watoto ki kawaida?wengi wanaanza kuwaza mawazo potofu swali ni kwamba muanzisha uzi angekuwa ni mwanamke halafu mtoto anayeongelewa awe wa kiume je comments zenu humu zingekuwa hivyo hivyo?
La pili, muanzisha uzi angekua mwanamke na ka toto ka kike doubts zenu zingekuwa hivyo? Hapa naona ni battle ya the sexes hamna lolote ki ukweli from my heart hata mimi ni rafiki sana wa watoto from kucheza nao,kuwanunulia pipi,kuwafundisha n.k bt mawazo ya wengi ni erotic...when eroticisim fills your mind there's no love anymore...kama haya ni mawazo ya wengi in which sometimes the majority is simply the fools in the same side...hasira zimenizidi sijui nimalizieje hata

fools are in the same s;ide) ...
kweli kabisa, watu wamewazia huko!! hivi wanawezaje hata kuwazia kuwa urafiki wa eiyer na hako katoto unaweza kuwa ni wa kimapenzi. inawezekana hayo ndio wanayoyafanya wao.
 
kweli kabisa, watu wamewazia huko!! hivi wanawezaje hata kuwazia kuwa urafiki wa eiyer na hako katoto unaweza kuwa ni wa kimapenzi. inawezekana hayo ndio wanayoyafanya wao.
I said it people's mind aren't filled with love...they are erotic..erotic...erotic...corrupted with eroticism...wanawaza ngono ngono,ukikapenda katoto wanakuwazia mabaya, ukikabeba wanahisi unataka kukalawiti...phew! God forgive! No wonder black eyed peas sang "where is the love"
 
Kwenye hii thred naona kuna! wachangiaji hamko fair kwa muanzisha uzi...najiuliza hivi mtu hawezi kuwa na urafiki na watoto ki kawaida?wengi wanaanza kuwaza mawazo potofu swali ni kwamba muanzisha uzi angekuwa ni mwanamke halafu mtoto anayeongelewa awe wa kiume je comments zenu humu zingekuwa hivyo hivyo?
La pili, muanzisha uzi angekua mwanamke na ka toto ka kike doubts zenu zingekuwa hivyo? Hapa naona ni battle ya the sexes hamna lolote ki ukweli from my heart hata mimi ni rafiki sana wa watoto from kucheza nao,kuwanunulia pipi,kuwafundisha n.k bt mawazo ya wengi ni erotic...when eroticisim fills your mind there's no love anymore...kama haya ni mawazo ya wengi in which sometimes the majority is simply the fools in the same side...hasira zimenizidi sijui nimalizieje hata

fools are in the same s;ide) ...

Mkuu wasamehe bure!!
 
Back
Top Bottom