Haka karafiki kangu kataniletea matatizo soon....!!!!!

Nakubaliana nawe baadhi ya wachangiaji sio fair kabisa! Mimi pia nina marafiki wengi watoto, wakiume na wakike napenda kuwafundisha, kuwatoa out, kuwanunulia vitabu. Napenda watoto wakuwe katika maadili mema na mwenendo mzuri especially kwenye masomo yao. Hapo jambo baya liko wapi?

Tusiwe na generalisation jamani ( stereotyping), watu wabaya wenye ku abuse watoto ni kweli wapo, lakini si kila mtu mwenye kupenda watoto anakuwa na hizo tabia.

Kwenye hii thred naona kuna! wachangiaji hamko fair kwa muanzisha uzi...najiuliza hivi mtu hawezi kuwa na urafiki na watoto ki kawaida?wengi wanaanza kuwaza mawazo potofu swali ni kwamba muanzisha uzi angekuwa ni mwanamke halafu mtoto anayeongelewa awe wa kiume je comments zenu humu zingekuwa hivyo hivyo?
La pili, muanzisha uzi angekua mwanamke na ka toto ka kike doubts zenu zingekuwa hivyo? Hapa naona ni battle ya the sexes hamna lolote ki ukweli from my heart hata mimi ni rafiki sana wa watoto from kucheza nao,kuwanunulia pipi,kuwafundisha n.k bt mawazo ya wengi ni erotic...when eroticisim fills your mind there's no love anymore...kama haya ni mawazo ya wengi in which sometimes the majority is simply the fools in the same side...hasira zimenizidi sijui nimalizieje hata

fools are in the same s;ide) ...
 
Nakubaliana nawe baadhi ya wachangiaji sio fair kabisa! Mimi pia nina marafiki wengi watoto, wakiume na wakike napenda kuwafundisha, kuwatoa out, kuwanunulia vitabu. Napenda watoto wakuwe katika maadili mema na mwenendo mzuri especially kwenye masomo yao. Hapo jambo baya liko wapi?

Tusiwe na generalisation jamani ( stereotyping), watu wabaya wenye ku abuse watoto ni kweli wapo, lakini si kila mtu mwenye kupenda watoto anakuwa na hizo tabia.

Asante sana mkuu!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom