secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,617
- 44,470
Haji Manara amejiunga na WASAFI FM na kuuangana na Oscar Oscar, Edo Kumwembe, na Adela Tilya kwenye kipindi Cha Leo na Jana.
Mara baada ya kukaribishwa (mzungu huyo pori), ameshaanza kuwa domokaya kiasi cha kutotaka kuwaachia wenzake nafasi ya kuongea huku akijaribu kufanya uchambuzi wa hapa na pale kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta.
Kwa kweli kazi ipo!
King Kong III, jipange.
Ni ngori mkuu.Hi si sawa
Leo Kazi ipoooooo halooooooooo!!Haji Manara amejiunga na WASAFI FM na kuuangana na Oscar Oscar, Edo Kumwembe, na Adela Tilya kwenye kipindi Cha Leo na Jana.
Mara baada ya kukaribishwa (mzungu huyo pori), ameshaanza kuwa domokaya kiasi cha kutotaka kuwaachia wenzake nafasi ya kuongea huku akijaribu kufanya uchambuzi wa hapa na pale kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta.
Kwa kweli kazi ipo!
King Kong III, jipange.
Nadhani atakuwa na elimu ya hapa na pale.Kumbe jamaa anakidhi vigezo vya JAB!!
Wamerudi kivingine bhana!Leo Kazi ipoooooo halooooooooo!!
Hivi haji hakupita kwenye kura za kugombea udiwani?Aloooo😕
Aloooo😕
Majina gani ya ajabu nimemwita?Manara ni mlemavu wa ngozi,ambapo ni kawaida na wapo wengi.
Usimuite majina ya ajabu
Safi sana ,Zembwela ,Mende ,Kipanya na Kitenge Combo safi sana ,Wapige Shule haraka aisee hata Dip ya miezi 6 wapate ithibati hao Ndimu na Chumvi.Wamerudi kivingine bhana!
Wapi mende.
Kwani Musa Kipanya hana ithibati? 🤔.Safi sana ,Zembwela ,Mende ,Kipanya na Kitenge Combo safi sana ,Wapige Shule haraka aisee hata Dip ya miezi 6 wapate ithibati hao Ndimu na Chumvi.
Imerudi rasmi walikuwa wanafanya marekebisho ya studioWasafifm ipi mbn zinapigwa nyimbo tu mkuu
Kumbe hi anaenda kama Half american 😂.Hongera bro Half american, naam waamshie hao