neggirl
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 4,862
- 2,156
kweli kabisa, watu wamewazia huko!! hivi wanawezaje hata kuwazia kuwa urafiki wa eiyer na hako katoto unaweza kuwa ni wa kimapenzi. inawezekana hayo ndio wanayoyafanya wao.
Hawa ndo wanaoji complicate kwenye maisha hawa...Mpaka nimeshangaa nikarudia post labda Eiyer anaconfess. Kumbe watu na paranoia zao na dhana potofu.
I didn't say that either
Tatizo naona hukuelewa context ya nilichoandika hebu soma tena miss!!
Typically paranoic...halafu anakera...I think I wanna puke!
Mkuu kabla sijajibu chochote hebu weka kumbukumbu sawaWanawake wana mbinu nyingi sana, na sifa mojawapo ya mwanamke kumkubali mwanaume ni pale anapoonyesha mapenzi kwa watoto. kwa hiyo sifa hiyo imeshakupasisha hivyo kazi iliyobaki ni namna ya kukunasa na kuna dalili zote akafanikiwa na huo utakuwa ndio mwisho wa mada hii kujadiliwa maana hata mlisho nyuma hatutapata.......LOL
Kwanza ninakawaida ya kuwapenda watoto sana bila kujali kama ni wa jinsia gani,kwangu nawakubali wote sana na wamekuwa marafiki wangu wa ukweli sana kwakuwa hawajui kupenda kwa masharti na wakikupenda wanakupenda ki-ukweli hasa
Sasa uswahilini kwetu kuna katoto kamoja ka miaka mi-4 hivi,jinsia yake ni ya kike huwa napenda sana siku nikiwa nyumbani au nikiwahi kurudi huwa nakaa nako na kupiga story nako sana na hunifanya mastress yangu ya kutafuta hela kuisha kama sio kupungua
Katoto haka kananipenda sana nami nakapenda sana kwani ni karafiki kangu sana,tatizo linakuja kwa mama yake,anadai kuwa inafika wakati wa usiku kanalia kaletwe kwangu nae anadai anakuwa hataki
Lakini tatizo kubwa zaidi ni kwamba huyo mama yake anadai eti napendeza sana kuwa baba yake huyo mtoto na anadai kwakuwa mtoto wake ananipenda nae ananipenda na ameanzisha visa wakati mwingine hukaleta hako ka rafiki kangu usiku wa saa 4 hadi 5 usiku akidai eti kanalia akalete nami huwa nakapokea na kukaa nako hadi kanapolala kisha nampa mama yake na kisha kuondoka
Mama wa haka karafiki kangu alikuwa ameolewa lakini ameachika kwa mumewe kwa sababu yule jamaa hakuwa ametulia
Sasa hizi vurugu zimekuwa zinazidi sana hadi naanza kukereka kwasababu sina mpango kabisa na huyo dada kwani ana mahusiano na jamaa mmoja hapa mtaani na nafahamiana nae sana
Naanza kuwaza kukakatia line kale ka rafiki kangu lakini roho inaniuma sana
Nimejaribu kumwambia aache tabia hiyo lakini naona kama nampigia mbuzi gitaa
Sijaamua kuchukua maamuzi yoyote hadi sasa lakini naona kama huyu dada ananiharibia urafiki wangu na huyu mtoto na hili sio halali na halikubaliki kabisaaa
Yaani hapa nina hasira sana na huyu mama wa rafiki yangu huyu na leo nikirudi nitakuwa nimeshapata dawa yake
Enyi akina dada hebu mtuache na hawa marafiki zetu na msituvurugie urafiki wetu bana!
I said it people's mind aren't filled with love...they are erotic..erotic...erotic...corrupted with eroticism...wanawaza ngono ngono,ukikapenda katoto wanakuwazia mabaya, ukikabeba wanahisi unataka kukalawiti...phew! God forgive! No wonder black eyed peas sang "where is the love"
Mh! Kila jambo linalohusu kugegedana huwa linaanza na utani wa kitoto kitoto tu mwisho watu wanakuta wameharibiana maungo
tafuta njia ya kumkomesha huyo mama bila kuharibu uhusiano wako na mtoto huyo la sivyo yatakua mengine hapo,ikiwezekana mwambie utamtaarifu huyo jamaa yake
Mimi kwa upande wangu ninaona ni haki yake kuwa na urafiki na watoto.Ni sawa na urafiki wa kawaida wa mwanaume na mwanamke.Tatizo linakuja ni Dunia ya sasa imebadilika.Jinsi unavyoona hisia za watu hapa Jf siku ikitokea matatizo ndivyo atakapopata shida hivo hivo.Kwa hiyo ni bora kujihadhari na mahusiano ya jinsi ata kama una nia nzuri kama Yesu.
Hii ni kwa faida ya Eiyer
Mh!
Sidhani kama kuna kuelewana hapo
Tatizo lake anaonekana kama analazimisha sana kumpata abudala kichwa wazi wangu bila ridhaa yangu...lol!!