Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,971
- 26,952
Si ni kwamba Haji ameachana na Bi mdg nmepata umbea kutoka kwa cocasticKuna tetesi kwamba mke mdogo wa Haji Manara alimtoroka Haji Manara usiku akaenda kulala 5star Hotel.
Je Haji anachapiwa?
Ndio shida ya kuanika wake zako mitandaoni na kuwaleta mbele ya midume yenye fedha zao.
Kwa wale wapenzi wa Simba, nawakumbusha kwamba Simba iko Dubai na Tajiri wao, ila haihusiani


