Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,139
Hahahahaaa!
Leave it!
...
Unajua nini kaka, UKARIMU unatucost sana sometimes!
Mi nna mifano miwili hai:
1 kuna mama mtu mzima tu (50s yrs) anapenda utoto sana, sasa mimi nilikua namsifia kiuongo uongo! "umependedha" "leo umeua" nk. Aaagh! Si aanze habari za kunitaka! Mpaka tajuuuta kumtania!
...
2 Chizi!
Nilimchukulia kama mtu mwenye akili timamu, sikumuonesha dharau au kumfanya ajiskie hana akili! Mmmh! Lol! Si aanze kutangazia watu eti mi mchumba wake!
...
Hiyo case yako ningekua mimi, ningeendelea na hako katoto vizuri tu but ningepunguza kwa kiasi kikubwa! Na nisingekubali aniletee usiku!
...
Sisi me ni dhaifu but hawa wenzetu wametuzidi!
Wanafall in love kwa vitu vidogo sana!
Halafu wewe!
Haya tutake radhi upesi!!!!