Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,226
- 26,048
Umewasahau sahau Hawa hapa 👇Ni kama ndoto ila ndo yanatokea kweli! Ndani ya miezi miwili mastaa wa mpira duniani wanaotambulika na kufahamika duniani kote wanamiminika Tanzania kwa fujo sana!
Mastaa hawa wanapiga pichq kwenye mbuga zetu za Serengeti na Ngorongoro na maeneo ya Zanzibar na wanazipost kwenye pages zao kwenye mitandao ya kijamii, wanasema wako Tanzania, wanaitangaza Tanzania kwa dunia!
Tanzania tunaingiza madolali sio tu kwa hawa kuja ila kwa namna nchi yetu inavyozidi kuliteka soko la utalii la dunia
Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan, uongozi ni maarifa, uongozi ni busara , uongozi ni kutumia exposure yako katika kukamata fursa zilizopo duniani. Tanzania sasa inaonekana, watu wanaisema Tanzania, wanaijua Tanzania.
Naiona Tanzania tukifikisha watalii Mil 5 mwaka 2025. Naiona sekta ya Utalii ikiwa kinara tena kwenye kuchangia pato la Taifa na kuingiza fedha za kigeni
Huyo ndo Samia, ninayemuita Deng Xiaoping, The father of modern China. Kwangu Samia ndo the mother of Modern Tanzania.
Angalizo
Uzi huu ni ndimu kwa wale vibaraka wa Kenya mnaotaka kuua industry yetu ya Utalii ili Tanzania ife kiuchumi. Naomba mpite tu bila ku comment
Kwa wale pingapinga fc na Burundi gang hii ndo maana halisi ya uongozi uliojaa maarifa! Sijui kama mna swali lingine kuhusu Royal Tour?
View attachment 2272689View attachment 2272693View attachment 2272694View attachment 2272694View attachment 2272696View attachment 2272698
Zingatia angalizo tu kwenye uzi!Mastaa gani unawaongelea we kiazi
Kweli kabisa nduguUmewasahau sahau Hawa hapa 👇
Sawa walikuwa wanakujaNadhani sijui niseme ni ushamba au upotishaji wa maksudi.
Miaka yote Kanda ya kaskazini miezi hii ndio high season.
Wamekuja kina Abromovic,Beckham,Bill Gate,Oboma & ......... bila hiyo royal tour.
Kabla ya ujio wa Covid 19 KIA zilikuwa zinashuka ndege 17 za mashirika mbali mbali ya kimataifa eg Turkish,Ethiopia,Quatar,Rwanda,Kenya, KLM .......... Israel wamewahi kuleta ndege 6 kwa mara moja na nk.
Royal tour haina lolote na ujio wa watalii Tanganyika.
Yanawashuka saivi! Hizi achievements in just mwaka mmoja na ushee madarakani sio mchezoWanaopinga wana sababu hizi
1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
Leo chato inanyesha au kuna jua mkuu?Aisee hii ni aibu kubwa kama watu wa aina hii ndio wanafanya kazi ya kuipigania awamu hii.
polee sana hii ndo maana ya kuupiga mwingiAisee hii ni aibu kubwa kama watu wa aina hii ndio wanafanya kazi ya kuipigania awamu hii.
Umesharudi kutoka Burundi mkuu?Wakati mwingine uone aibu mkuu,
Hili sio jibu Mkuu.Zingatia angalizo tu kwenye uzi!
Unateseka kutokea wapi? Nairobi, Narok au Chato?
Zingatia angalizo tu kwenye uzi!
Unateseka kutokea wapi? Nairobi, Narok au Chato?
Una roho mbaya😁Nadhani sijui niseme ni ushamba au upotishaji wa maksudi.
Miaka yote Kanda ya kaskazini miezi hii ndio high season.
Wamekuja kina Abromovic,Beckham,Bill Gate,Oboma & ......... bila hiyo royal tour.
Kabla ya ujio wa Covid 19 KIA zilikuwa zinashuka ndege 17 za mashirika mbali mbali ya kimataifa eg Turkish,Ethiopia,Quatar,Rwanda,Kenya, KLM .......... Israel wamewahi kuleta ndege 6 kwa mara moja na nk.
Royal tour haina lolote na ujio wa watalii Tanganyika.
Unafuatilia mpira / soka? Tuanzie hapo kwanzaHili sio jibu Mkuu.
Naomba ujibu hoja ni Mastaa gani mnawaongelea?
umeshawai ona wakija kwa wingi huu ndani ya muda mfupi kama sasa?Hao masupestar huwa wanakuja tu miaka yote, ila safari hii wakitokea tu wanadakww juu kwa juu ili kusaka kiki za kisiasa. Hawajaja kwasababu ya roho tua, bali mnataka kujustfy ile filamu ya Roho Tua kitu ambacho si kweli.